Wanaume wa Dar katika kashfa nyingine tena

Wanaume wa Dar katika kashfa nyingine tena

1. Hivi wanaume wa Dar wote walitoshaje kwenye lile basi..??
2. Wanaume wa Dar wote hawana magari binafsi au waliyopewa na wanakofanyia kazi hadi wakajazane kwenye lile daladala moja..??
3. Wanaume wa Dar wote walikosa madaladala hadi wajazane kwenye daladala moja..??
4. Wanaume wote wa Dar walikuwa wanaelekea sehemu moja ambako lile daladala lilikuwa linaelekea..??
5. Haya, wanaume wa Dar 'wanasaidiwa' na wanawake, nyie ambao si wa Dar 'mnasadiana' wenyewe kwa wenyewe..??

Ngalikihinja, ninavyokufahamu katika post zako, wewe ni zaidi ya ulichokiandika. Labda iwe unatania au una maana nyingine. Kuna kitu sampling.
 
Last edited by a moderator:
Wanaume wa dar acheni kula chips mayai... Ndio zinawafanya muwe legelegee
 
Kweli mkuu hata mimi niliisikiliza clip ile ila nilisikitika sana kwanini wanaume walishindwa kumdhibiti.

Wanaume wa Dar mje mjibu tuhuma hapa.

Na huyo mwanamke atakuwa ni mwanamke wa Rombo bila shaka.
Wife-beating-husband.jpg
2Q==
attachment.php
 
dudumizi09

Wanaume hata wakiwezeshwa. ........(malizia) ndiko tuliko kwa sasa.
Wewe soma uzi za humu nyingi ni madhaifu ya wanaume mara kushindwa kitandani, kushindwa kuhudumia family, kushindwa kulipa bill. .. Nk.
Ikishindikana wafadhili wanawake tatizo kipindi kile ilikua wanawake wakiwezeshwa wanaweza lakini sasa kimegeuka na mbaya hata wanaume wakiwezeshwa ndio wanalala kabisa hawajiongezi ndio shida na madhara ya umarioooo hapa mjini.

Kamata mwizi men
 
Last edited by a moderator:
Kiukweli hao wanaume waliokuwa ktk daladala wametuaibisha. Wanamshindwa kichaa mmoja aliyetaka kuangamiza maisha ya watu? Je ingekuwa kwenye familia ina maana mwanaume umtegemee mke kuokoa familia na yeye yupo? Wanaume wengi ni majasiri ila hao waliokuwa ktk daladala labda walikuwa na mawazo ya kuwahi kujiandikisha kwenye BVR.
 
Tuacheni na DSM yetu! Visu tumepigwa sisi na Mwanaume mwenzetu wa DSM, nyie huko Mashambani kinawauma nini? Tulieni, tutakuja kuwapa mrejesho wa kitakachomkuta yule mwehu!
 
1. Hivi wanaume wa Dar wote walitoshaje kwenye lile basi..??
2. Wanaume wa Dar wote hawana magari binafsi au waliyopewa na wanakofanyia kazi hadi wakajazane kwenye lile daladala moja..??
3. Wanaume wa Dar wote walikosa madaladala hadi wajazane kwenye daladala moja..??
4. Wanaume wote wa Dar walikuwa wanaelekea sehemu moja ambako lile daladala lilikuwa linaelekea..??
5. Haya, wanaume wa Dar 'wanasaidiwa' na wanawake, nyie ambao si wa Dar 'mnasadiana' wenyewe kwa wenyewe..??

kabila lao wote ni wanaume wa dar haijalishi wengine walikuwa wapi..kabila lao ni wanaume wa dar! acheni kula mahindi ya kuchoma na chumvi jamani!
 
Wanaume hata wakiwezeshwa. ........(malizia) ndiko tuliko kwa sasa.
Wewe soma uzi za humu nyingi ni madhaifu ya wanaume mara kushindwa kitandani, kushindwa kuhudumia family, kushindwa kulipa bill. .. Nk.
Ikishindikana wafadhili wanawake tatizo kipindi kile ilikua wanawake wakiwezeshwa wanaweza lakini sasa kimegeuka na mbaya hata wanaume wakiwezeshwa ndio wanalala kabisa hawajiongezi ndio shida na madhara ya umarioooo hapa mjini.

Kamata mwizi men

nasikia wanakula mahindi ya kuchoma na chumvi
 
Chezea wanawake wa rombo wewe! wanachinja nguruwe wenyewe sembuse dogo na kajikisu tu.

haaaa...hata kwenye maziko wanachimba makaburi na kubeba maiti wenyewe
hawataki shobo ya "wanaume nlegea " kama wa dar.

Ulanzi-640x360.jpg
IMG-20150519-WA0002.jpg
images
IMG-20150519-WA0001.jpg
 
Kweli mkuu hata mimi niliisikiliza clip ile ila nilisikitika sana kwanini wanaume walishindwa kumdhibiti.

Wanaume wa Dar mje mjibu tuhuma hapa.

Hahaaa, wanaume wa Dar wamepwelepeta sana,. na ndo maana wachagua ma ccm
 
watu wanashindia na kulalia mboga(VIEPE/CHIPS) mnatarajia nini?
 
kabila lao wote ni wanaume wa dar haijalishi wengine walikuwa wapi..kabila lao ni wanaume wa dar! acheni kula mahindi ya kuchoma na chumvi jamani!
Ha ha haaaaaaa vijana kazi yao kukatisha na vibegi tu hasubuhi mapaka jioni..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom