miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,109
ha ha ha wanaume wa dar aiseeWa Moshi wanawaachaga huko kwa wazazi wao nao tunaungana nao huku Dar. Wakirudi Disemba mnakutwa bado wiki moja mjifungue
ha ha ha wanaume wa dar aiseeWa Moshi wanawaachaga huko kwa wazazi wao nao tunaungana nao huku Dar. Wakirudi Disemba mnakutwa bado wiki moja mjifungue
Konda naye vipi....??? Au alikuwa demu??dereva nae aliruka ?
Tupia hio clip hapa aiseee....!Siku hizi haki sawa mkuu
Kwani wanaume wa dar ni wepi?
Kweli mkuu hata mimi niliisikiliza clip ile ila nilisikitika sana kwanini wanaume walishindwa kumdhibiti.
Wanaume wa Dar mje mjibu tuhuma hapa.
Kweli mkuu hata mimi niliisikiliza clip ile ila nilisikitika sana kwanini wanaume walishindwa kumdhibiti.
Wanaume wa Dar mje mjibu tuhuma hapa.
Arusha one-kwani watu wote wanapanda mabasi/daladala za dar ni wenyeji wa dar,..?....juzi nimemuona Preta,easymutand,filipo waking'ang'ania gari la mbagala kutokea kariokoo...kesho yake wakarudi kwao huko sitimbi.
Hapo jee,...?
Nakusalimia tu mkuu-longtime no see youu
Na huyo mwanamke atakuwa ni mwanamke wa Rombo bila shaka.![]()
![]()
![]()
......... na magozi (Ngozi ya Ng'ombe)Umesahau utumbo wa kuku pia!!!pamoja na Supu za pweza 
Tuacheni na DSM yetu! Visu tumepigwa sisi na Mwanaume mwenzetu wa DSM, nyie huko Mashambani kinawauma nini? Tulieni, tutakuja kuwapa mrejesho wa kitakachomkuta yule mwehu!
Wanaume wa Dar ndo walim restisha in peace
Yule mwehu tulim kill fasta mkuu
........Aha ha ha ha! Ila kwa maneno tu, mmewazidi hadi hao wanawake wanaopambana na Wauaji. Naupenda Mkoa wangu Dar es salaam pamoja na watu wake.