tz2015
JF-Expert Member
- Jun 23, 2014
- 982
- 447
Mi naona kidoogo hii kashfa inabebeka,kwa maana
waliosomea au wanaoruhusiwa na wanalipwa kukamata waarifu ni polisi.
lakini ile ya Rombo,ya wanawake kwenda kukodi wanaume nchi jirani
sio kukamata waarifu,au kulima bali kuongeza koo,
hii kazi hata ukitoa taarifa polisi wawasaidie wamama hao
haitawezekana.
Wanaume wa Dar wanajitambua kwani
majukumu yao wanayatekeleza,na yale
ya jeshi la polisi wanaiachia polisi.