Wanaume waliokuwa wanahonga mitaji wadada mmeenda wapi?

Wanaume waliokuwa wanahonga mitaji wadada mmeenda wapi?

Ila dah Magu mwanaume aendelee kukaza tu wote tuzidi kunyooka[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Mm hapa ndio muhenga niliyebaki ninayejua kuhonga na kucare,na huwa siombi papuchi,just charity!!
 
Heshima kwako Mfalme Mkuu wa taifa! Umeipa heshima pesa, buku yangu siku hizi nailinda kwa supa gluu
 
Back
Top Bottom