Wanaume: Ushawahi kuwa na mwanamke mgomvi?

Wanaume: Ushawahi kuwa na mwanamke mgomvi?

Habari wakuu,


Katika mambo ambayo wanawake wanakosea ni kuwa wagomvi.

Hata katika mahusiano wanaume wanavumilia vingi, wengine huwaacha wasichana hao.

Wanaume wengine hukutana na msichana mwenye ugomvi na bila kujua anamuoa.

Sasa hapo ndio moto unawaka kwenye ndoa ndio wanaume wananyooka mwanamke kitu kidogo tu kashalianzisha kwa mumewe.

Kwanini wanawake wanakuwa wagomvi?

Wanaume mliowahi kuwa na na wasichana/wanawake wagomvi tujuzeni hapa.

NB; Sio wanawake wote wagomvi.
Wakuu, usiombe ukutane na mwanamke mgomvi ........ ni wanawake wachache sana huwa smart wakisoma but most of them ata wasome vipi hawabadiliki, hawastaarabiki , mara ya mwisho nimedate na mwanamke ana masters yake kabisa lakin ni uharo, hewa au vaccuum kabsa kichwan, reasoning yake ni very poor. Mie hii mambo mpk imenifanya kuwa mbaguzi.....mwanamke ata awe mzuri vip lakini akiwa mfupi { by height) tu, apite ivi asee.......................ninachokiamini kwa sasa wanawake wafupi ni wakorofi sana tena sana. Fanya utafiti pia utaona mwenyewe.
 
Rijali umeongea mambo ya msingi mnoo. Watoto ndo victims wakuu wa mifarakano kati ya wazazi wao

Sent using Jamii Forums mobile app
yeah ni kweli kabisa ila kikubwa mimi mpaka kesho nina muheshimu sana mama anaemlea mtoto au watoto wake peke yake na pia hamna kitu kibaya kama mtoto akose malezi ya baba hasa wa kike huwa inakuwa mbaya sana


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sipendi ugomvi na makelele kabisaa!
Yaani huyo mwanamke mpaka atakayefikia varangati la kuanzisha vurugu ya ngumi na mimi nitamuacha tu mahusiano yatakwisha! Kwa sababu nikijibu mapigo nitamuharibu, na nitamuharibu vibaya!

Sijisifu, ila nimecheza Shaolinji Kempo na Muay Thai. Nikichafukwa huwa sipigi tu yaani napiga sehemu ambazo najua nakuklisha na unakaa kweli.
 
Wakuu, usiombe ukutane na mwanamke mgomvi ........ ni wanawake wachache sana huwa smart wakisoma but most of them ata wasome vipi hawabadiliki, hawastaarabiki , mara ya mwisho nimedate na mwanamke ana masters yake kabisa lakin ni uharo, hewa au vaccuum kabsa kichwan, reasoning yake ni very poor. Mie hii mambo mpk imenifanya kuwa mbaguzi.....mwanamke ata awe mzuri vip lakini akiwa mfupi { by height) tu, apite ivi asee.......................ninachokiamini kwa sasa wanawake wafupi ni wakorofi sana tena sana. Fanya utafiti pia utaona mwenyewe.

Inawezekana ikawa kweli! Hata wangu alikuwa ana ufupi fulani hivi![emoji13][emoji13]
 
Sipendi ugomvi na makelele kabisaa!
Yaani huyo mwanamke mpaka atakayefikia varangati la kuanzisha vurugu ya ngumi na mimi nitamuacha tu mahusiano yatakwisha! Kwa sababu nikijibu mapigo nitamuharibu, na nitamuharibu vibaya!

Sijisifu, ila nimecheza Shaolinji Kempo na Muay Thai. Nikichafukwa huwa sipigi tu yaani napiga sehemu ambazo najua nakuklisha na unakaa kweli.
mkurungwa utaua ha ha ha ha
 
na wanawake wembamba sana ni Wakorofi sana, ukorofi mwingine unatokana na kuwa "Insecure"
Sipendi ugomvi na makelele kabisaa!
Yaani huyo mwanamke mpaka atakayefikia varangati la kuanzisha vurugu ya ngumi na mimi nitamuacha tu mahusiano yatakwisha! Kwa sababu nikijibu mapigo nitamuharibu, na nitamuharibu vibaya!

Sijisifu, ila nimecheza Shaolinji Kempo na Muay Thai. Nikichafukwa huwa sipigi tu yaani napiga sehemu ambazo najua nakuklisha na unakaa kweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
n wembamba...ule wembamba wa Reli mara nyingi sana wanakuwaga COMPLICATED
Wakuu, usiombe ukutane na mwanamke mgomvi ........ ni wanawake wachache sana huwa smart wakisoma but most of them ata wasome vipi hawabadiliki, hawastaarabiki , mara ya mwisho nimedate na mwanamke ana masters yake kabisa lakin ni uharo, hewa au vaccuum kabsa kichwan, reasoning yake ni very poor. Mie hii mambo mpk imenifanya kuwa mbaguzi.....mwanamke ata awe mzuri vip lakini akiwa mfupi { by height) tu, apite ivi asee.......................ninachokiamini kwa sasa wanawake wafupi ni wakorofi sana tena sana. Fanya utafiti pia utaona mwenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mmoja ni mchepuko wangu, alianza kidomo domo level ya heshima ilishuka maradufu baada ya kupata danga jipya linalompa pesa zaidi.
Sasa mie kitu dharau ndio huwa sipendagi maana huwa namsaidiaga kwa mambo mengi sana. Isitoshe kanuni ya michepuko kila mtu anakula mbususu kwa time yake huwa naizingatia sana na wivu wa kijinga sina.

Day moko tumetoka out nkampigisha bia na chakula fresh mipango ikiwa hasa tukitoka hapo namdrop kwake tuyajenge nirushe njota moko au bee kisha niage niibuke zangu mtaa. Baada ya mtoto kuwa kakolea vizuri nikamwambia tuondoke tukapumzike naona uko vizuri tukatoka freshi. Ni kawaida huwa namlaga mchebwede kwake.

Kufika eneo la tukio mara ghafla mtoto akanibadilikia eti, akaanzisha mbilinge hapo ngoma 7 hivi, mji umetulia majirani wamelala mara sitaki usumbufu, eeh eeh nataka nilale, mixa kupayuka kwangu sio lodge! Nikamwambia tuliza wenge basi usiku sahizi af mbona tulishapanga fresh ishu af unakuwa hivyo. Dogo si akaleta undava kunisukuma eti kama vipi toka ndani kwangu.

Nikawaza huyu mtoto hanijui vizuri kumbe. Hapo nina mwani mpaka utosini, kilaji kimekaa mahali pake. Nikaskuti nikasema huyu leo namtia dispilini kmmmke.

Aisee neno lilitoka ilikuwa "Nmekuvumilia kidomo domo chako siku nyingi ila imetosha kmmmke" nilimnyanyua kitandani nikampa jebu za fasta kama umeme kumkata wenge. Akaenda deki nikamuinua na kumrusha kwenye dressing. Ajakaa freshi nikamuongezea umeme kumcheki naona anavuja upande mmoja sikioni ile naanza kutoka zangu chap ananifata nikamsukumia kwa kochi nikachomoka zangu.

Nilikuja mpigia simu kesho yake jioni nikamwambia samahani sana ila jana ulinizingua sana. Yeye mwenyewe pia akashangaa na kusema hajui kwa nini nilikuwa vile nikamwambia anisamehe sana maana chupa ndio ilimpa mkong'oto sio mimi.

Nilichofanya ni kwenda kumhudumia kwa huruma maana nilijiskia vibaya mno. Anasema siku ile alihisi anakufa maana kichapo kilikuwa cha mbwa koko, yani nilimpiga kama mwizi mwili wote ukawaka moto pombe ilikata kabisa.Ila sasa tunaheshimiana vizuri kabisa.
Hii ndio inatakiwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Duh hii ni kweli nakumbuka najione huruma,hasa pale inabidi utoke nae kwenda sehemu ya shughuli au starehe alafu unajua kuwa mtakuta na ndugu na marafiki wa karibu,yaani hujui utasema nini au utafanya nini ambacho kinaweza kumuuzi alafu akaanzisha zali la kufa mtu,au kutoa maneno yatakayokuvunjia heshima mbele za watu.Unaanza kuwa na huzuni kabla hata hamjaenda,wakati mwengine unaamua kutokwenda kabisa.na ukisema uenda peke yako,hata urudi saa tisa usiku unakuta anakung'oja sebuleni au kalala kwenye kiti na nguo za kutokea ,pemben kaweka kile kigongo cha kukandia chapati.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom