Wanaume wa Dar katika kashfa nyingine tena

Wanaume wa Dar katika kashfa nyingine tena

Kwa hili mimi naomba kusema kwamba sikuwepo Dar wakati tukio linatokea na nilirudi likiwa limetokea. Kwa hili hizi aibu hazinihusu maana kwa kweli sikuwepo na ni jambo la aibu sana kwa kweli kwetu sisi wanaume.

Naungana na watu wa nje ya Dar kulaani vikali sana wanaume wenzangu wa Dar waliokuwepo wakati tukio linatokea bila kujali alikua ndani ya daladala au la. Ni aibu kubwa kwa hii jinsia ya kiume,kwamba mama mmoja baada ya kumlainisha yule kibaka ndio wanaume wakajitokeza kumuua, haikubaliki na ni jambo la aibu na la kukemea.

Kazi ya mama likuwa kumkamata na wanaume kumalizia, dar es salam ushirikiano DSM oyeeeeee
 
Wanaume wa dar,,,waoga kweli...

Kazi ya wanaume wa dar ni kuumiza vichwa juu ya Tz tuiendeshe vipi na si issue ndogo2 kama hiyo. Kazi ya wa mama wa dar ni kupambana na vibaka. Hiyo ni moja ya wajibu wao, na hii ni baada ya kugawana majukumu. Dar tunajitambua.
 
Chips mayai zimezidi sana Dar.
Ndizo zinafanya wanaume wanakuwa lege lege.
 
Nimesikiliza clip ya dada mmoja anaeelezea mtu alie choma watu kisu
ndani ya daladala.

Eti wanaume watu wazima walikuwa wanakanyagana kukimbia.

Hadi mama mmoja jasiri alipo jitolea na kukishika kile kisu cha mvamizi hadi kikamkata vidole.

Eti ndipo wanaumewakajitokeza
kweli jamani wanaume wa Dar!
Hadi msaidiwe na kina mama!
Aibu iliyoje hii.

Lakini wanabeba icon ya wanaume wote wa dar,dar kuna mashoga tu hakuna wanaume.

Duh usitukane sio vizuri. Inaonyesha we ni mtu wa aina gani.
 
Kuna maeneo yao wana ubora wao ! Katika starehe na kwenye Pichu.
 
1. Hivi wanaume wa Dar wote walitoshaje kwenye lile basi..??
2. Wanaume wa Dar wote hawana magari binafsi au waliyopewa na wanakofanyia kazi hadi wakajazane kwenye lile daladala moja..??
3. Wanaume wa Dar wote walikosa madaladala hadi wajazane kwenye daladala moja..??
4. Wanaume wote wa Dar walikuwa wanaelekea sehemu moja ambako lile daladala lilikuwa linaelekea..??
5. Haya, wanaume wa Dar 'wanasaidiwa' na wanawake, nyie ambao si wa Dar 'mnasadiana' wenyewe kwa wenyewe..??

1...
Ndio maana hata nchi zina wawakilishi! hao wachache wa kwenye dala dala waliwawakilisha nyie wengi ambao hamkuwemo katika dala dala!
 
Sasa mijanaume inakula chips mayai na kulamba malimao unategemea nini hapo?

karibuuu hapa stereo bar kinondoni studio kwa massawe wanajaaga wengi kula hii kitu
 
Attachments

  • 1437736471936.jpg
    1437736471936.jpg
    52.5 KB · Views: 210
Watu kutoka rombo utawajua tu lazma issue kama hii wataikingia kifua sana mradi tusahau ya rombo! Na wale bita ni bita mura hawachelewi kujiua

Sàsa yale ya rombo yana tofauti gani na hii kashfa ya wanaume wa dar???
Rombo kilichozidi ni mkuu wa wilaya kulifanya tatizo kuwa la kila mme. Mtajisikiaje kama mkuu wenu akaibuka kwenye media na kuwatuhumu wanaume wote wa dar
 
Nimesikiliza clip ya dada mmoja anaeelezea mtu alie choma watu kisu
ndani ya daladala.

Eti wanaume watu wazima walikuwa wanakanyagana kukimbia.

Hadi mama mmoja jasiri alipo jitolea na kukishika kile kisu cha mvamizi hadi kikamkata vidole.

Eti ndipo wanaumewakajitokeza
kweli jamani wanaume wa Dar!
Hadi msaidiwe na kina mama!
Aibu iliyoje hii.

Wanaume wa dar sijui tukoje
 
Wanaume waliokuwa ndani ya basi hilo Dar, sio wanaume wote Dar.

Kama umesoma mambo ya takwimu utajua kuwa wanaume waliokuwamo humo walikuwa true representative sample of DSM population kwa kuwa waliingia kwenye dala dala randomly... It means kwa hali yote wana wakilisha wanaume wa Dar! you can not escape that.
 
Wanaume wa nje ya Dar si ndiyo hawana nguvu za kiume wanakodi wanaume toka Kenya.
 
Nimesikiliza clip ya dada mmoja anaeelezea mtu alie choma watu kisu
ndani ya daladala.

Eti wanaume watu wazima walikuwa wanakanyagana kukimbia.

Hadi mama mmoja jasiri alipo jitolea na kukishika kile kisu cha mvamizi hadi kikamkata vidole.

Eti ndipo wanaumewakajitokeza
kweli jamani wanaume wa Dar!
Hadi msaidiwe na kina mama!
Aibu iliyoje hii.

Mie ninachojua wanaume wa mikoani hawana nguvu za kiume wanakodi wanaume Kenya
 
Nimesikiliza clip ya dada mmoja anaeelezea mtu alie choma watu kisu
ndani ya daladala.

Eti wanaume watu wazima walikuwa wanakanyagana kukimbia.

Hadi mama mmoja jasiri alipo jitolea na kukishika kile kisu cha mvamizi hadi kikamkata vidole.

Eti ndipo wanaumewakajitokeza
kweli jamani wanaume wa Dar!
Hadi msaidiwe na kina mama!
Aibu iliyoje hii.

Chips yai
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom