Wanaume: Ushawahi kuwa na mwanamke mgomvi?

Wanaume: Ushawahi kuwa na mwanamke mgomvi?

Mimi nakumbuka tu nilimshikiaga kisu boyfriend wangu.
Alinizungua nini sijui.namwambia ondoka hataki.na mm ugomvi sijui.nikachukua kisu.
Alitoka nduki balaa.
Baadae ndo nikajilaumu sasa ningemchoma kisu si ningefungwa.
Na wakati wanaume wapo wengi tu.
Mxiuuuuuu zake alipo.🤣🤣
 
Nakumbuka visa Vingi lakini hizi Ndio vilikuwa too much.
1.jirani zetu,
Wote wanyakyusa lakini mwanaume alikuwa anapigwa mpaka anatoka nje kuomba pooh na msaada. Yaani anatoka nje baada ya kujaribu kuzichapa ndani,akiona amezidiwa na anavuja damu kabisa anatoka nje kuomba msaada,wanazichapa mpaka mwanaume anatoka nje yuko uchi kabisa wa mnyama. Tuliamulia mpaka tukachoka wakawa wanaokoa polisi jamii,mpaka mwenye nyumba akawapa notice na mtaani wakatimuliwa Maana mjumbe alisha wachoka na kesi zao kila siku.

2.Shangazi yangu
Ni mkorofi typically,Yaani yeye bila ugomvi kwa siku hajalala vizuri aisee. Anazichapaga na mume wake mpaka mwanaume anazimia. Kuna siku wakawekwa kikao na ndugu wa mume,sasa vile walivyokuwa wanamsema na mume wake akachangia maeno machafu sana,aisee alinyanyuka akaanza kutembeza kichapo kwa mumewe,akakimbilia ndani akamfuata huko huko alipiga mpaka mwanaume akawa anavuta pumzi kama anakufa hivi lakini bado anaendelea kupiga. Baba Ndio alikuwa ana wasili eneo la tukio,alikata nyaya akamgusisha nazo alipigwa na shoti Ndio akaacha.

3. Rafiki yangu,
Alikuwa mtata jamani sijawahi kuona wala Ku image,mzuri na ana msambwanda kama basi la Kilimanjaro. Ilikuwa akianza kuzichapa na bwana ake,mpaka wanakatana nyembe na kushikiana visu,full ngeu kila siku. Siku moja akatuita Mimi na Marafiki zetu wengine wa4,tumsindikize ubungo. Alawasha gari yake tukaingia sisi haoooo to ubungo. Alivyofika akapark,akaenda kugonga nyumbani Fulani wakati Huo na sisi tunashuka. Yule msichana aliyefungua,alivutwa kama mwizi. akaanza kumpa kipondo,alipiga,mwanamke anapigana kama john cena. Akaja kaka wa yule binti,akaingilia ugomvi. Rafiki etu akarudi kwenye gari,kwenye buto alitoa nondo na nyundo,ule ugomvi uliamuliwa na wanajeshi. Maana ilikuwa anapiga watu wawili na anawachakaza.
Nilivunja urafiki nae days ahead,nikawa simpokelei simu wala sijibu Sms zake.

4. Cousin wangu,
Ameolewa toka mwaka 2014. Around 2016 mume wake akawa anachepuka,lakini she is decent and hakuwa anamfuatilia. Na Hata alipo ambiwa mumeo huko Hapo somewhere na mchepuko hakuwahi kumfatiliza.
There is a day yule bwana akajichanganya,akamwambia cousin "Yaani wewe malaya umenichosha,bora ningeoa mama ako" ile siku ni alimpiga sitaki Kukumbuka ni alipiga kwa kiasi gani,akapiga tu simu nyumbani akasema jamani nimeua huku. Tulivyoenda jamaa hajitambui,alikaa ICU mwezi mmoja. Cousin nae akawekwa ndani na ndugu wa mume wake,sababu wakwe walivyofika Wifi mmoja akaleta jeuri aKampa kipigo akachanika mdomo na jicho wakaenda polisi. Mume wake alivyoamka akasema namtaka mke wangu,good thing mpaka Leo wapo pamoja,mwanaume alijua makosa yake,yakaisha. Wakafuta kesi polisi.
Aliyekuficha huko basi tu...tumemiss vionjo vyako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi visanga hivi[emoji13][emoji23]🤣


Mie niliwahi kupata mwanamke mswahili tena mswahili haswa, mdomoni maneno kama chiriku, hajui kuongea taratibu ana wivu kinyama! Kanikuta muhuni sina maneno mengi kinywani, mtu akinikera natafuta njia naondoka zangu!

Tulikutana club tu, japo tulikuwa tunafahamiana hapo kabla, alikuwa ni mlupo tu, alielewa show, nikawa natwanga kisela mwishowe akaomba tuishi pamoja.

Katika wanawake nilikosea basi ni huyu! [emoji13]

Visanga vyake vilikuwa vingi naweza kuandika hata kakitabu, tuliishi kama mwaka mmoja hivi na kidogo. Kawaida yangu nikikosea mwepesi wa kuomba radhi! Nahisi aliona kama kaniweza, kwa mapenzi nilitokuwa namuonesha! Nahisi hakuzoea maisha ya mapenzi namna ile!

Kuna siku alinizingua nikamwambi tuachane, nikataka kusepa akawahi kisu akaganda mlangoni, moyoni nikasema nimletee za kuleta, lakini nikaona aheri niepushe shari nikavunga! Nikamuomba yaishe nimeghairi simuachi tena! Tulidumu vile kama nusu saa hivi akalainika, akatupa kisu nikala mzigo kumlainisha zaidi!
Tumeishi ananifanyia visa, kupayuka ndio kawaida yake!

Mkikerana basi hapapikwi hapo, ni balaa balaa tu! Nilishawahi kumpanga mara nyingi tu, unaona kwenu wanakuogopa sijui unawatwanga sijui nini sio kwangu! Katika maisha yangu sijawahi kumpiga mwanamke kofi wala kumtukana, ila tunapoelekea wewe utakuja kuwa wa kwanza! Akaona namtania.

Wivu wake sio wa dunia hii halafu akili kisoda!, kuna siku alikuta nawasiliana na mshikaji wangu wa humu jf, akachukua namba yake akapiga simu kamtukana kishenzi, almanusura avunje ndoa ya watu, kiukweli yule bibie mie hakuwa mpenzi wangu na wala sikuwahi kufikiria kuwa katika mahusiano nae.

Katika maisha yangu yoote na yule mwali sikuwahi kumsaliti hapo kabla, ni siku moja tu alizingua usiku asubuhi kaamka kanuna, wakati yeye ndio kanikosea hapo, namuuliza leo tunakula nini humu ndani ooh!! ā€œSijisikii kupikaā€ moyoni aahh! , kifungua kinywa vipi "sipiki, vifaa hivyo hapo andaa mwenyeweā€ nikavaa na kusepa natoka nje anabwatuka rudi unipe hela mie nakula nini[emoji13][emoji13], nikatabasamu mguu mosi mguu pili mpaka mtaa wa pili kwa demu mmoja sikutaka mambo mengi nikamwabia kuna shilingi kadhaa hapa nataka uunyonye mpaka nikojoe [emoji13], binti akakubali akafanya hivyo

Sasa kuna siku aliyabananga nikasema huyu leo kaingia mtumbwi wa kibwengo, ngoja nimuoneshe mie ni nani! Kabla ya hapo nishajaribu kuepusha shari nikata kuondoka akafunga milango! Nikaona huyu leo ataomba poo, kwanza nilishamchoka kwa visa vyake, nikapandisha mori, nikipandisha nae anapanda!

Basi alijichanganya nikatisha akajaa nikampa bao zito! Nikapiga kombinesheni ya mabao! Akaficha uso nikapiga uppercut ya kofi! Akaangukia kitandani! Ikawa kama nimempandisha mori, akaokota chupa ya soda, akaja wangu wangu! Akaleta chupa nikapiga ngumi ya kiume katika mkono ule ule alioshika chupa, mori ukanipanda nikasahau kama napiga mwanamke, nikacross gumi moja zito, mbavuni ikamjaa kisawa sawa, akaa vizuri nikamtwisha bonge la bichwaaaaa!! Chali kuinuka hawezi,

nikafungua mlango nasepa nasikia mtu analalamika kwa sauti ya maumivu ya kweli! Anakufa, nikatoka mpaka nje kufikiria mara 2 sauti ile na kipigo nilichompa nikarudi ndani namkuta mtu kajikunyata kakamata mbavu zake! Analalamika anakufa, fasta nikaenda kuchukua usafiri, nikampeleka hospital akilini naona huyu sijui kama atafika hospital! Akaanza kukoroma, midomo ishakuwa mieupeeee!!

Nikafika hospital, akapigwa drip mbili fasta akapigwa na sindano moja ndio kwa mbaali mtu anakaa sawa! Hapo nishapanga kukimbia mji! Anaamka ananiambia ndugu zake wakija asiseme kama nimempiga itakuwa kesi kubwa! Lakini uso ulikuwa unaonesha kama nimempiga! Alipopona kwao wakaweka kikao haiwezekani nimpige binti yao hali hata sijamuoa, wakaamua aondoke kwangu! Nikashukuru, alhamdulillah! Akahama

Lakini mpaka sasa kashindwa kuniacha! Akibanwa ananitafuta na mie huwa naibutua kisawa sawa!
 
