Mr. Mangi
JF-Expert Member
- Sep 21, 2014
- 1,512
- 772
Tunaimplement ule msemo wa 'ladies first'
Haaa haa haa mpo vizuri ktk kuwashirikisha wanawake ktk changamoto na mafanikio ya dar
Tunaimplement ule msemo wa 'ladies first'
Mkubwa, si umeuona huo uzi ulivyokaakaa..?? Inabidi twende nao hivyo hivyo... Inawezekana nimekukwaza ukilinganisha post hii na nilizowahi kuziandika.... kuna huyu mtu anaitwa Ernest Hemingway aliandika hii kitu...Ngalikihinja, ninavyokufahamu katika post zako, wewe ni zaidi ya ulichokiandika. Labda iwe unatania au una maana nyingine. Kuna kitu sampling.
Umesahau utumbo wa kuku pia!!!pamoja na Supu za pweza 😅😅
Nasikia ni Mwanaume kutoka Mara...! Teh TehHuyo mwanaume aliyekuwa anachoma watu visu alitokea wapi❔
Huyo mwanaume aliyekuwa anachoma watu visu alitokea wapi❔
1. Hivi wanaume wa Dar wote walitoshaje kwenye lile basi..??
2. Wanaume wa Dar wote hawana magari binafsi au waliyopewa na wanakofanyia kazi hadi wakajazane kwenye lile daladala moja..??
3. Wanaume wa Dar wote walikosa madaladala hadi wajazane kwenye daladala moja..??
4. Wanaume wote wa Dar walikuwa wanaelekea sehemu moja ambako lile daladala lilikuwa linaelekea..??
5. Haya, wanaume wa Dar 'wanasaidiwa' na wanawake, nyie ambao si wa Dar 'mnasadiana' wenyewe kwa wenyewe..??
Wanaume wa Dar na Wananchi wote wa dsm ni wapuuzi na waoga sana!! Utakunda konda anatukana matusi ya nguoni mijitu yote inakaaa kimya!! Ukisema kuingilia kati ati wanakuita kwani we askari!!!
Wapuuzi kabisa hasa wanaume wa dar mnaogopa panya road,wanafunzi wananyanyasika mibaba mizima kimya ndani ya gari!!!!
Mkubwa, si umeuona huo uzi ulivyokaakaa..?? Inabidi twende nao hivyo hivyo... Inawezekana nimekukwaza ukilinganisha post hii na nilizowahi kuziandika.... kuna huyu mtu anaitwa Ernest Hemingway aliandika hii kitu...
An intelligent man is sometimes forced to be drunk to spend time with his fools.
wanume wa dar ha haha