Dar hakuna mashamba hivyo mahindi yote yanatoka mikoani na hadi kufika dar masokoni na kwa mlaji ni zaidi ya siku mbili na kwa muda huo mahindi yanakuwa yashapoteza ladha halisi. Sasa ili kulifanya liwe na ladha baadhi ya walaji hutia chumvi na pilipili na wakati mwingine limao ili mradi kuchangamsha mdomo.Wanaume wa dar utawaweza mahindi ya kuchoma wanatia pilipili na chunvi 🤣🤣