Hivi visanga hivi[emoji13][emoji23]🤣
Mie niliwahi kupata mwanamke mswahili tena mswahili haswa, mdomoni maneno kama chiriku, hajui kuongea taratibu ana wivu kinyama! Kanikuta muhuni sina maneno mengi kinywani, mtu akinikera natafuta njia naondoka zangu!
Tulikutana club tu, japo tulikuwa tunafahamiana hapo kabla, alikuwa ni mlupo tu, alielewa show, nikawa natwanga kisela mwishowe akaomba tuishi pamoja.
Katika wanawake nilikosea basi ni huyu! [emoji13]
Visanga vyake vilikuwa vingi naweza kuandika hata kakitabu, tuliishi kama mwaka mmoja hivi na kidogo. Kawaida yangu nikikosea mwepesi wa kuomba radhi! Nahisi aliona kama kaniweza, kwa mapenzi nilitokuwa namuonesha! Nahisi hakuzoea maisha ya mapenzi namna ile!
Kuna siku alinizingua nikamwambi tuachane, nikataka kusepa akawahi kisu akaganda mlangoni, moyoni nikasema nimletee za kuleta, lakini nikaona aheri niepushe shari nikavunga! Nikamuomba yaishe nimeghairi simuachi tena! Tulidumu vile kama nusu saa hivi akalainika, akatupa kisu nikala mzigo kumlainisha zaidi!
Tumeishi ananifanyia visa, kupayuka ndio kawaida yake!
Mkikerana basi hapapikwi hapo, ni balaa balaa tu! Nilishawahi kumpanga mara nyingi tu, unaona kwenu wanakuogopa sijui unawatwanga sijui nini sio kwangu! Katika maisha yangu sijawahi kumpiga mwanamke kofi wala kumtukana, ila tunapoelekea wewe utakuja kuwa wa kwanza! Akaona namtania.
Wivu wake sio wa dunia hii halafu akili kisoda!, kuna siku alikuta nawasiliana na mshikaji wangu wa humu jf, akachukua namba yake akapiga simu kamtukana kishenzi, almanusura avunje ndoa ya watu, kiukweli yule bibie mie hakuwa mpenzi wangu na wala sikuwahi kufikiria kuwa katika mahusiano nae.
Katika maisha yangu yoote na yule mwali sikuwahi kumsaliti hapo kabla, ni siku moja tu alizingua usiku asubuhi kaamka kanuna, wakati yeye ndio kanikosea hapo, namuuliza leo tunakula nini humu ndani ooh!! “Sijisikii kupika” moyoni aahh! , kifungua kinywa vipi "sipiki, vifaa hivyo hapo andaa mwenyewe” nikavaa na kusepa natoka nje anabwatuka rudi unipe hela mie nakula nini[emoji13][emoji13], nikatabasamu mguu mosi mguu pili mpaka mtaa wa pili kwa demu mmoja sikutaka mambo mengi nikamwabia kuna shilingi kadhaa hapa nataka uunyonye mpaka nikojoe [emoji13], binti akakubali akafanya hivyo
Sasa kuna siku aliyabananga nikasema huyu leo kaingia mtumbwi wa kibwengo, ngoja nimuoneshe mie ni nani! Kabla ya hapo nishajaribu kuepusha shari nikata kuondoka akafunga milango! Nikaona huyu leo ataomba poo, kwanza nilishamchoka kwa visa vyake, nikapandisha mori, nikipandisha nae anapanda!
Basi alijichanganya nikatisha akajaa nikampa bao zito! Nikapiga kombinesheni ya mabao! Akaficha uso nikapiga uppercut ya kofi! Akaangukia kitandani! Ikawa kama nimempandisha mori, akaokota chupa ya soda, akaja wangu wangu! Akaleta chupa nikapiga ngumi ya kiume katika mkono ule ule alioshika chupa, mori ukanipanda nikasahau kama napiga mwanamke, nikacross gumi moja zito, mbavuni ikamjaa kisawa sawa, akaa vizuri nikamtwisha bonge la bichwaaaaa!! Chali kuinuka hawezi,
nikafungua mlango nasepa nasikia mtu analalamika kwa sauti ya maumivu ya kweli! Anakufa, nikatoka mpaka nje kufikiria mara 2 sauti ile na kipigo nilichompa nikarudi ndani namkuta mtu kajikunyata kakamata mbavu zake! Analalamika anakufa, fasta nikaenda kuchukua usafiri, nikampeleka hospital akilini naona huyu sijui kama atafika hospital! Akaanza kukoroma, midomo ishakuwa mieupeeee!!
Nikafika hospital, akapigwa drip mbili fasta akapigwa na sindano moja ndio kwa mbaali mtu anakaa sawa! Hapo nishapanga kukimbia mji! Anaamka ananiambia ndugu zake wakija asiseme kama nimempiga itakuwa kesi kubwa! Lakini uso ulikuwa unaonesha kama nimempiga! Alipopona kwao wakaweka kikao haiwezekani nimpige binti yao hali hata sijamuoa, wakaamua aondoke kwangu! Nikashukuru, alhamdulillah! Akahama
Lakini mpaka sasa kashindwa kuniacha! Akibanwa ananitafuta na mie huwa naibutua kisawa sawa!