Eeeh afu nakuwa nakazia; nyie huyu msimuone hivi "hapa mimi niliangalia future yangu zaidi" tehUnamkumbuka yule alotuchamba kisa kusema kuongozana na mwanaume mfupi hakufanyi ujifeel secured; eti hamkuwa secured kuongozana na baba zenu wafupi?

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Haki kuna watu wana maneno!!
 
nakumbuka kuna demu alikuwa anapenda kunizingua sana,kwa sababu alikuwa anaambiwa miminimkulimaakachekasana ni mpole sana na marafiki zake(wengi wao nilisoma nao)

alikuwa akikasirika kidogo anavunja vitu ninayopenda(ashawahi vunja hata simu yangu),nikawa namvungua tu,ila siku niliyosikia ameua mbwa wangu-BOBBIE-_hakuamini nilichomfanya.Hakuamini kabisa kwasababu alishazoea kusingizia mapepo

Bobby18.1.jpg


RIP bobbie
 
Kwa nini kwanza nijihusishe na mwanamke mkorofi?! Me mwanamke akisha nijibu shombo tu basi simpi second chance ni hapo hapo nakaa kimya naondoka....... Ya nini kuanza kumtia adabu mtu ambaye ana wazazi wake hawakumfunza adabu huko alipotoka...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
🤣🤣mtoa mada utakua ni jirani yangu unajua vema maisha yangu,yaaan daah,,,mke wangu mgomvi balaaa mpaka naamua kukubaliana jambo ili tusiishie kugombana mana ni jeuri na wivu kinyama na mbishi kama shipa,ashauriki hata chembe!
 
Usiombe!...
Hapa ninapoandika hii text nimehamia chumba kingine na kutandika godora chini.....(Nalala huko).Ni HATARI..Huyu wangu ni hatari...Yeye akishachukia...hubomoa Milango,kuvunja TV,kuchana masofa....
YAANI...Bora wasio oa...hii ndoa yangu ni ngumu mno....
Na ukitaka kukusanya mtaa mzima uwe unajibizana naye....So me nimechagua kuto kujibizana naye na kuhamia room nyingine....
Kabla ya kuoa msio oa....
Waangalieni Vizuri wadada
Duh haya mambo kumbe yapo!
Aloo mm naona aibu sana nikigundua kuna mtu ametusikia tulipokuwa tumepishana kauli!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wakuu,


Katika mambo ambayo wanawake wanakosea ni kuwa wagomvi.

Hata katika mahusiano wanaume wanavumilia vingi, wengine huwaacha wasichana hao.

Wanaume wengine hukutana na msichana mwenye ugomvi na bila kujua anamuoa.

Sasa hapo ndio moto unawaka kwenye ndoa ndio wanaume wananyooka mwanamke kitu kidogo tu kashalianzisha kwa mumewe.

Kwanini wanawake wanakuwa wagomvi?

Wanaume mliowahi kuwa na na wasichana/wanawake wagomvi tujuzeni hapa.

NB; Sio wanawake wote wagomvi.
Mimi mkewangu ni mkorofi balaa nilichofanya nimempandisha cheo
 
Mkuu wengine mpaka hivi sasa bado ' tunatibu ' majeraha ya ' kutukuka ' tuliyoyapata kutoka kwa ' Wapenzi ' wetu baada ya kupokea ' mkong'oto ' wa kufa Mtu. Kuna Wanawake wanapiga ' Ngumi ' za maana hata Mabondia wenyewe akina Klishko na Antony Joshua hawaoni ndani.
Pole mkuu hadi wewe? Teh teh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilikuwa nae Tabora pale, ebwana mwanamke alikuwa mgomvi yule sitamsahau, basi mwanzoni alikuwa akinikoroga nampa kibano cha haja, baadae nikabadili utaratibu akinikorofisha nakuwa mpooleeeee hadi anaamua kutulia kumbe moyoni nampangia adhabu yake, siku nambembelezaaaaa namuandaa vizuri ananyegeka hasa, sasa nikishapanda kinenani pale nilikuwa sishuki nakwambia hadi analia, mimi ndio kwaanza kama vile ndio naanza. Kuna siku nimepiga mgegedo tangu mida ya saa nne hadi nane nane sijashuka nasugua tu huku nikiorodhesha maugomvi yake yote, si akakata pumzi, weee ilikuwa patashika pale, pepelea pepelea baadae akarejea ktk hali ya kawaida, asbh ilibidi kumpeleka hsptl nikamwambia tuachane tu maake haipiti wiki lazima aanzishe ugomvi bila sababu. Nilimkimbia nikabadili na namba ya simu.

Anadai yy hawezi kukaa bila kugombana hasikii raha. Ila ni kero sana
Hahaa lahaula kdg umtoe roho mtoto wa mwanaume mwenzako!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom