Wanaume: Ushawahi kuwa na mwanamke mgomvi?

Wanaume: Ushawahi kuwa na mwanamke mgomvi?

Pole Mkuu day

Usiombe!...
Hapa ninapoandika hii text nimehamia chumba kingine na kutandika godora chini.....(Nalala huko).Ni HATARI..Huyu wangu ni hatari...Yeye akishachukia...hubomoa Milango,kuvunja TV,kuchana masofa....
YAANI...Bora wasio oa...hii ndoa yangu ni ngumu mno....
Na ukitaka kukusanya mtaa mzima uwe unajibizana naye....So me nimechagua kuto kujibizana naye na kuhamia room nyingine....
Kabla ya kuoa msio oa....
Waangalieni Vizuri wadada
 
Tatizo sasa siwezi kuolewa kwa majaribio , halafu kumbuka ndege wafananao huruka pamoja


Sikuoi kwa majaribio bali kwa makusudi kabisa na malengo.

Ila ukweli nmekupa siku ukikunja ngumi mimi nakunja roho yako.

By the ni mpaka ukunje ngumi. mimi sio mgomvi. Uliza humu wanaonijua
 
Kunawakati mazingira yanakufanya ufanye kitendo ambacho hukipendi
 

Attachments

  • VID-20190518-WA0002.mp4
    3.3 MB
  • VID-20190518-WA0003.mp4
    3.7 MB
Dah...hivi wanawake mnawapiga wapi....nimetafuta Sana....msaada pliz[emoji41]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji848] nilikua na demu mgomvi huyooo, maneno mengiii kitu kidogo tu huyu hapa kajaaa..!!!na ile Tabia yake akikutana na mwanaume mkorofi anaweza haribiwa reception, Mimi mpole nilijiweka kando aiseeh..!!!

F@nn¥[emoji769]
 
[emoji23][emoji23][emoji23] hawa wa dizaini hii wapo wengi why??? Demu wangu bhn alikua anashabihiana na wakwako mkuu
Nishawahi kuwa na mwnamke mgomvi,nilijuta,alafu bahati mbaya alikuwa mzuri dizain za kina masogange hivyo kumuacha unafikilia mara mbili utampata wapi kama yule.
Unaweza ukafanya mazuri kibao,usipomfanyia moja tu,yaani anasahau yote na analianzisha! Hapo sahau sex,kuongea hata chakula ndani siku hiyo akipikwi bahati mi mwenyewe si mbaya jikon.
Wanawake wakorofì wanapenda wivu wa kijinga,hawapendi kusikiliza,na ni kama watoto anapenda sana kuridhishwa wakati wao hawajitahid hata kidogo kwenye mapenzi,M/Mungu aniepushe kukutana na aina hii tena.

F@nn¥[emoji769]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mmachame wangu ni hatarii ila amenipata! Akimwaga ugari namwaga maharage ya nazi. Uwa napiga za chembe usiku unasikia anakuletea simu ongea na mama. Akinipa nasikia msamehe mwenzio! Mamaye!

F@nn¥[emoji769]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] halafu bado unasema umeoa
Ahsante mkuu, kuna cku nlipigwa na thermos kichwan hadi ikavunjika na maji yalikuwemo ya moto nilichomekaje!

F@nn¥[emoji769]
 
Leo nimecheka kinyama u made my day kupitia comments za wadau aiseeh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Jf sihami

F@nn¥[emoji769]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

F@nn¥[emoji769]
Mwanaume unachekaje na emoj nyingi hivyo
 
huyu nilimsapoti uchokozi wake kwa wenzake tukiwa kidato cha 6, wote walikuwa wanajitenga nae kwa ukorofi ila mimi tu ndo kusema wanamuonea.

akawa rafiki nikammiliki mchanganyiko wa msomali na mnyakyusa hahahaha ligi yake nilikuwa nafurahi sana, alikuwa akiwasha moto nakaa kimya sana maana balaa lake nalijua na nilisha lishuhudia tukiwa skuli.

siku akalianzisha nko na frend wangu si akaingilia kumpoza hahahahahaha!!! alimgaragaza balaa, jamaa anaomba niingilie nilicheka sana.

kuna wanawake ni kukaa nao mbali, maana ni kero na kukuaibisha ni dakika chache.
Hahahhaha
 
Back
Top Bottom