Perfectz
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 9,568
- 29,663
Kuna wengine wanaishi urusi watadai pia Tanzania yote hakuna baridi🤔 hivyo ni haki yao wadai kuna baridi hata kama wewe wa mafinga unaona hakuna baridi
CASE CLOSED
Kuna wengine wanaishi urusi watadai pia Tanzania yote hakuna baridi🤔 hivyo ni haki yao wadai kuna baridi hata kama wewe wa mafinga unaona hakuna baridi
AiseeKuna wengine wanaishi urusi watadai pia Tanzania yote hakuna baridi🤔 hivyo ni haki yao wadai kuna baridi hata kama wewe wa mafinga unaona hakuna baridi
Huenda ikawa hivyo...Kwa wakazi wa dar walizoea joto la mpaka 30 - 32°C, kipindi hiki kwao ni baridi. Nafikiri ni issue za mwili unavyoendana na mazingira na siyo issue ya uanaume
Wana deka hawaEeeh!

Na limao 😅😅😅 nilishangaa sanaWanaume wa dar utawaweza mahindi ya kuchoma wanatia pilipili na chunvi 🤣🤣
Ndio mkuu..niko mubashara.Inaripoti kutokea viunga vya Dar Mkuu?
Jamaa yangu wa Dar aniniambia kwa sasa Dar kuna baridi sana kiasi kwamba kama huna water heater inabidi upange foleni ya kuchemsha maji na watoto.
Binafsi sidhani kama Dar es salaam kuna baridi ya namna hiyo.
Ila maisha ya Dar, ni full tafrani, eti vitu vya kuku ambavyo huku mkoani tunatupa, km utumbo, kichwa, na miguu,Wanaume wa dar utawaweza mahindi ya kuchoma wanatia pilipili na chunvi 🤣🤣
😂😂😂😂Na limao 😅😅😅 nilishangaa sana
Mkuu tulia kwanza ueleze hoja yako taratibu, enhe unataka kusemaje?halafu nyie kummer mkija dar kipindi joto linagonga nyuzi 36 mnaanza kulalamika na kutuuliza (mnaishije na joto lote hili)
mijitu ya mikoani mishamba sana kazi kuroga tu