Ni kweli kule hawatupi kituIla maisha ya Dar, ni full tafrani, eti vitu vya kuku ambavyo huku mkoani tunatupa, km utumbo, kichwa, na miguu,
Wao ndo wanatengeneza vizuri na kulaa.
😂😂😂😂😂 Lol
Haswaaa.Ni kweli kule hawatupi kitu
Hatujazoea matesoDaaah! We jamaa, hacha uzembe.
Rhabhekhaaa.Naam!
Kuna siku kinakuwa cha kishkaji like today, pia kuna siku it hits hard!!Weee kuna baridi kweli sio utani!
Yeah. Sasa hivi shwariNasikia siku mbili tatu hizi hali ya hewa imeresume.
Kweli mkuuKwa tulipishi sehemu za baridi, hapa hamna baridi.
Ila kwa waliokulia hapa kwao hili ni baridi kali wanahisi kuganda.
Nani huyo anakupa report mkuu, au na wewe upo Dar baridi linakukong'ori?!!Nimeambiwa kuwa leo mambo siyo shwari, kuna hatari ya mnyama ngiri kuingia mjini.
Hapa unamzungumzia baba yako au umetujumuisha wanaume wote wa Dar? Una uhakika wote tunalalamika baridi au ni huyo ndugu yako?Jamaa yangu wa Dar aniniambia kwa sasa Dar kuna baridi sana kiasi kwamba kama huna water heater inabidi upange foleni ya kuchemsha maji na watoto.
Binafsi sidhani kama Dar es salaam kuna baridi ya namna hiyo.