Wanaume: Ushawahi kuwa na mwanamke mgomvi?

Wanaume: Ushawahi kuwa na mwanamke mgomvi?

weee kama mchokozi Inabid upate mpole wa kumchangamsha!!!maana mkkutana wote ligi itakuwa shida..btn siongelei aina ya ugomvi wa mtoa mada ule wa kudundana na kutukanana!!sijui ushaupata!!!
Mmh! mi hata si mchokozi ila pia si mpole kutukanana siwezi labda kukwepa ngumi naweza vipi wewe upo dizain gani
 
Mwanamke mpole boring,labda awe mpole kupitiliza,lakini wapole ndio nnaowataka kwa sasa.Hao majike dume,ngumi mkononi,mdomo kama mc mi sitaki hata kuwaona.we mtu unarudi kutoka kazini umechoka unakaa nje mpaka uone taa imezimwa ndio unaingia ndani,ili kuepusha balaa.
hahahaha mecheka mdomo kama nini?
 
Nishawahi kuwa na mwnamke mgomvi,nilijuta,alafu bahati mbaya alikuwa mzuri dizain za kina masogange hivyo kumuacha unafikilia mara mbili utampata wapi kama yule.
Unaweza ukafanya mazuri kibao,usipomfanyia moja tu,yaani anasahau yote na analianzisha! Hapo sahau sex,kuongea hata chakula ndani siku hiyo akipikwi bahati mi mwenyewe si mbaya jikon.
Wanawake wakorofì wanapenda wivu wa kijinga,hawapendi kusikiliza,na ni kama watoto anapenda sana kuridhishwa wakati wao hawajitahid hata kidogo kwenye mapenzi,M/Mungu aniepushe kukutana na aina hii tena.
Kweli umekutana nae hizo ndo tabia zao mkuu. Mara nyingi wanaachika sanà.
 
Kuna kademu flani nilikutana nako kwenye mafunzo ya karate kanapenda sana varangati...sasa kila tukitaka kupiga mechi lazima kaanzishe ugomvi tupigane kakisalimu amri utasikia beby vua boxer fasta mnapiga mechi anakuwa mtulivu..ikafika wakati nikasema hizi papuchi za mpaka mpige karate siziwezi kabisa nikasepa zangu..
Sasa rafiki, we demu umekutana nae kwenye karate ulitaka msipashe musuli kwanza kabla ya varangati?? kama hivyo ungeenda kumtafuta mama ushauri vituo vya afya (joke) but pole sana mkuu
 
Habari wakuu,


Katika mambo ambayo wanawake wanakosea ni kuwa wagomvi.

Hata katika mahusiano wanaume wanavumilia vingi, wengine huwaacha wasichana hao.

Wanaume wengine hukutana na msichana mwenye ugomvi na bila kujua anamuoa.

Sasa hapo ndio moto unawaka kwenye ndoa ndio wanaume wananyooka mwanamke kitu kidogo tu kashalianzisha kwa mumewe.

Kwanini wanawake wanakuwa wagomvi?

Wanaume mliowahi kuwa na na wasichana/wanawake wagomvi tujuzeni hapa.

NB; Sio wanawake wote wagomvi.

Mkuu wengine mpaka hivi sasa bado ' tunatibu ' majeraha ya ' kutukuka ' tuliyoyapata kutoka kwa ' Wapenzi ' wetu baada ya kupokea ' mkong'oto ' wa kufa Mtu. Kuna Wanawake wanapiga ' Ngumi ' za maana hata Mabondia wenyewe akina Klishko na Antony Joshua hawaoni ndani.
 
Mkuu wengine mpaka hivi sasa bado ' tunatibu ' majeraha ya ' kutukuka ' tuliyoyapata kutoka kwa ' Wapenzi ' wetu baada ya kupokea ' mkong'oto ' wa kufa Mtu. Kuna Wanawake wanapiga ' Ngumi ' za maana hata Mabondia wenyewe akina Klishko na Antony Joshua hawaoni ndani.
Inabidi dawati la jinsia kwa wanaume lifikiriwe kwa kina
 
Back
Top Bottom