blessed happy
Member
- Nov 6, 2018
- 13
- 9
yeah ni kweli na hapo huwa ni ngumu sana kuvubja huo ukuta ni either mtoto alelewe kwa upande mmoja au mtoto alelewe chini ya familia yenye visa na huwa inakujaga pia watoto wanakuwa na trauma maana kwa kawaida psychopath huwa wana treat mtu yeyote vibaya akishakosa victim wa karibu na kama ni mtoto kaachwa na mama basi itakuwa shida kwake mbeleniRight on point.nakuelewa sana hapa kaka,kukaa mbali na wanawake wa aina hii ni best solution,lakini kama mmezaa inakuwa ngumu kidogo.Umezungumzia wana penda control,mkiwa na mtoto atamtumia kuhakikisha you are within her grasp,bahati nzuri nimeistukia hii,kwani unaona kabisa vimitego tego lakin unauchuna tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahahaahah Jael kuna mtu kakumiss hukuKuna mambo ya hatari hapa duniani, ila hakuna kinachozidi mke mkorofi.
Me nimepata bahati na mke mwema mpole na mcha MUNGU, tatizo ni mama yake.
Jael Heaven Sent
Sent using Jamii Forums mobile app
yeah ni kweli na hapo huwa ni ngumu sana kuvubja huo ukuta ni either mtoto alelewe kwa upande mmoja au mtoto alelewe chini ya familia yenye visa na huwa inakujaga pia watoto wanakuwa na trauma maana kwa kawaida psychopath huwa wana treat mtu yeyote vibaya akishakosa victim wa karibu na kama ni mtoto kaachwa na mama basi itakuwa shida kwake mbeleni
mtoto atapigwa na kusemwa kila neno kisa tuu mama ana hasira isiyo isha na huwa ni mbaya sana sana
pole sana kaka kama wewe si mwenye matatizo omva ukae na mtoto maana akikaa na mama ambae ana hayo matatizo inakuwa balaa au
hashindwi kumchukua mtoto aakenda kulelewa na baba mwingine ni sawa ila mtoto anaweza pia asipate haki zake kule na kutokuwa free kama mama hayupo na hasa akiwa wa kike kuna hatari zaidi ya yeye kunyanyaswa kingono
Sent using Jamii Forums mobile app
Wenye masikio nawasikieHuu Uzi bado upo.Poleni mnaokumbana na wanawake wakorofi.Siku zote mi huwa naamini mmoja akipanda juu mwingine ashuke kuepusha Shari.Sipendagi mabishano nkiona mwenzangu (Mme) anafoka mara nyingi naongea maneno machache namwacha aendelee.Nlichojifunza mimi wanawake huwa tuna maneno mengi kuliko wanaume kuepusha ugomvi usiwe mkubwa bora kukaa kimya wakati mwingine.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mmachame wangu ni hatarii ila amenipata! Akimwaga ugari namwaga maharage ya nazi. Uwa napiga za chembe usiku unasikia anakuletea simu ongea na mama. Akinipa nasikia msamehe mwenzio! Mamaye!
Kyela?Nliwah kuwa na dada mmoja kutoka kanda ya nyanda za juu magharibi mmmmh....aiseee, alikuwa ananionea sana!
Hiyo inaitwa kata funua,lazima ajambe checheHiki alichofanya huyo malaya ndo hufanya wanawake wengi wabutuliwe.
naona ulifanyia kazi ushauri mkuu alikua anakuchukulia poa nimecheka sanaDah! Mimi nilikuwa naye yaani ni mgomvi anaharibu vitu na alikuwa anapenda kupigana huku akiniamrisha na maneno maneno.
Nikaenda polisi kutoa ripoti nikaongea nao polisi wamwite wamkanye na anirudishie baadhi ya vitu vyangu,maana alichoma nguo zote ndani,yaani kazikusanya zote katia mafuta ya taa alafu kanipigia simu kanitambia ubabe ubabe pale dah!. Yule polisi alinishangaa sana,akaniambia angekuwa yeye huyo mwanamke angekuwa kilema,lakini akanisaidia maana tunafahamiana ikaisha kiaina.
Sasa akalianzisha tena akavunja baadhi ya vitu akaanza tena kunletea habari zake aisee nilimpiga yule mwanamke mpaka alikimbia na hajarudia tena.
Tunafanana kwenye hili asea na Mimi huwa siongeagi kbsaaa..ila cku nikikumata..hhahahahaha uzi unafurahisha kweli kweli,binafsi mimi sitakagi mtu anitibue,sipend kbs maneno na mtu maana kiasili mimi
najijua nina hasira mby kadri navyokua naona naweza kujicontrol...ila hua naamini naweza ua mtu aic..
mimi ht men arud baada ya week siezag kbs kuuliza ulikua wapi tena nakupa salam mbashara ,ila watu design yangu WABAYA SN.bora kuspeak out inarealise hasira na mihemko
Teh! Wangu kuna siku nilimzaba kibao akaninyanyua juu juu kama wacheza mieleka na kunibwaga chini...nikajikaza nikasimama kujibu mapigo gafla nikala kichwa moja matata aisee hapo nikatambua hapa sipigwi na mwanamke bali napigwa na mwanaume mwenzangu. Nilipandiaha sumu haswa nikiwa pale pale chini nilijizungusha na kumtandika mtama mmoja maridadi na kuanguka kama gunia la viazi. Alivyoamka nikamtandika bonge moja la kofi maana sikutaka kumpiga ngumi kwasababu nilijua ntamuumiza sana, kumbe huruma yangu iliniponza....Ile nageuza mgongo nitoke nje sikujua nini kiliendelea tena mpaka nilivyokuja kuzindukia muhimbili nikiwa na bandeji kubwa kichwani. Ebanae kumbe yule mwanamke alinitwika lililokuwa pale sebuleni. Niliachana nae japo alikuwa na mimba yangu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kipindi nipo chuo
Nlikua nnamanzi msukuma afu mnene anamwili hivi
Workshop kwao walimtegemea kwenye makazi magumu magumu[emoji23][emoji23][emoji16][emoji16]
Sasa kunaday nmebana chobi za chuo nnapiga story na manzi mmja hivi cute kidogooooo kumbe kaniona!!! Akanivungia kimyaaaaaa
Ikafika time yakwenda kwenye ground
Mimi napenda volleyball
Na ground ya volleyball pale chuoni ilikua pembeni pana kibustani hivii
Akaja akaniita ...Sasa me namfata na vibe Kama lote
Akanmby kelphin kepph si nilikukataza kuongea na ru..........
Nkasema Amna mbona me sijaongea nae[emoji23][emoji23][emoji23]
Akasema nmekuona unachukua namba yake ,,nkawa natoa phone aone Kama kunanamba yake
Heeeeeeeeeeeee!!!! NLIKULA KOFIII[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] MOJA
Nkahisi Kama skio halioni[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kha ikabidi nkimbie ....nlikasilika Sana nkpanga nimuache
Sema aliombaga sana msamaha
Nkamsamehe tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisaa! Na nimerudisha afya yangu sasa hata suruali inanikaa vyema
dah we kama mamsapu wangu, lemulemu (mulemule) [emoji16]Mimi ni mpole sibishani na mwanaume ilaa sivumilii usalit hata kidogo
Wewe masikio yako yanaona eeh 😂😂Kipindi nipo chuo
Nlikua nnamanzi msukuma afu mnene anamwili hivi
Workshop kwao walimtegemea kwenye makazi magumu magumu[emoji23][emoji23][emoji16][emoji16]
Sasa kunaday nmebana chobi za chuo nnapiga story na manzi mmja hivi cute kidogooooo kumbe kaniona!!! Akanivungia kimyaaaaaa
Ikafika time yakwenda kwenye ground
Mimi napenda volleyball
Na ground ya volleyball pale chuoni ilikua pembeni pana kibustani hivii
Akaja akaniita ...Sasa me namfata na vibe Kama lote
Akanmby kelphin kepph si nilikukataza kuongea na ru..........
Nkasema Amna mbona me sijaongea nae[emoji23][emoji23][emoji23]
Akasema nmekuona unachukua namba yake ,,nkawa natoa phone aone Kama kunanamba yake
Heeeeeeeeeeeee!!!! NLIKULA KOFIII[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] MOJA
Nkahisi Kama skio halioni[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kha ikabidi nkimbie ....nlikasilika Sana nkpanga nimuache
Sema aliombaga sana msamaha
Nkamsamehe tu
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]kamuua mbwa wa John Wick[emoji23]
Na chabaridi....Hahaha si unajua enzi zetu tulikuwa na fantasy za tall dark guys; kuja kwenye reality ndo unakutana na kitu short afu cheupe teh
Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda chukua mtoto....kuna mademu wagomvi...huyu yy alikuwa anaacha kazii zake anakuja kunivizia niko na nani...mara anikunje shati anataka anipige..
wee nilivyomkacha hadi leo hii hajaamini.!
na bahati mbaya zaidi nilizaa naye...mtoto amekuwa fimbo ya kunipelekesha