Wanaume wa Dar katika kashfa nyingine tena

Wanaume wa Dar katika kashfa nyingine tena

Brain huna kalia kumeza mabomu tu!!!

hapana mkuu haipendezi kusema hivyo..Kwa nn ye ameze bomu? kwani hamna kingne cha kumwambia akameze mpaka umwambie akameze bomu? alafu qauli zako ni zakichonganishi badilika mkuu
...Hatuishi hivyo
 
Kudadadeki, yaani mtu sikujuwi tena ni mdada tu changudoa anayeliwa na wengine nikukingie kifua nipoteze maisha yangu juu yako, utailea familia yangu? Jamaa kama angenijia mimi na hiko kisu lazima ningemshikisha adabu ila si kwa changudoa "Mama wa jumuiya."
Kweli ww hujui kinacho endelea.. aliekuambia ni mwanamke peke yake ni nani alianza kwa kuwachoma kisu wanaume wa wili
mpunguze kula viepe
mtakuja kusaidiwa wake zenu eboooo!!!!
 
hapana mkuu haipendezi kusema hivyo..Kwa nn ye ameze bomu? kwani hamna kingne cha kumwambia akameze mpaka umwambie akameze bomu? alafu qauli zako ni zakichonganishi badilika mkuu
...Hatuishi hivyo

Mkuu samahani kama nimekukwaza.
Naomba radhi kwa hilo ndg yangu.
Ila huyu mmama amezoea sana kutukana watu!
 
Nimesikiliza clip ya dada mmoja anaeelezea mtu alie choma watu kisu ndani ya Daladala. Eti wanaume watu wazima walikuwa wanakanyagana kukimbia.

Hadi mama mmoja jasiri alipo jitolea na kukishika kile kisu cha mvamizi hadi kikamkata vidole.Eti ndipo wanaume wakajitokeza.

Kweli jamani wanaume wa Dar! Hadi msaidiwe na kina mama!

Aibu iliyoje hii

Ha ha! ha! hatuwezi kuingilia mamlaka, kazi ya kupambana na vibaka, waarifu ni ya polisi ........! natania, huku wengiwao tuna miguu ya kuku hakika ingekuwa kweli tungemmaliza huyo muarifu on the spot
 
dudumizi09

1. Hivi wanaume wa Dar wote walitoshaje kwenye lile basi..??
2. Wanaume wa Dar wote hawana magari binafsi au waliyopewa na wanakofanyia kazi hadi wakajazane kwenye lile daladala moja..??
3. Wanaume wa Dar wote walikosa madaladala hadi wajazane kwenye daladala moja..??
4. Wanaume wote wa Dar walikuwa wanaelekea sehemu moja ambako lile daladala lilikuwa linaelekea..??
5. Haya, wanaume wa Dar 'wanasaidiwa' na wanawake, nyie ambao si wa Dar 'mnasadiana' wenyewe kwa wenyewe..??

Unapofanya tafiti yoyote ile huwezi mfikia kila mtu bali huchukua tu kijikundi kidogo tu cha watu na kupata mtazamo wao kisha husema ni watu walio wengi wanamsimano mama huo.

Mfano kipimajoto cha ITV kinahoji watu watatu tu kisha qanasema hayo ndio maoni ya watanzania...

Tume ya Jaji Joseph Lusinde,

Na leo hii hilo daladala limetosha akiso ndugu zetu wa Dar, heri waje kujibi hizo hoja hapo.

Hivo hata mafunzo ya JKT hayasaidii au wao nipiga tukio za kijambaz na kupora silaa kwa vituo vya Mwema?!
 
Last edited by a moderator:
This post has been deleted by NDAGLA
 
Last edited by a moderator:
Tabia za wanawake wajawazito wa mikoani zinafanana na za wanaume wa Dar!!

Ni aibu mwanaume kula mahindi/maembe kwa limao au chumvi.

Uanaume ni zaidi za kuning'iniza makende mazee.

Mmekuwa na umama mwingi zaidi hata ya wamama wenyewe.
 
kula
muguu ya kuku

utumbo wakuku

vichwa vya kuku

chips zilizokaangiwa mafuta ya transfoma

mahindi ya mwazi wa saba na ndimu

kunywa supu ya pweza iliyochanganywa na viagra

kunywa viroba

mbaya zaidi hao kuku ni vibudu..

#nguvu mtatoa wapi asee.lazima mtoke nduki mm naona mko sahh
 
Wanaweza kula chipsi yai,nyama ya pweza na supu yake barabarani. Purukushani watawezea wapi,
 
Kwahiyo huyo mwanaume wa Dar aliyeshika kisu alipokonywa kisu na mwanamke wa Dar? (KASHFA NYINGINE).
 
Mwanaume wa dar ni yupi?
Sifa zipi zinamfanya mwanaume awe wa dar?
Au mwanaume yeyote akija dar kweny mishe zake nae tayar anakuwa mwanaume wa dar?
 
Kama Dar ndio tanzania basi watanzania wakiume wa Dar ni waoga.
 
Mkuu kweli na wewe hamnazo aisee kwani hiyo daladala ilikuwa ya wapi?? kigoma tabora singida songea au mbeya??

ushaambiwa ni daladala ya dar inamaana abilia waliokuwepo humo ni wakazi wa dar pia?!au wewe umeelewaje hapo??.

kwani wanaume wa dar wewe wafikilia ni wakina nani hasa??.

Mkuu Unaweza Kuwa Kwenye Daladala la Dar Lakini Usiwe Mwanaume Wa Dar... Wengine Walikuwa Wanaenda Stendi Ya Mabasi Yaendayo Mikoani...kwahiyo inawezekana wakawa ni wasukuma, waha, au wanyaturu
 
Unapofanya tafiti yoyote ile huwezi mfikia kila mtu bali huchukua tu kijikundi kidogo tu cha watu na kupata mtazamo wao kisha husema ni watu walio wengi wanamsimano mama huo.

Mfano kipimajoto cha ITV kinahoji watu watatu tu kisha qanasema hayo ndio maoni ya watanzania...

Tume ya Jaji Joseph Lusinde,

Na leo hii hilo daladala limetosha akiso ndugu zetu wa Dar, heri waje kujibi hizo hoja hapo.

Hivo hata mafunzo ya JKT hayasaidii au wao nipiga tukio za kijambaz na kupora silaa kwa vituo vya Mwema?!

Ok, Kwa hiyo hawa wa chini hapa nao ndo tuseme nyie mna tabia hizo..??

1. Marcel ambaye ni mume wa mtu, alifunguliwa kesi namba 29/2013 katika Mahakama ya Mwanzo ya Bashneti mkoani Babati kwa kosa la kuiingilia kimwili mifugo, kinyume na kifungu cha 325 kanuni ya adhabu, sura ya 16 na kesi hiyo ilisomwa hivi karibuni.

HUYU ALIGEGEDA MBUZI

Kwa habari kamili cheki hapa HAYA MENGINE YA KUTISHA MUME WA MTU AFANYA MAPENZI NA MBUZI MJAMZITO | MFUATILIAJI

2. MATUKIO YA KUTISHA MBEYA MTOTO AZIKWA HAI NA BABA YAKE MZAZI, FUATILIA MKASA HUU

3. HAYA MENGINE YA KUTISHA MUME WA MTU AFANYA MAPENZI NA MBUZI MJAMZITO | MFUATILIAJI

Huyu naye aligegeda mbuzi mjamzito...... kwa hiyo tuseme na nyie ndo mpo hivyo??
 
wewe utakua msomi bila shaka ha ha umeweka na references kabisa....ila kosa lako ni moja tu hapo hakuna sample ya mtu mmoja katika tukio ukasema ni popoluation nzima, sample size inasifa na vigezo vyake...!!yaani kadiri sample size yako inavyokuwa ndogo ndivyo unavyoziidi kuwa muongo (kuwa mbaali na ukweli)...na kinyume chake ni sawa...!
katika daladala walau walikuwa ni zaidi ya wanaume wawili mtoe kondakta na dereva wake.....so watu wa mikoani hawapo hivyo...hayo matukio ya mbuzu nk yangefanywa na watu zaidi ya waawili au watatu au wanne ndivyo ungekuwa waelekea kwenye ukweli na uhalisia wa waishio mikoani!

Ila kwa matukio hayo machache uliyoyaorodhesha hapo chini naweza sema au kubaliana na wewe kwamba watu wa mikoani wengi wao ni hawana roha ya ubinadamu!

Ok, Kwa hiyo hawa wa chini hapa nao ndo tuseme nyie mna tabia hizo..??

1. Marcel ambaye ni mume wa mtu, alifunguliwa kesi namba 29/2013 katika Mahakama ya Mwanzo ya Bashneti mkoani Babati kwa kosa la kuiingilia kimwili mifugo, kinyume na kifungu cha 325 kanuni ya adhabu, sura ya 16 na kesi hiyo ilisomwa hivi karibuni.

HUYU ALIGEGEDA MBUZI

Kwa habari kamili cheki hapa HAYA MENGINE YA KUTISHA MUME WA MTU AFANYA MAPENZI NA MBUZI MJAMZITO | MFUATILIAJI

2. MATUKIO YA KUTISHA MBEYA MTOTO AZIKWA HAI NA BABA YAKE MZAZI, FUATILIA MKASA HUU

3. HAYA MENGINE YA KUTISHA MUME WA MTU AFANYA MAPENZI NA MBUZI MJAMZITO | MFUATILIAJI

Huyu naye aligegeda mbuzi mjamzito...... kwa hiyo tuseme na nyie ndo mpo hivyo??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom