Wanaume: Ushawahi kuwa na mwanamke mgomvi?

Wanaume: Ushawahi kuwa na mwanamke mgomvi?

Usiombe!...
Hapa ninapoandika hii text nimehamia chumba kingine na kutandika godora chini.....(Nalala huko).Ni HATARI..Huyu wangu ni hatari...Yeye akishachukia...hubomoa Milango,kuvunja TV,kuchana masofa....
YAANI...Bora wasio oa...hii ndoa yangu ni ngumu mno....
Na ukitaka kukusanya mtaa mzima uwe unajibizana naye....So me nimechagua kuto kujibizana naye na kuhamia room nyingine....
Kabla ya kuoa msio oa....
Waangalieni Vizuri wadada
Pole sana mkuu
 
Nishawahi kuwa na mwnamke mgomvi,nilijuta,alafu bahati mbaya alikuwa mzuri dizain za kina masogange hivyo kumuacha unafikilia mara mbili utampata wapi kama yule.

Unaweza ukafanya mazuri kibao,usipomfanyia moja tu,yaani anasahau yote na analianzisha! Hapo sahau sex,kuongea hata chakula ndani siku hiyo akipikwi bahati mi mwenyewe si mbaya jikon.

Wanawake wakorofì wanapenda wivu wa kijinga,hawapendi kusikiliza,na ni kama watoto anapenda sana kuridhishwa wakati wao hawajitahid hata kidogo kwenye mapenzi,M/Mungu aniepushe kukutana na aina hii tena.
Yupo wapi leo
 
Ko una maanisha una weza shituka, steel waya ipo kwenye mboga 😂🦅
tulikuwa tunatumia account moja ya insta tukagombana kisa nilifungua account nyingine ili nitangaze biashara na password nikampa sasa vile wateja wanauliza dm nawajibu wengine wanauliza kuhusu delivery nawaambia delivery ipo basi akamind akanibadilishia password kwenye ile personal account yetu mie ata sikuuliza kitu nilichofanya nikuirudisha account kwenye himaya yangu na yeye akawa out 🤣🤣 basi alivyoona vita nimeishinda bila kupiga kelele kwa hasira likavunja simu yangu
 
Duh mbona ana hasira na maamuzi ya ajabu, mli paswa mzungumze sio ku react hivyo.

au aliona viashiria kabla,?
 
Hamna ni wivu tuu target yake alikuwa anataka awasiliane na wateja yeye
biashara ya kwake mpaka afanye hivyo?, haoni ana haribu image ya biashara?

Mfano uongee na ke, ghafla aje me lazima uwaze vibaya.

sema Kwa unavyo semaga ni kisu, hata mimi ninge pigana😂🦅
 
biashara ya kwake mpaka afanye hivyo?, haoni ana haribu image ya biashara?

Mfano uongee na ke, ghafla aje me lazima uwaze vibaya.

sema Kwa unavyo semaga ni kisu, hata mimi ninge pigana😂🦅
Biashara ni yangu, nahisi ana matatizo maana hizo insecurities ni too much, nipo kawaida ila nikila vizuri protein na gym kidogo basi nakuwa pisi kali 😂😂
 
Biashara ni yangu, nahisi ana matatizo maana hizo insecurities ni too much, nipo kawaida ila nikila vizuri protein na gym kidogo basi nakuwa pisi kali 😂😂
Ume nikumbusha nyimbo ya insecure by sauti sol, ni kawaida labda kahisi kitu.

hebu ka picha nione 😊 🦅
 
Back
Top Bottom