Wanaume wa Dar katika kashfa nyingine tena

Wanaume wa Dar katika kashfa nyingine tena

Kweli mkuu hata mimi niliisikiliza clip ile ila nilisikitika sana kwanini wanaume walishindwa kumdhibiti.


Wanaume wa Dar mje mjibu tuhuma hapa.

mada haiwahusu wanaume wote waliopo Dar, ni wale tu waliokuwepo ndani ya daladala kwa wakati huo, acheni kuhusisha wasiohusika period
 
nasikia wanakula mahindi ya kuchoma na chumvi

Kweli kabisa huo mlo wa usiku. Mchana jua kali anakula chips kavu na firigisi moja kachumbari imejaa maji ya ndimu.
Alafu ataweza kumshika mwanamke aliyevurugwa aaaah wapi.
 
Kwa hili mimi naomba kusema kwamba sikuwepo Dar wakati tukio linatokea na nilirudi likiwa limetokea. Kwa hili hizi aibu hazinihusu maana kwa kweli sikuwepo na ni jambo la aibu sana kwa kweli kwetu sisi wanaume.

Naungana na watu wa nje ya Dar kulaani vikali sana wanaume wenzangu wa Dar waliokuwepo wakati tukio linatokea bila kujali alikua ndani ya daladala au la. Ni aibu kubwa kwa hii jinsia ya kiume,kwamba mama mmoja baada ya kumlainisha yule kibaka ndio wanaume wakajitokeza kumuua, haikubaliki na ni jambo la aibu na la kukemea.
 
Watu kutoka rombo utawajua tu lazma issue kama hii wataikingia kifua sana mradi tusahau ya rombo! Na wale bita ni bita mura hawachelewi kujiua
 
ommy dimpoz..martin kadinda..ray..tino..diamond..nuhu mziwanda..rich mavoko..hao ndio wanaume wa DAR
 
Shauri yako wewe hujui kuwa wanaume wa dar ndio wamefanya mbunge wako aishi dar,,, wanaume wa dar ndio wamemkata lowassa, wanaume wa dar ndio wanaoamua hatma ya taifa hili,,, wanume wa dar ndio wamekuletea uhuru boya wewe,,, wewe unafikili marehemu nyerere angekaa butiama anngekuwa raisi, ilibidi aje akae magomeni pale au hujui kuwa wanaume wa dar ndio waliomchangia nauli ya kwenda un..

Wanaume wa dar huwa wanajali self defence kwa taarifa yako, huwezi kukuta mwanaume wa dar anaingilia kisichomuhusu,, mkitoka huko kwenu ndio maana mnaibiwa ubungo pale,,,
 
ommy dimpoz..martin kadinda..ray..tino..diamond..nuhu mziwanda..rich mavoko..hao ndio wanaume wa DAR

HAO WAMETOKA KIGOMA MKUU,,, HAKUNA MWANAUME WA DAR ANAYEIMBA MZIKI WA KIMAMA mfano wa mwanamuziki kutoka dar KALAPINA, JUMANATURE, MABAGAFRESH, LWP,FDC, MANZESE CREW,,KINO CLAN, KR MULLER KICHAA, KU CREW, SOLO THANG ULAMAA, SONGA, HASHEEM DOGO nk,, hao akina DIAMOND wametoka kigoma si uliwasikia kwenye ule wimbo wao WA CHIGOMA... WAULIZE HAO WANAOJIITA WEUSI TUMEWALEA PALE BLOCK41 KIKOSINI...halafu leo wanaleta jeuri
 
Wanaume wa dar nao wana ualakini maana kila leo wanadhihirisha uoga wao
 
si hapo tu mkuu hata kwenye sanduku la kura ni hivyo hivyo,

mimi nadhani mashine za bvr zingeharika kabisa huko dar maana hawa jamaa wanatuaribia sana,

hawako makini katika mambo mengi,
Kweli leo mmewashika pabaya hasa hili la sanduku la kura ni tatizo kubwa sana kwao
 
Kuna tofauti kati ya WANAUME WA DAR, WANAUME WA KIDAR, WANAUME WANAOISHI DAR, WANAUME KWA DAR, sijui mleta uzi umekusudia wapi?
 
Hahaa wanaume wa dar ni goigoi united
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom