Wanaume: Ushawahi kuwa na mwanamke mgomvi?

Dah me ninalo hilo janga aise sijapata kuona msichana mgomvi kama huyu niliye nae, wiki kama mbili hivi zimepita alikuja kunianzishia bonge latimbwili mwanamke aamuliki kosa langu nikumpiga kibao2 ndio ikawa nimechokoza aise yaan nikaamua nimuache afanye kile anachotaka alinikaba shingo maumivu niliyohisi aise nilijikuta nimepiga kelele maana nilihisi kufa nilipotoka hapo kwahasira nilimuuma shavu ila ndio akasara hatar watu wanaamua ila wap mpaka akaja mama yake mtu ataki kuacha ugomvi kanikwida kama vile mwizi mpaka akaja mama yangu mtu bado2 kakaza ikabidi wamuamue kwangu watu wanne ndio walifanikiwa kumtoa ndani naalipotolewa ndan nikaambiwa nijifungie mlango ndani, akawa kazinda mlangoni anatukana hatar anafoka mpaka akazimia hapo hapo mlangoni yaan mpaka sasa anaumwa maana alilazwa kabisa baada yakumpeleka hospital
Mtakuja kuuana nyie!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
huyu nilimsapoti uchokozi wake kwa wenzake tukiwa kidato cha 6, wote walikuwa wanajitenga nae kwa ukorofi ila mimi tu ndo kusema wanamuonea.

akawa rafiki nikammiliki mchanganyiko wa msomali na mnyakyusa hahahaha ligi yake nilikuwa nafurahi sana, alikuwa akiwasha moto nakaa kimya sana maana balaa lake nalijua na nilisha lishuhudia tukiwa skuli.

siku akalianzisha nko na frend wangu si akaingilia kumpoza hahahahahaha!!! alimgaragaza balaa, jamaa anaomba niingilie nilicheka sana.

kuna wanawake ni kukaa nao mbali, maana ni kero na kukuaibisha ni dakika chache.
So umemuoa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wangu mkorofi balaa na mkikwaruzana kidogo tu anakimbilia kuniuma meno hapa nilipo nina makovi matatu ya meno lakini rafiki yangu alinishauri dawa ya mwanamke mkorofi unatakiwa umdunde haswa bila huruma siku nyingine akikumbuka kipondo ulichompa ataishia maneno tu kwa kweli namshukuru jamaa maana kuna siku alilianzisha niliponda kama sio wapangaji ningeua. Sasa hivi tuna miezi kama kumi na moja hivi tuko shwari kabisa
Duh na bado mko pamoja hadi Leo!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu pole sana....na mimi nina wa dizaini hiyo hiyo dah! Natamani kweli kumtema ila nikiangalia lile hips na tako nashindwa kabisa kumtema.

Sent using Jamii Forums mobile app
Duh,huu uzi bado unaendelea,lol. Mambo kwangu yamebadirika,hatupo tena na yule demu.Ingawa bado tunaongea vizuri lakin mambo mengi tulipitia mpaka kupelekana polisi.kwa sasa tuna amani na nipo na mpenzi mwengine, ambae ni mpole na ananiskiliza sana.ugomvi hauwezi na mimi najitahidi kwake.Ila yule ex wangu mtemi bado anadai yupo single sijui kweli au anazingua tu.

a narcissist psychopath woman on her point usiingie kwa huo mtego uta katwa katwa vipande na kama ulimuacha kwa kushtukiza imeleta injury moja ambayo hatokuja kuisahau maishani na huwa bado wanataka wawe na access kwa ex zao kwasababu wanahitaji kufeel superior wakati si superior

njia pekee ya kumpiga kisaikolojia akafeel yupo kaburini ni kumkatia mawasiliano na never ever talk to her hata kwenye mitandao ya kijamii hapo mnavyo ongea kwenye akili yake bado anaona upo kwenye zizi lake na huwa wanaharibu sana psychology za wenza wao

wanawake wagomvi nadhani wanatokana na malezi ya utotoni huenda yeye hakuwa na furaha na kuna trauma alijengewa na zinamuumiza huwa wakikuwa kwenye hayo mazingira baadae huwa ni shida kwa wapenzi au mtu wa karibu

na wengine hasa walio nyanyaswa kingono utotoni na ule umri wa kwenda shule na wakapata watoto na kwa bahati mbaya wakalea watoto wenyewe kaka yangu ukishaona hii aina kaa mbali huwa wanavidonda na jeraha kichwani lisilo isha they are really broken inside kiasi ambacho wanaweza kuua au kujiua tuu maana huwa wanaona mambo yao hayaendi maishani

cha kuzingatia ukiona unaanzisha mahusiano na binti yoyote hata siku mbili au wiki kupita ameshakuhadithia visa na matatizo yake maisha hiyo ni red flag kaa mbali yaani umepewa taa nyekundu wewe unapita kana kwamba ni kijani na huwa akija kuanzisha ugomvi wanajificha kwenye mivuli cha nime nyanyaswa tokea utotoni na wewe leo uliahidi kunipenda na unanipiga (wakati hapo yeye ndio kaanza) kaka kimbia acha mahusiano atakurudisha nyuma

wasichana wazuri wakarimu wapo afya yako ya ubongo ni bora kuliko hisia zako

usitake akili yako na future yako iharibike kisa hisia za kimapenzi kuwa imara

na huwa saa nyingine mtu anahisi kuachana nae amepoteza kila kitu na huwa wanaume au wavulana hurejea na hapo ndio huwa vituko haviishi maana umeonyesha kuwa mdhaifu kijana wa leo kuwa makini hawa wadada wapo wengi sana mtaani na wengi wao ndio hao unawaona wazuri wana shape sura na kila kitu lakini they're really dangerous dangerous they can damage your mind forever kama hauko smart kuspot

muwe na siku njema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wakuu,

Katika mambo ambayo wanawake wanakosea ni kuwa wagomvi.

Hata katika mahusiano wanaume wanavumilia vingi, wengine huwaacha wasichana hao.

Wanaume wengine hukutana na msichana mwenye ugomvi na bila kujua anamuoa.

Sasa hapo ndio moto unawaka kwenye ndoa ndio wanaume wananyooka mwanamke kitu kidogo tu kashalianzisha kwa mumewe.

Kwanini wanawake wanakuwa wagomvi?

Wanaume mliowahi kuwa na na wasichana/wanawake wagomvi tujuzeni hapa.

NB; Sio wanawake wote wagomvi.
Nilishawahi kukunjwa club na girlfriend wangu nikawa mdogo tu, sijui ubishi na ukaksi huwa unapotelea wapi wakati huo.

Ilikuwa hivi, enzi hizo week end(ijumaa) ilikuwa lazima nianze kulewa mapema, halafu usiku niende club.

Sasa nilifanikiwa na kuwa na urafiki na huyu dada ambaye yeye hakuwa na hobi ya kulewa na kwenda club, yeye alipenda sana kuangalia movies, na alinisubiri hadi usiku mida ninaorudi kutoka club.

Mara nyingi nilikuwa najikuta narudi asubuhi tena nkmechoka sana. Sina hakika nani alimtonya kuwa niyafanyayo huko club ni makubwa zaidi ya adhaniavyo.

Week end moja nikamuaga kama kawaida nikaenda club, sasa kwenye around saa nane usiku huyu dada akaamka, akavaa vizuri akaja club. Kwa wenyeji wa Iringa mnakumbuka zamani club kubwa zilikuwa mbili tu hiyo ilikuwa rahisi mtu kukutrace uko upande gani (palipo-happen).

Basi alipofika club akanikuta nimetengenezewa duara nimekabambia katoto kachuo kanakata viuno huju nakanyonya nyonya, washkaji wananishangilia sana.

Bimdada alikatisha katikati ya washkaji akanikuta akanikunja (dada alikuwa na mwili mkubwa kidogo) na kunisemesha japo sikuwq namsikia kutokana na mziki mkubwa.

Akanivuta nje tukarudi home. Ilikuwa noma sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nakumbuka kuna demu alikuwa anapenda kunizingua sana,kwa sababu alikuwa anaambiwa miminimkulimaakachekasana ni mpole sana na marafiki zake(wengi wao nilisoma nao)

alikuwa akikasirika kidogo anavunja vitu ninayopenda(ashawahi vunja hata simu yangu),nikawa namvungua tu,ila siku niliyosikia ameua mbwa wangu-BOBBIE-_hakuamini nilichomfanya.Hakuamini kabisa kwasababu alishazoea kusingizia mapepo

Bobby18.1.jpg

RIP bobbie
kamuua mbwa wa John Wick😂
 
a narcissist psychopath woman on her point usiingie kwa huo mtego uta katwa katwa vipande na kama ulimuacha kwa kushtukiza imeleta injury moja ambayo hatokuja kuisahau maishani na huwa bado wanataka wawe na access kwa ex zao kwasababu wanahitaji kufeel superior wakati si superior

njia pekee ya kumpiga kisaikolojia akafeel yupo kaburini ni kumkatia mawasiliano na never ever talk to her hata kwenye mitandao ya kijamii hapo mnavyo ongea kwenye akili yake bado anaona upo kwenye zizi lake na huwa wanaharibu sana psychology za wenza wao

wanawake wagomvi nadhani wanatokana na malezi ya utotoni huenda yeye hakuwa na furaha na kuna trauma alijengewa na zinamuumiza huwa wakikuwa kwenye hayo mazingira baadae huwa ni shida kwa wapenzi au mtu wa karibu

na wengine hasa walio nyanyaswa kingono utotoni na ule umri wa kwenda shule na wakapata watoto na kwa bahati mbaya wakalea watoto wenyewe kaka yangu ukishaona hii aina kaa mbali huwa wanavidonda na jeraha kichwani lisilo isha they are really broken inside kiasi ambacho wanaweza kuua au kujiua tuu maana huwa wanaona mambo yao hayaendi maishani

cha kuzingatia ukiona unaanzisha mahusiano na binti yoyote hata siku mbili au wiki kupita ameshakuhadithia visa na matatizo yake maisha hiyo ni red flag kaa mbali yaani umepewa taa nyekundu wewe unapita kana kwamba ni kijani na huwa akija kuanzisha ugomvi wanajificha kwenye mivuli cha nime nyanyaswa tokea utotoni na wewe leo uliahidi kunipenda na unanipiga (wakati hapo yeye ndio kaanza) kaka kimbia acha mahusiano atakurudisha nyuma

wasichana wazuri wakarimu wapo afya yako ya ubongo ni bora kuliko hisia zako

usitake akili yako na future yako iharibike kisa hisia za kimapenzi kuwa imara

na huwa saa nyingine mtu anahisi kuachana nae amepoteza kila kitu na huwa wanaume au wavulana hurejea na hapo ndio huwa vituko haviishi maana umeonyesha kuwa mdhaifu kijana wa leo kuwa makini hawa wadada wapo wengi sana mtaani na wengi wao ndio hao unawaona wazuri wana shape sura na kila kitu lakini they're really dangerous dangerous they can damage your mind forever kama hauko smart kuspot

muwe na siku njema

Sent using Jamii Forums mobile app
Well said broh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nliwai kuwa ns mmoja ivi, pale alipopanga alikuwa mbabe kweli,, mara kapigana na mpangaji mwenzie,,

Mara napigiwa simu na wenzie shem uje mara moja hapa,, nauliza kuna nn? Naambiwa mwenzio X yupo kituoa cha polisi.

Tukafika tukaliweka sawa yakaisha,,

Baada ya mda wakapigana tena,, alafu yy akawai police,, napigiwa uje kituoni mambo yamejirudi tena,,

Yaaaan wanawake wagomvi wapo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi sikuwa na dem mtata ila kuna rafiki yangu wakati tunaishi hostel tukiwa wanafunzi wa chuo... Jamaa yangu alikuwa mpole sana ila manzi wake ni shida kisa kinaanza" jamaa siku iyo aliingiza dem mwengine apo hostel kwa room yake, dem wake yule mtata anakaa sehemu nyingine sasa dem wake kaja usiku kamkuta jamaa ndani na demu ila jamaa hafungui mlango mimi nasikiliza tu makelele uko kwa jamaa... Sasa nikampigia jamaa nikamwambia me namchukua shem apa njee niongee nae... we fanya fasta mtoe uyo kishada ndani sasa wakati naongea na shem wangu jamaa akafanikiwa kutoa ule mlupo ndani dem akaingia kalewa kinoma sasa siakaingia bafuni kwa jamaa yake akakuta chupi tena mbichi dadeki, ilibidi jamaa anisingizie kuwa mimi ndo niliingia na dem kule kwake nikasahau iyo kyupi... Wakaanza kuja kwangu dem anataka kujua kama ni kweli wakati huo mimi sijui chochote, sasa wanakuja kwangu na mimi nipo na manzi wangu room si dem akafunguka shem ni kweli wewe ndo ulikuwa na mwanamke kula kwetu mmeacha chupi? Tobaa huku dem wangu akasikia ilo swali maana dem wa jamaa anaongea kwa nguvu ikabidi niseme sio kweli we moto uliwaka jamaa akaanza kukimbia nje dem anamkimbiza sijui waliishia vipi!!! Maana na mimi nikaachiwa msala manzi wangu kaanza ugomvi kuwa iyo chupi uliiacha ulikuwa na nani namwambia sio kweli ugomvi kinoma dem akavunja pc yangu kwakuibamiza chini akasepa room kwake... Iliniuma ile mbaya asee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kuna mademu wagomvi...huyu yy alikuwa anaacha kazii zake anakuja kunivizia niko na nani...mara anikunje shati anataka anipige..

wee nilivyomkacha hadi leo hii hajaamini.!

na bahati mbaya zaidi nilizaa naye...mtoto amekuwa fimbo ya kunipelekesha
 
a narcissist psychopath woman on her point usiingie kwa huo mtego uta katwa katwa vipande na kama ulimuacha kwa kushtukiza imeleta injury moja ambayo hatokuja kuisahau maishani na huwa bado wanataka wawe na access kwa ex zao kwasababu wanahitaji kufeel superior wakati si superior

njia pekee ya kumpiga kisaikolojia akafeel yupo kaburini ni kumkatia mawasiliano na never ever talk to her hata kwenye mitandao ya kijamii hapo mnavyo ongea kwenye akili yake bado anaona upo kwenye zizi lake na huwa wanaharibu sana psychology za wenza wao

wanawake wagomvi nadhani wanatokana na malezi ya utotoni huenda yeye hakuwa na furaha na kuna trauma alijengewa na zinamuumiza huwa wakikuwa kwenye hayo mazingira baadae huwa ni shida kwa wapenzi au mtu wa karibu

na wengine hasa walio nyanyaswa kingono utotoni na ule umri wa kwenda shule na wakapata watoto na kwa bahati mbaya wakalea watoto wenyewe kaka yangu ukishaona hii aina kaa mbali huwa wanavidonda na jeraha kichwani lisilo isha they are really broken inside kiasi ambacho wanaweza kuua au kujiua tuu maana huwa wanaona mambo yao hayaendi maishani

cha kuzingatia ukiona unaanzisha mahusiano na binti yoyote hata siku mbili au wiki kupita ameshakuhadithia visa na matatizo yake maisha hiyo ni red flag kaa mbali yaani umepewa taa nyekundu wewe unapita kana kwamba ni kijani na huwa akija kuanzisha ugomvi wanajificha kwenye mivuli cha nime nyanyaswa tokea utotoni na wewe leo uliahidi kunipenda na unanipiga (wakati hapo yeye ndio kaanza) kaka kimbia acha mahusiano atakurudisha nyuma

wasichana wazuri wakarimu wapo afya yako ya ubongo ni bora kuliko hisia zako

usitake akili yako na future yako iharibike kisa hisia za kimapenzi kuwa imara

na huwa saa nyingine mtu anahisi kuachana nae amepoteza kila kitu na huwa wanaume au wavulana hurejea na hapo ndio huwa vituko haviishi maana umeonyesha kuwa mdhaifu kijana wa leo kuwa makini hawa wadada wapo wengi sana mtaani na wengi wao ndio hao unawaona wazuri wana shape sura na kila kitu lakini they're really dangerous dangerous they can damage your mind forever kama hauko smart kuspot

muwe na siku njema

Sent using Jamii Forums mobile app
Right on point.nakuelewa sana hapa kaka,kukaa mbali na wanawake wa aina hii ni best solution,lakini kama mmezaa inakuwa ngumu kidogo.Umezungumzia wana penda control,mkiwa na mtoto atamtumia kuhakikisha you are within her grasp,bahati nzuri nimeistukia hii,kwani unaona kabisa vimitego tego lakin unauchuna tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu Uzi bado upo.Poleni mnaokumbana na wanawake wakorofi.Siku zote mi huwa naamini mmoja akipanda juu mwingine ashuke kuepusha Shari.Sipendagi mabishano nkiona mwenzangu (Mme) anafoka mara nyingi naongea maneno machache namwacha aendelee.Nlichojifunza mimi wanawake huwa tuna maneno mengi kuliko wanaume kuepusha ugomvi usiwe mkubwa bora kukaa kimya wakati mwingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom