miaka tena ya nini me niwa 90sUna miaka mingapi
Umenichanganya ulivo badili avatar yako inabidi uirudishe tu.Hahahaaaa
me sio kipusa wala pasua kichwa onja uone utamu wa wahenga wa kizazi cha dotcomWahenga wa miaka 90s ni pasua kichwaa
Nimefurahi tu mpenzi ....haya ukuje huku nanjilinji nkupe mmojaSasa mbona unanicheka shoo
Ntakuja shoNimefurahi tu mpenzi ....haya ukuje huku nanjilinji nkupe mmoja
Karibu weka kinga ya vipaipai kabisaaa huku wachawi na wanga ni wengi mnoNtakuja sho
Tafadhali hilo kabila silipendi hata kidogo intake radhi shoo 😀 😀Wasukuma.com[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mbona kilingenii[emoji108][emoji108]tyeeennaaKabisa wifiii karibu msata kilingeni upate suluhisho pamoja nami
Shemeji acha roho mbaya, au hujui kama mumeo ni Kaka yangu?Thubutuuu