ibra87
R I P
- Jul 22, 2015
- 5,614
- 5,379
Wanaume wa dar nao wana ualakini maana kila leo wanadhihirisha uoga wao
Ww una Uhakika gani kuwa Wanaume Waliokuwa Kwa Daladala ni Wa dar es salaam
Wanaume wa dar nao wana ualakini maana kila leo wanadhihirisha uoga wao
Nimesikiliza clip ya dada mmoja anaeelezea mtu alie choma watu kisu ndani ya Daladala. Eti wanaume watu wazima walikuwa wanakanyagana kukimbia.
Hadi mama mmoja jasiri alipo jitolea na kukishika kile kisu cha mvamizi hadi kikamkata vidole.Eti ndipo wanaume wakajitokeza.
Kweli jamani wanaume wa Dar! Hadi msaidiwe na kina mama!
Aibu iliyoje hii
Mayenga, hapa ulishaufunga huu uzi.... Inatakiwa ndugu dudumizi09 ajibu hili swali..... Kama huyo aliyewachoma wenzie visu alitokea Iringa, au Mara aseme..
Ulitaka wote tukapande hiyo daladala?
watu wengine ka mmetapikwa vile!!
Nimesikiliza clip ya dada mmoja anaeelezea mtu alie choma watu kisu ndani ya Daladala. Eti wanaume watu wazima walikuwa wanakanyagana kukimbia.
Hadi mama mmoja jasiri alipo jitolea na kukishika kile kisu cha mvamizi hadi kikamkata vidole.Eti ndipo wanaume wakajitokeza.
Kweli jamani wanaume wa Dar! Hadi msaidiwe na kina mama!
Aibu iliyoje hii
Waache kula miguu ya kuku na vichwa vya kuku
Umesahau utumbo wa kuku pia!!!pamoja na Supu za pweza 😅😅
nasikia wanakula mahindi ya kuchoma na chumvi
Wanaume wa dar tunajua mapenzi tuuu, kupigana pigana peleka huko tarime
Mapenzi gani wake zenu wana tuma tiketi za ndege!
Ule Chips , Mahindi ya kuchoma kwa chumvi na limao uwe na nguvu za kupampu!!
dereva nae aliruka ?