Shammy-
JF-Expert Member
- Dec 2, 2022
- 7,177
- 18,841
Eeh nilisahau na muuzaji akiwa hana wanampita😆😆Na limao 😅😅😅 nilishangaa sana
Eeh nilisahau na muuzaji akiwa hana wanampita😆😆Na limao 😅😅😅 nilishangaa sana
Bad enough hadi utumbo wanakula🤣🤣Ila maisha ya Dar, ni full tafrani, eti vitu vya kuku ambavyo huku mkoani tunatupa, km utumbo, kichwa, na miguu,
Wao ndo wanatengeneza vizuri na kulaa.
😂😂😂😂😂 Lol
Hapo sasa, 😂😂😂😂Bad enough hadi utumbo wanakula🤣🤣
Wenyewe wanaita kulumbuaa ..ukiwakuta wanachovya kwenye pilipili hvyo vi miguu huwaambii kitu😆😆Hapo sasa, 😂😂😂😂
😂😂😂😂Wenyewe wanaita kulumbuaa ..ukiwakuta wanachovya kwenye pilipili hvyo vi miguu huwaambii kitu😆😆
Hawa jamaa wa ajabu! Badala ya kula vichwa vya samaki, wanakula vya kwiyoo...Ila maisha ya Dar, ni full tafrani, eti vitu vya kuku ambavyo huku mkoani tunatupa, km utumbo, kichwa, na miguu,
Wao ndo wanatengeneza vizuri na kulaa.
😂😂😂😂😂 Lol
25 C` Mkuu..Leo ujotojoto ni nyuzi ngapi?
soma uelewe jinga wewe.Mkuu tulia kwanza ueleze hoja yako taratibu, enhe unataka kusemaje?
wacha wee mtoto mzuriiMimi kuwe na baridi au joto naoga maji ya moto nishazoea toka utoto
Tulia, tulia, mkuu sikuelewi unakuja juu sanasoma uelewe jinga wewe.
Tumezoea 30 plus, hyo 25 c kwetu ni baridii sana..Joto lote hilo umekosaje kuoga?