Wanaume: Ushawahi kuwa na mwanamke mgomvi?

Wanaume: Ushawahi kuwa na mwanamke mgomvi?

Nakumbuka visa Vingi lakini hizi Ndio vilikuwa too much.
1.jirani zetu,
Wote wanyakyusa lakini mwanaume alikuwa anapigwa mpaka anatoka nje kuomba pooh na msaada. Yaani anatoka nje baada ya kujaribu kuzichapa ndani,akiona amezidiwa na anavuja damu kabisa anatoka nje kuomba msaada,wanazichapa mpaka mwanaume anatoka nje yuko uchi kabisa wa mnyama. Tuliamulia mpaka tukachoka wakawa wanaokoa polisi jamii,mpaka mwenye nyumba akawapa notice na mtaani wakatimuliwa Maana mjumbe alisha wachoka na kesi zao kila siku.

2.Shangazi yangu
Ni mkorofi typically,Yaani yeye bila ugomvi kwa siku hajalala vizuri aisee. Anazichapaga na mume wake mpaka mwanaume anazimia. Kuna siku wakawekwa kikao na ndugu wa mume,sasa vile walivyokuwa wanamsema na mume wake akachangia maeno machafu sana,aisee alinyanyuka akaanza kutembeza kichapo kwa mumewe,akakimbilia ndani akamfuata huko huko alipiga mpaka mwanaume akawa anavuta pumzi kama anakufa hivi lakini bado anaendelea kupiga. Baba Ndio alikuwa ana wasili eneo la tukio,alikata nyaya akamgusisha nazo alipigwa na shoti Ndio akaacha.

3. Rafiki yangu,
Alikuwa mtata jamani sijawahi kuona wala Ku image,mzuri na ana msambwanda kama basi la Kilimanjaro. Ilikuwa akianza kuzichapa na bwana ake,mpaka wanakatana nyembe na kushikiana visu,full ngeu kila siku. Siku moja akatuita Mimi na Marafiki zetu wengine wa4,tumsindikize ubungo. Alawasha gari yake tukaingia sisi haoooo to ubungo. Alivyofika akapark,akaenda kugonga nyumbani Fulani wakati Huo na sisi tunashuka. Yule msichana aliyefungua,alivutwa kama mwizi. akaanza kumpa kipondo,alipiga,mwanamke anapigana kama john cena. Akaja kaka wa yule binti,akaingilia ugomvi. Rafiki etu akarudi kwenye gari,kwenye buto alitoa nondo na nyundo,ule ugomvi uliamuliwa na wanajeshi. Maana ilikuwa anapiga watu wawili na anawachakaza.
Nilivunja urafiki nae days ahead,nikawa simpokelei simu wala sijibu Sms zake.

4. Cousin wangu,
Ameolewa toka mwaka 2014. Around 2016 mume wake akawa anachepuka,lakini she is decent and hakuwa anamfuatilia. Na Hata alipo ambiwa mumeo huko Hapo somewhere na mchepuko hakuwahi kumfatiliza.
There is a day yule bwana akajichanganya,akamwambia cousin "Yaani wewe malaya umenichosha,bora ningeoa mama ako" ile siku ni alimpiga sitaki Kukumbuka ni alipiga kwa kiasi gani,akapiga tu simu nyumbani akasema jamani nimeua huku. Tulivyoenda jamaa hajitambui,alikaa ICU mwezi mmoja. Cousin nae akawekwa ndani na ndugu wa mume wake,sababu wakwe walivyofika Wifi mmoja akaleta jeuri aKampa kipigo akachanika mdomo na jicho wakaenda polisi. Mume wake alivyoamka akasema namtaka mke wangu,good thing mpaka Leo wapo pamoja,mwanaume alijua makosa yake,yakaisha. Wakafuta kesi polisi.
Duh, huko kwenu inaonekana mna vinasaba ya "Leilah Mohammed Ally"

Yani hapafai hasa huyo cousin wako ndio moto wa gesi!
 
Wangu mm alikuwa kisirani akifika lzm atafute sababu mgombane akunyime papuchi tunalala kila mtu na hamsini zake

I'm done.
 
Mwanaume ukipata mwanamke mgomvi kama huyo kuwa jinamizi tuu kuwa kichaa apo mtaenda sawa ila ukiwa mpole utateseka mno....mm kipindi naoa mke wangu alikuwa mgomvi sana nilimnyosha mwenyewe akanyosha mikono juu nilimfanyia vituko ivyo ndani ya nyumba mwenyewe akanyosha mikono juu narudi nimelewa nalala na viatu kitandani akipika chakula na kibutulia mbali uko sili yani bac tuu vituko tuu akaomba arudi kwao akarudi akakaa kama mwaka akaja tena apo akili ilimkaa sawa wivu akawa hanq nq ugomvi ukaacha now ni dispiline tuu katulia unaymtakiwa uwe kichaaa iyo ndo dawa.

121.
 
Teh! Wangu kuna siku nilimzaba kibao akaninyanyua juu juu kama wacheza mieleka na kunibwaga chini...nikajikaza nikasimama kujibu mapigo gafla nikala kichwa moja matata aisee hapo nikatambua hapa sipigwi na mwanamke bali napigwa na mwanaume mwenzangu. Nilipandiaha sumu haswa nikiwa pale pale chini nilijizungusha na kumtandika mtama mmoja maridadi na kuanguka kama gunia la viazi. Alivyoamka nikamtandika bonge moja la kofi maana sikutaka kumpiga ngumi kwasababu nilijua ntamuumiza sana, kumbe huruma yangu iliniponza....Ile nageuza mgongo nitoke nje sikujua nini kiliendelea tena mpaka nilivyokuja kuzindukia muhimbili nikiwa na bandeji kubwa kichwani. Ebanae kumbe yule mwanamke alinitwika lililokuwa pale sebuleni. Niliachana nae japo alikuwa na mimba yangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
WTF...unapasuliwa kiasi hiki na mwanamke???

Aisee nimecheka ki.senge
 
Kuna wanawake wengi wagomvi jamani kuna jirani yangu alikuwa na mwanamke mgomvi da mwanamke hana hata aibu ni mitusi na maneno mabovu kama nn walikua wanatwangana balaa nusu kuuwana yaani ugomvi ukianza lazima mmoja wao azimie ndo valangati linaisha hawakudumu walishindwana otherwise mauti yangemkuta mtu
Duh balaa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kipindi nipo chuo

Nlikua nnamanzi msukuma afu mnene anamwili hivi
Workshop kwao walimtegemea kwenye makazi magumu magumu[emoji23][emoji23][emoji16][emoji16]
Sasa kunaday nmebana chobi za chuo nnapiga story na manzi mmja hivi cute kidogooooo kumbe kaniona!!! Akanivungia kimyaaaaaa
Ikafika time yakwenda kwenye ground
Mimi napenda volleyball
Na ground ya volleyball pale chuoni ilikua pembeni pana kibustani hivii
Akaja akaniita ...Sasa me namfata na vibe Kama lote

Akanmby kelphin kepph si nilikukataza kuongea na ru..........
Nkasema Amna mbona me sijaongea nae[emoji23][emoji23][emoji23]
Akasema nmekuona unachukua namba yake ,,nkawa natoa phone aone Kama kunanamba yake
Heeeeeeeeeeeee!!!! NLIKULA KOFIII[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] MOJA
Nkahisi Kama skio halioni[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kha ikabidi nkimbie ....nlikasilika Sana nkpanga nimuache
Sema aliombaga sana msamaha
Nkamsamehe tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom