Wanaume: Ushawahi kuwa na mwanamke mgomvi?

Wanaume: Ushawahi kuwa na mwanamke mgomvi?

Huu uzi umenifurahisha na kunifundisha mambo mengi hasa kufanya uchaguzi makini wa kuoa. Mimi nina demu wangu mmoja macho madogo, kutoka Shandong-vegetable town duuh ana wivu na mkorofi balaa, anabadilika sekunde chache tu, ila akiwa na furaha ni mwanamke mzuri sana sana utasema nioe huyu leo leo. Ikabidi nimwongezee mwingine kutoka Ventiene city, huyu alianza ukorofi kipindi napiga verse ila tuvivyoingia kweny uhusiano walau naweza kumcontrol shida tu huwa ana siku kama tatu nne kabla ya kuingia period hizo anakuwa very sensitive na hasira zipo juu juu so nakuwaga makini tu hapo, baada ya hapo bata batani
 
class rep wetu mwanamke alikuwa mgomvi sana
 
Habari wakuu,


Katika mambo ambayo wanawake wanakosea ni kuwa wagomvi.

Hata katika mahusiano wanaume wanavumilia vingi, wengine huwaacha wasichana hao.

Wanaume wengine hukutana na msichana mwenye ugomvi na bila kujua anamuoa.

Sasa hapo ndio moto unawaka kwenye ndoa ndio wanaume wananyooka mwanamke kitu kidogo tu kashalianzisha kwa mumewe.

Kwanini wanawake wanakuwa wagomvi?

Wanaume mliowahi kuwa na na wasichana/wanawake wagomvi tujuzeni hapa.

NB; Sio wanawake wote wagomvi.
Sijawahi kukutana na mwanamke ASIYE MGOMVI!, kuanzia ma girlfriends, mama yangu, dada, mashangazi mpaka mama watoto, matimbwili yao ni balaa kwa kweli...Maumivu kwetu wanaume😡😕🤬
 
Eeeh afu nakuwa nakazia; nyie huyu msimuone hivi "hapa mimi niliangalia future yangu zaidi" teh
Cha muhimu unampenda tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unamkumbuka yule alotuchamba kisa kusema kuongozana na mwanaume mfupi hakufanyi ujifeel secured; eti hamkuwa secured kuongozana na baba zenu wafupi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eeeh afu nakuwa nakazia; nyie huyu msimuone hivi "hapa mimi niliangalia future yangu zaidi" tehUnamkumbuka yule alotuchamba kisa kusema kukngozana na mwanaume mfupi hakufanyi ujifeel secured; eti hamkuwa secured kuongozana na baba zenu wafupi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo ni mpuuzi, mwanaume ni mwanaume tu! Haya maswala ya mfupi sijui bla bla ni ngonjera za mapokeo tu. Atakayetoa mahari ndio mumeo hata awe na kimo cha feni 🤣🤣🤣
 
Hahaha si unajua enzi zetu tulikuwa na fantasy za tall dark guys; kuja kwenye reality ndo unakutana na kitu short afu cheupe teh
Huyo ni mpuuzi, mwanaume ni mwanaume tu! Haya maswala ya mfupi sijui bla bla ni ngonjera za mapokeo tu. Atakayetoa mahari ndio mumeo hata awe na kimo cha feni [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom