Wanaume wa Dar katika kashfa nyingine tena

Wanaume wa Dar katika kashfa nyingine tena

Sàsa yale ya rombo yana tofauti gani na hii kashfa ya wanaume wa dar???
Rombo kilichozidi ni mkuu wa wilaya kulifanya tatizo kuwa la kila mme. Mtajisikiaje kama mkuu wenu akaibuka kwenye media na kuwatuhumu wanaume wote wa dar

Issue siyo ya Ronbo issue ni wanaume wa mikoani nje ya dar wanasaidiwa kwa wake zao na jamaa toka Kenya
 
Hii inashangaza sana wanaume dar waoga mpaka mnasaidiwa na kinamama kumthibiti jamaa anaechoma watu?haya panya road nao mpaka mnajificha kwenye buti!hizo chips zitawadumaza wapuuzi nyie yani mpaka mnakua walaini kiasi hicho?ndo maana hata migogoro ya ndoa haiishi na ndo maana wanawake wa dar wanapenda wanaume wa mikoa mingine hasa Arusha na mwanza.ndo maana wakinadada wanalalamika kuwa dar wanaishi na wanawake wenzao.nyie wanaume mnatuaibisha,mnaongea sana kumbe hovyo kabisa.michipsi itawaua nyie!mnalendemka sana sidhani kama mnaweza hata kuvunja biskuti.kweli wanaume wa dar ni janga la kitaifa.inabidi nyie muwe mnapeleka watoto kliniki halafu kina mama wakatafute hela!
 
Ila matatizo ya Rombo tukiyahamishia Dar wanaweza kuyatatua kwa ubora na ufanisi mkubwa saana!
 
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 mkuu umepanick
 
Hhahahahahah sipati picha hii mada ingefanywa live kushoto wanaume wa Dar upande wa kulia wanaume wa mikoani sidhani kama pangetosha.....Watu wangeuana
 
Wanaume wa Dar wanakula chips dume na chai.

nazo wanaweka ndim na viungo! jioni wanajazana kibao Coco beach kula mihogo hii
 

Attachments

  • 1437737692908.jpg
    1437737692908.jpg
    38.4 KB · Views: 140
Una uhakika gani kua wanaume wote waliokua kwenye dala dala ni wa Dar? Labda wengine ni wa kutoka mikoani tongo tongo bado hazijawatoka
 
1...
Ndio maana hata nchi zina wawakilishi! hao wachache wa kwenye dala dala waliwawakilisha nyie wengi ambao hamkuwemo katika dala dala!

Ok, Kwa hawa nao waliwawakiliasha msio wa Dar..??

1. Marcel ambaye ni mume wa mtu, alifunguliwa kesi namba 29/2013 katika Mahakama ya Mwanzo ya Bashneti mkoani Babati kwa kosa la kuiingilia kimwili mifugo, kinyume na kifungu cha 325 kanuni ya adhabu, sura ya 16 na kesi hiyo ilisomwa hivi karibuni.

Kwa habari kamili cheki hapa HAYA MENGINE YA KUTISHA MUME WA MTU AFANYA MAPENZI NA MBUZI MJAMZITO | MFUATILIAJI


2. MATUKIO YA KUTISHA MBEYA MTOTO AZIKWA HAI NA BABA YAKE MZAZI, FUATILIA MKASA HUU
[url=http://mavanga.blogspot.com/2013/04/haya-mengine-ya-kutisha-mume-wa-mtu.html]HAYA MENGINE YA KUTISHA MUME WA MTU AFANYA MAPENZI NA MBUZI MJAMZITO | MFUATILIAJI

[/URL]
 
Issue siyo ya Ronbo issue ni wanaume wa mikoani nje ya dar wanasaidiwa kwa wake zao na jamaa toka Kenya

Sasa iweje dar uwe mkoa unaongoza kwa unywaji wa supu ya pweza na matumizi ya dawa ya kiongeza nguvu za kiume
 
Issue sio wanaume wa dar...watu siku hizi wamekuwa wabinafsi sana...umimi mwingi sana...mtu anajijali yeye na family yake..mtu anawaza hapo akienda kumshika bahati mbaya akachomwa kisu akafa nani atamlelea family yake...ndo mtu anaamua kutoa nduki.
 
Ngoja tujitete, ULAJI WA CHIPS ni hatari hata kwa ndoa zetu, nadhani mleta uzi utakua umenielewa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom