Wanaume: Ushawahi kuwa na mwanamke mgomvi?

Nakumbuka visa Vingi lakini hizi Ndio vilikuwa too much.
1.jirani zetu,
Wote wanyakyusa lakini mwanaume alikuwa anapigwa mpaka anatoka nje kuomba pooh na msaada. Yaani anatoka nje baada ya kujaribu kuzichapa ndani,akiona amezidiwa na anavuja damu kabisa anatoka nje kuomba msaada,wanazichapa mpaka mwanaume anatoka nje yuko uchi kabisa wa mnyama. Tuliamulia mpaka tukachoka wakawa wanaokoa polisi jamii,mpaka mwenye nyumba akawapa notice na mtaani wakatimuliwa Maana mjumbe alisha wachoka na kesi zao kila siku.

2.Shangazi yangu
Ni mkorofi typically,Yaani yeye bila ugomvi kwa siku hajalala vizuri aisee. Anazichapaga na mume wake mpaka mwanaume anazimia. Kuna siku wakawekwa kikao na ndugu wa mume,sasa vile walivyokuwa wanamsema na mume wake akachangia maeno machafu sana,aisee alinyanyuka akaanza kutembeza kichapo kwa mumewe,akakimbilia ndani akamfuata huko huko alipiga mpaka mwanaume akawa anavuta pumzi kama anakufa hivi lakini bado anaendelea kupiga. Baba Ndio alikuwa ana wasili eneo la tukio,alikata nyaya akamgusisha nazo alipigwa na shoti Ndio akaacha.

3. Rafiki yangu,
Alikuwa mtata jamani sijawahi kuona wala Ku image,mzuri na ana msambwanda kama basi la Kilimanjaro. Ilikuwa akianza kuzichapa na bwana ake,mpaka wanakatana nyembe na kushikiana visu,full ngeu kila siku. Siku moja akatuita Mimi na Marafiki zetu wengine wa4,tumsindikize ubungo. Alawasha gari yake tukaingia sisi haoooo to ubungo. Alivyofika akapark,akaenda kugonga nyumbani Fulani wakati Huo na sisi tunashuka. Yule msichana aliyefungua,alivutwa kama mwizi. akaanza kumpa kipondo,alipiga,mwanamke anapigana kama john cena. Akaja kaka wa yule binti,akaingilia ugomvi. Rafiki etu akarudi kwenye gari,kwenye buto alitoa nondo na nyundo,ule ugomvi uliamuliwa na wanajeshi. Maana ilikuwa anapiga watu wawili na anawachakaza.
Nilivunja urafiki nae days ahead,nikawa simpokelei simu wala sijibu Sms zake.

4. Cousin wangu,
Ameolewa toka mwaka 2014. Around 2016 mume wake akawa anachepuka,lakini she is decent and hakuwa anamfuatilia. Na Hata alipo ambiwa mumeo huko Hapo somewhere na mchepuko hakuwahi kumfatiliza.
There is a day yule bwana akajichanganya,akamwambia cousin "Yaani wewe malaya umenichosha,bora ningeoa mama ako" ile siku ni alimpiga sitaki Kukumbuka ni alipiga kwa kiasi gani,akapiga tu simu nyumbani akasema jamani nimeua huku. Tulivyoenda jamaa hajitambui,alikaa ICU mwezi mmoja. Cousin nae akawekwa ndani na ndugu wa mume wake,sababu wakwe walivyofika Wifi mmoja akaleta jeuri aKampa kipigo akachanika mdomo na jicho wakaenda polisi. Mume wake alivyoamka akasema namtaka mke wangu,good thing mpaka Leo wapo pamoja,mwanaume alijua makosa yake,yakaisha. Wakafuta kesi polisi.

hahahaha nimecheka sana aic
 
Usiombe!...
Hapa ninapoandika hii text nimehamia chumba kingine na kutandika godora chini.....(Nalala huko).Ni HATARI..Huyu wangu ni hatari...Yeye akishachukia...hubomoa Milango,kuvunja TV,kuchana masofa....
YAANI...Bora wasio oa...hii ndoa yangu ni ngumu mno....
Na ukitaka kukusanya mtaa mzima uwe unajibizana naye....So me nimechagua kuto kujibizana naye na kuhamia room nyingine....
Kabla ya kuoa msio oa....
Waangalieni Vizuri wadada
Aisee mkuu me sijao lakini tayari najipanga kwa kutafuta mtu wa kumuoa. Sasa kama mwanamke ni mgomvi unaweza kumtambua kwenye mahusiano kabla huja muoa ? maana huwa wanaficha makucha kabla hujamuoa.
 
Unajua wanaume tunatofautiana sana.

Mfano, ingawa wanaume wengi hawapendi wanawake wa kulia lia na visirani, binafsi mwanamke akilialia na kudeka hata siku nzima ndio namfunika kabisa na shuka na kumbembeleza hata siku 2 nzima na simwambii anyamaze labda aamue mwenyewe.

Ilimradi akilia aniegemee au anililie kifuani sio alilie mbali.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] dah umenichekesha mkuu ila hta Mimi napenda kulialia nikibembelezewa kifua nijiskia burudani yaani kitu kdgo tu mi mchozi cjui nipoje!!!
 
Nakumbuka visa Vingi lakini hizi Ndio vilikuwa too much.
1.jirani zetu,
Wote wanyakyusa lakini mwanaume alikuwa anapigwa mpaka anatoka nje kuomba pooh na msaada. Yaani anatoka nje baada ya kujaribu kuzichapa ndani,akiona amezidiwa na anavuja damu kabisa anatoka nje kuomba msaada,wanazichapa mpaka mwanaume anatoka nje yuko uchi kabisa wa mnyama. Tuliamulia mpaka tukachoka wakawa wanaokoa polisi jamii,mpaka mwenye nyumba akawapa notice na mtaani wakatimuliwa Maana mjumbe alisha wachoka na kesi zao kila siku.

2.Shangazi yangu
Ni mkorofi typically,Yaani yeye bila ugomvi kwa siku hajalala vizuri aisee. Anazichapaga na mume wake mpaka mwanaume anazimia. Kuna siku wakawekwa kikao na ndugu wa mume,sasa vile walivyokuwa wanamsema na mume wake akachangia maeno machafu sana,aisee alinyanyuka akaanza kutembeza kichapo kwa mumewe,akakimbilia ndani akamfuata huko huko alipiga mpaka mwanaume akawa anavuta pumzi kama anakufa hivi lakini bado anaendelea kupiga. Baba Ndio alikuwa ana wasili eneo la tukio,alikata nyaya akamgusisha nazo alipigwa na shoti Ndio akaacha.

3. Rafiki yangu,
Alikuwa mtata jamani sijawahi kuona wala Ku image,mzuri na ana msambwanda kama basi la Kilimanjaro. Ilikuwa akianza kuzichapa na bwana ake,mpaka wanakatana nyembe na kushikiana visu,full ngeu kila siku. Siku moja akatuita Mimi na Marafiki zetu wengine wa4,tumsindikize ubungo. Alawasha gari yake tukaingia sisi haoooo to ubungo. Alivyofika akapark,akaenda kugonga nyumbani Fulani wakati Huo na sisi tunashuka. Yule msichana aliyefungua,alivutwa kama mwizi. akaanza kumpa kipondo,alipiga,mwanamke anapigana kama john cena. Akaja kaka wa yule binti,akaingilia ugomvi. Rafiki etu akarudi kwenye gari,kwenye buto alitoa nondo na nyundo,ule ugomvi uliamuliwa na wanajeshi. Maana ilikuwa anapiga watu wawili na anawachakaza.
Nilivunja urafiki nae days ahead,nikawa simpokelei simu wala sijibu Sms zake.

4. Cousin wangu,
Ameolewa toka mwaka 2014. Around 2016 mume wake akawa anachepuka,lakini she is decent and hakuwa anamfuatilia. Na Hata alipo ambiwa mumeo huko Hapo somewhere na mchepuko hakuwahi kumfatiliza.
There is a day yule bwana akajichanganya,akamwambia cousin "Yaani wewe malaya umenichosha,bora ningeoa mama ako" ile siku ni alimpiga sitaki Kukumbuka ni alipiga kwa kiasi gani,akapiga tu simu nyumbani akasema jamani nimeua huku. Tulivyoenda jamaa hajitambui,alikaa ICU mwezi mmoja. Cousin nae akawekwa ndani na ndugu wa mume wake,sababu wakwe walivyofika Wifi mmoja akaleta jeuri aKampa kipigo akachanika mdomo na jicho wakaenda polisi. Mume wake alivyoamka akasema namtaka mke wangu,good thing mpaka Leo wapo pamoja,mwanaume alijua makosa yake,yakaisha. Wakafuta kesi polisi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
hhahahahaha uzi unafurahisha kweli kweli,binafsi mimi sitakagi mtu anitibue,sipend kbs maneno na mtu maana kiasili mimi
najijua nina hasira mby kadri navyokua naona naweza kujicontrol...ila hua naamini naweza ua mtu aic..
mimi ht men arud baada ya week siezag kbs kuuliza ulikua wapi tena nakupa salam mbashara ,ila watu design yangu WABAYA SN.bora kuspeak out inarealise hasira na mihemko
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] dah umenichekesha mkuu ila hta Mimi napenda kulialia nikibembelezewa kifua nijiskia burudani yaani kitu kdgo tu mi mchozi cjui nipoje!!!
Ukweli ni kwamba Wanaume wengi (kama si wote) tunapenda wanawake wadekaji/ waliaji....yaani hata ukiangalia kauso kake kalikojaa machozi na vishavu vilivyovimba kama mtoto mdogo, hapo mwanaume hukawii kumpeleka tena chumbani.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hapo unaposema kichomi mie hoiiii. Sio vizuri kupena ela mbele za watu, mbona mnahonjombora chumbani sio hadharani.
Just to save the diginity, na sio wote hawapendi hili.
akitaka nimhonjombore publically napo poa tu......
 
Ukweli ni kwamba Wanaume wengi (kama si wote) tunapenda wanawake wadekaji/ waliaji....yaani hata ukiangalia kauso kake kalikojaa machozi na vishavu vilivyovimba kama mtoto mdogo, hapo mwanaume hukawii kumpeleka tena chumbani.
Yaani ni ukweli usopingika kbsa na hicho ndo kinacho ni burudusha mm yaani nikibembelezwa vzr ukanichumuchumu bax tunaenda malizia cku ytu 6*6!![emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
 
Back
Top Bottom