Wanaume: Ushawahi kuwa na mwanamke mgomvi?

Wanaume: Ushawahi kuwa na mwanamke mgomvi?

Maskini nimesoma head nikawza sana huyu kaka yangu anakutana na hii adha mpka nusu kuchomwa vizu kama si kuvikwepa jamn nyie wanawake mtachomwa moto mbaya ,nahic kasha mpiga juju huyu mwanamke wa kipare

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mwanamke Fulani nlikuwa nae kwenye mahusiano sio mgovi ila ngoja ale bia mbili tatu,hataki kupika wala non full matusi na kuanza kunikunja

Nilikuwa namzibua mbaya analala ndani hats siku tatu,marafik zake wakiniuliza nawambia amesafiri kimbe yupo ndani anajikanda na maji ya moto

At the end nkajatemana nae alikuwa akilewa angawa sana papa

Mwanamke mlevi usimuamin hata kidogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hata mtoto hataki kunipa,na alivyo hovyo anataka hadi nimzalishe tena..

nimeshampeleka hadi DAWATI (polisi)..akakimbia:

najiandaa kwenda jinsia then mahakamani maana hata mtoto hataki afike home....anataka pesa tu
muibe mtoto....
 
Habari wakuu,


Katika mambo ambayo wanawake wanakosea ni kuwa wagomvi.

Hata katika mahusiano wanaume wanavumilia vingi, wengine huwaacha wasichana hao.

Wanaume wengine hukutana na msichana mwenye ugomvi na bila kujua anamuoa.

Sasa hapo ndio moto unawaka kwenye ndoa ndio wanaume wananyooka mwanamke kitu kidogo tu kashalianzisha kwa mumewe.

Kwanini wanawake wanakuwa wagomvi?

Wanaume mliowahi kuwa na na wasichana/wanawake wagomvi tujuzeni hapa.

NB; Sio wanawake wote wagomvi.
Nilishakuwa na mnyiramba daaah huyo alikuwa kiboko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi sikuwa na dem mtata ila kuna rafiki yangu wakati tunaishi hostel tukiwa wanafunzi wa chuo... Jamaa yangu alikuwa mpole sana ila manzi wake ni shida kisa kinaanza" jamaa siku iyo aliingiza dem mwengine apo hostel kwa room yake, dem wake yule mtata anakaa sehemu nyingine sasa dem wake kaja usiku kamkuta jamaa ndani na demu ila jamaa hafungui mlango mimi nasikiliza tu makelele uko kwa jamaa... Sasa nikampigia jamaa nikamwambia me namchukua shem apa njee niongee nae... we fanya fasta mtoe uyo kishada ndani sasa wakati naongea na shem wangu jamaa akafanikiwa kutoa ule mlupo ndani dem akaingia kalewa kinoma sasa siakaingia bafuni kwa jamaa yake akakuta chupi tena mbichi dadeki, ilibidi jamaa anisingizie kuwa mimi ndo niliingia na dem kule kwake nikasahau iyo kyupi... Wakaanza kuja kwangu dem anataka kujua kama ni kweli wakati huo mimi sijui chochote, sasa wanakuja kwangu na mimi nipo na manzi wangu room si dem akafunguka shem ni kweli wewe ndo ulikuwa na mwanamke kula kwetu mmeacha chupi? Tobaa huku dem wangu akasikia ilo swali maana dem wa jamaa anaongea kwa nguvu ikabidi niseme sio kweli we moto uliwaka jamaa akaanza kukimbia nje dem anamkimbiza sijui waliishia vipi!!! Maana na mimi nikaachiwa msala manzi wangu kaanza ugomvi kuwa iyo chupi uliiacha ulikuwa na nani namwambia sio kweli ugomvi kinoma dem akavunja pc yangu kwakuibamiza chini akasepa room kwake... Iliniuma ile mbaya asee

Sent using Jamii Forums mobile app
Daah mamaee avunje na PC kabisaa? aisee mbona ningemvunja vunja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
aisee!! me ilinitokea kwa kademu kangu ka uko uchagani kalifumania sms za mdada mwingine na akajifanya ajamaindi kabisa ila tulipoingia ndani alinirushia Tv na remote yake ilibakia kidogo tu nidedishwe.
 
Back
Top Bottom