aliekatakamba humutuu
JF-Expert Member
- Feb 1, 2024
- 1,047
- 1,670
kausha babuuTulia, tulia, mkuu sikuelewi unakuja juu sana
kausha babuuTulia, tulia, mkuu sikuelewi unakuja juu sana
Kwa hiyo?Jamaa yangu wa Dar aniniambia kwa sasa Dar kuna baridi sana kiasi kwamba kama huna water heater inabidi upange foleni ya kuchemsha maji na watoto.
Binafsi sidhani kama Dar es salaam kuna baridi ya namna hiyo.
ukielewa kuhusu mabadiliko ya hari ya hewa utakua mpoleJamaa yangu wa Dar aniniambia kwa sasa Dar kuna baridi sana kiasi kwamba kama huna water heater inabidi upange foleni ya kuchemsha maji na watoto.
Binafsi sidhani kama Dar es salaam kuna baridi ya namna hiyo.
Kunywa maji kwanza mjukuukausha babuu
dar kipupwe sana siwezi kunywa maji sasahivi.nakula nyama kwanza na juisi ya matundaKunywa maji kwanza mjukuu
Nyama au miguu ya kuku na kichwa, kuwa mkweli tudar kipupwe sana siwezi kunywa maji sasahivi.nakula nyama kwanza na juisi ya matunda
wewe mzee sijazembea kama wewe ulipokua kijana.napigakazi za akili hela nyingi sana njoo nikuajili babuNyama au miguu ya kuku na kichwa, kuwa mkweli tu
Sawa sawawewe mzee sijazembea kama wewe ulipokua kijana.napigakazi za akili hela nyingi sana njoo nikuajili babu
Hakuna baridi kiasi hicho,maana nimetoka huko juzi kuna ka ubaridi flani hivi,na hii naona inatokana na mabadiliko ya tabia nchi...Jamaa yangu wa Dar aniniambia kwa sasa Dar kuna baridi sana kiasi kwamba kama huna water heater inabidi upange foleni ya kuchemsha maji na watoto.
Binafsi sidhani kama Dar es salaam kuna baridi ya namna hiyo.
Siku nikikushika ni mwendo wa kukuliza kwa asali tu😂Wanaume wa dar utawaweza mahindi ya kuchoma wanatia pilipili na chunvi 🤣🤣
Eeh yamekuwa hayo tena🤣Siku nikikushika ni mwendo wa kukuliza kwa asali tu😂
Baridi litoke wapi darJamaa yangu wa Dar aniniambia kwa sasa Dar kuna baridi sana kiasi kwamba kama huna water heater inabidi upange foleni ya kuchemsha maji na watoto.
Binafsi sidhani kama Dar es salaam kuna baridi ya namna hiyo.
Ndio honey❤️Eeh yamekuwa hayo tena🤣
Ok sweetheart nakupenda piaNdio honey❤️
Nimesikia fujo za furaha ndani yangu mwaaa❤️Ok sweetheart nakupenda pia