Enzymes
JF-Expert Member
- Feb 14, 2013
- 4,332
- 3,020
wewe dar sio kama huko kwenu, ukuileta ushujaa wa kiboya unapoteza fasta na majanga unaachia familia yako, akili kichwani ulinzi wako unao mwenyewe!
Na sufulia lote hilo una andika hivi! Khaa!!!!
wewe dar sio kama huko kwenu, ukuileta ushujaa wa kiboya unapoteza fasta na majanga unaachia familia yako, akili kichwani ulinzi wako unao mwenyewe!
Na sufulia lote hilo una andika hivi! Khaa!!!!
Eti wanaume wa Dar Role ModeL wao NUHU MZIWANDA.
wewe dar sio kama huko kwenu, ukuileta ushujaa wa kiboya unapoteza fasta na majanga unaachia familia yako, akili kichwani ulinzi wako unao mwenyewe!
dudumizi09
1. Hivi wanaume wa Dar wote walitoshaje kwenye lile basi..??
2. Wanaume wa Dar wote hawana magari binafsi au waliyopewa na wanakofanyia kazi hadi wakajazane kwenye lile daladala moja..??
3. Wanaume wa Dar wote walikosa madaladala hadi wajazane kwenye daladala moja..??
4. Wanaume wote wa Dar walikuwa wanaelekea sehemu moja ambako lile daladala lilikuwa linaelekea..??
5. Haya, wanaume wa Dar 'wanasaidiwa' na wanawake, nyie ambao si wa Dar 'mnasadiana' wenyewe kwa wenyewe..??
Mapenzi akili nguvu kwenu watu wa mkona,wakulima..
= sufuria
Ww una Uhakika gani kuwa Wanaume Waliokuwa Kwa Daladala ni Wa dar es salaam
Kula round nyingi uwanjani ni nguvu wala si akili.
Mngekua na akili msingebebwa mgongoni wakati wa Mafuriko!!
Upo mrembo? Hongera kwa mfungo.
Eti ni kweli waume zenu walibebwa mgongoni wakati wa Mafuriko?
Kusema useme wee ukweli uniulize mimi? kama si ujuha ni nini huo?
Muulize aliekwambia.
Kwenye mabasi hao itakuwa wakuja. Wanaume wa Dar wapande mabasi ya kwenda wapi? - Fikiri.