Wanaume: Ushawahi kuwa na mwanamke mgomvi?

Wanaume: Ushawahi kuwa na mwanamke mgomvi?

Mkuu pole sana....na mimi nina wa dizaini hiyo hiyo dah! Natamani kweli kumtema ila nikiangalia lile hips na tako nashindwa kabisa kumtema.
Nishawahi kuwa na mwnamke mgomvi,nilijuta,alafu bahati mbaya alikuwa mzuri dizain za kina masogange hivyo kumuacha unafikilia mara mbili utampata wapi kama yule.
Unaweza ukafanya mazuri kibao,usipomfanyia moja tu,yaani anasahau yote na analianzisha! Hapo sahau sex,kuongea hata chakula ndani siku hiyo akipikwi bahati mi mwenyewe si mbaya jikon.
Wanawake wakorofì wanapenda wivu wa kijinga,hawapendi kusikiliza,na ni kama watoto anapenda sana kuridhishwa wakati wao hawajitahid hata kidogo kwenye mapenzi,M/Mungu aniepushe kukutana na aina hii tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanawake wa siku hizi wajuaji sana. Ndo maana hata akikosea hawezi jua kakosea kwan tayari anaamini anajua na anaweza.
Mbaya Zaidi hawajui kama ni wajuaji ndo maana hata ukiwaambia ni wajuaji wanakataa.
Matokeo yake ndoa nyingi Zinakufa sababu Fahari wawili hawakai Zizi moja.
Wanawake kwa hili hapana yani wamezidi ujuajii mamaee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu bado mpo oamoja ama msha separate?
Usiombe!...
Hapa ninapoandika hii text nimehamia chumba kingine na kutandika godora chini.....(Nalala huko).Ni HATARI..Huyu wangu ni hatari...Yeye akishachukia...hubomoa Milango,kuvunja TV,kuchana masofa....
YAANI...Bora wasio oa...hii ndoa yangu ni ngumu mno....
Na ukitaka kukusanya mtaa mzima uwe unajibizana naye....So me nimechagua kuto kujibizana naye na kuhamia room nyingine....
Kabla ya kuoa msio oa....
Waangalieni Vizuri wadada

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watambezeeni tu vipondo , mi mwanamke mwenye jeuri , kiburi na dharau hana thamani , ni kipigo heavy hadi hayo mapepo aliyo nayo yamtoke .

We ndo maana ninakuita dhaifu kwa sababu ya kushindwa kutimiza wajibu wako , kuwa kichwa ndani ya familia , unanaswa vibao na mkeo , papuchi unapiga magoti kuomba , angalia watakuja kuwaomba tigo hao wake zenu , mnaowadekeza .

Come on niggas , you should understand who you have meant to be.

Eti limwanamke linaonesha utovu wa nidhamu halafu unalibembeleza , what the fuuuuuck ! Muraaa

Sidhani hata kama watoto wako watakuheshimu ndani ya nyumba , sijui utawashawishi vipi , baba kubwa jinga aka Bushoke .

Huu ni usenge , tena ungekuwa ndugu yangu ningekuchapa vibao kabisa .Shwain
Kuna mmoja ni mchepuko wangu, alianza kidomo domo level ya heshima ilishuka maradufu baada ya kupata danga jipya linalompa pesa zaidi.
Sasa mie kitu dharau ndio huwa sipendagi maana huwa namsaidiaga kwa mambo mengi sana. Isitoshe kanuni ya michepuko kila mtu anakula mbususu kwa time yake huwa naizingatia sana na wivu wa kijinga sina.

Day moko tumetoka out nkampigisha bia na chakula fresh mipango ikiwa hasa tukitoka hapo namdrop kwake tuyajenge nirushe njota moko au bee kisha niage niibuke zangu mtaa. Baada ya mtoto kuwa kakolea vizuri nikamwambia tuondoke tukapumzike naona uko vizuri tukatoka freshi. Ni kawaida huwa namlaga mchebwede kwake.

Kufika eneo la tukio mara ghafla mtoto akanibadilikia eti, akaanzisha mbilinge hapo ngoma 7 hivi, mji umetulia majirani wamelala mara sitaki usumbufu, eeh eeh nataka nilale, mixa kupayuka kwangu sio lodge! Nikamwambia tuliza wenge basi usiku sahizi af mbona tulishapanga fresh ishu af unakuwa hivyo. Dogo si akaleta undava kunisukuma eti kama vipi toka ndani kwangu.

Nikawaza huyu mtoto hanijui vizuri kumbe. Hapo nina mwani mpaka utosini, kilaji kimekaa mahali pake. Nikaskuti nikasema huyu leo namtia dispilini kmmmke.

Aisee neno lilitoka ilikuwa "Nmekuvumilia kidomo domo chako siku nyingi ila imetosha kmmmke" nilimnyanyua kitandani nikampa jebu za fasta kama umeme kumkata wenge. Akaenda deki nikamuinua na kumrusha kwenye dressing. Ajakaa freshi nikamuongezea umeme kumcheki naona anavuja upande mmoja sikioni ile naanza kutoka zangu chap ananifata nikamsukumia kwa kochi nikachomoka zangu.

Nilikuja mpigia simu kesho yake jioni nikamwambia samahani sana ila jana ulinizingua sana. Yeye mwenyewe pia akashangaa na kusema hajui kwa nini nilikuwa vile nikamwambia anisamehe sana maana chupa ndio ilimpa mkong'oto sio mimi.

Nilichofanya ni kwenda kumhudumia kwa huruma maana nilijiskia vibaya mno. Anasema siku ile alihisi anakufa maana kichapo kilikuwa cha mbwa koko, yani nilimpiga kama mwizi mwili wote ukawaka moto pombe ilikata kabisa.Ila sasa tunaheshimiana vizuri kabisa.
 
Daaah mm Dem wang nlikutna nae chuo tkaanzisha mahusiano ila kibaya me ndo nlkua men wake wa kwanza bc wivu wake co wa kitoto ukmkosea kidgo fujo zaatar mpk class alshwai kunkaba na tchr yupo anafundisha. Baada ya hapo akaja akanpga na cm kisa wivu wke huohuo tkiwa na msela wang geto nikpotzea nkaapa mbele yake akrudia tena upuuz wake huo ntamtawanya cjui aljsahau akaja akankaba eti kisa nmchlew krud geto nkaona atanioa huyu oya nlimpa kichapo kitaktifu piga na viti,mkanda,mwagia maji Yani vurugu mechi mpk akazma nkamfungia ndani nksepa nrud mida ya saa5 usku nkuta kaandaa msosi nkala nkalala zang mpk kesho aktka knfokea ankua 5m apart but nkmkosea nkua mpole but ilnsaidia Sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Teh! Wangu kuna siku nilimzaba kibao akaninyanyua juu juu kama wacheza mieleka na kunibwaga chini...nikajikaza nikasimama kujibu mapigo gafla nikala kichwa moja matata aisee hapo nikatambua hapa sipigwi na mwanamke bali napigwa na mwanaume mwenzangu. Nilipandiaha sumu haswa nikiwa pale pale chini nilijizungusha na kumtandika mtama mmoja maridadi na kuanguka kama gunia la viazi. Alivyoamka nikamtandika bonge moja la kofi maana sikutaka kumpiga ngumi kwasababu nilijua ntamuumiza sana, kumbe huruma yangu iliniponza....Ile nageuza mgongo nitoke nje sikujua nini kiliendelea tena mpaka nilivyokuja kuzindukia muhimbili nikiwa na bandeji kubwa kichwani. Ebanae kumbe yule mwanamke alinitwika lililokuwa pale sebuleni. Niliachana nae japo alikuwa na mimba yangu.
Mkuu wengine mpaka hivi sasa bado ' tunatibu ' majeraha ya ' kutukuka ' tuliyoyapata kutoka kwa ' Wapenzi ' wetu baada ya kupokea ' mkong'oto ' wa kufa Mtu. Kuna Wanawake wanapiga ' Ngumi ' za maana hata Mabondia wenyewe akina Klishko na Antony Joshua hawaoni ndani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daaah mm Dem wang nlikutna nae chuo tkaanzisha mahusiano ila kibaya me ndo nlkua men wake wa kwanza bc wivu wake co wa kitoto ukmkosea kidgo fujo zaatar mpk class alshwai kunkaba na tchr yupo anafundisha. Baada ya hapo akaja akanpga na cm kisa wivu wke huohuo tkiwa na msela wang geto nikpotzea nkaapa mbele yake akrudia tena upuuz wake huo ntamtawanya cjui aljsahau akaja akankaba eti kisa nmchlew krud geto nkaona atanioa huyu oya nlimpa kichapo kitaktifu piga na viti,mkanda,mwagia maji Yani vurugu mechi mpk akazma nkamfungia ndani nksepa nrud mida ya saa5 usku nkuta kaandaa msosi nkala nkalala zang mpk kesho aktka knfokea ankua 5m apart but nkmkosea nkua mpole but ilnsaidia Sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huo ndio uanaume mkuu, asikudanganye mtu na hata ukioa. Matatizo ya mke maliza mwenyewe achana na maswala ya vikao vikao. Tia dispilini akili imkae sawa huyo mtoto.
 
Yule mume wa aunt yangu, ndo anapresent vizuri tabia za wanaume wengi wafupi. He is too much aisee, ndo vile tu there is someone for everyone, kapata mke anayeweza "kudumu"naye
Ndio maana nawewe hupendi wafupi sio? 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Huo ndio uanaume mkuu, asikudanganye mtu na hata ukioa. Matatizo ya mke maliza mwenyewe achana na maswala ya vikao vikao. Tia dispilini akili imkae sawa huyo mtoto.
Mm c ndo nshngaa eti mwanaume anapgwa me njua wnchkfnya hua wnjua nimakosa Ila wnatka wkupime hurka yko ukiwa mpole xna utaabika Kuna jmaang Dem wake almletea wenge npgiwa cm nkasolve kesi nkuta Dem ana kipara kuulza jmaa kmmyoa na mkasi[emoji1787][emoji1787][emoji1787] chaajbu Dem skuiz anamueshm balaaaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mm c ndo nshngaa eti mwanaume anapgwa me njua wnchkfnya hua wnjua nimakosa Ila wnatka wkupime hurka yko ukiwa mpole xna utaabika Kuna jmaang Dem wake almletea wenge npgiwa cm nkasolve kesi nkuta Dem ana kipara kuulza jmaa kmmyoa na mkasi[emoji1787][emoji1787][emoji1787] chaajbu Dem skuiz anamueshm balaaaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanamke ukimuonesha you are a real man hawezi kuleta usenge hata siku 1.
 
Mimi nina mchepuko wangu mke wa mtu ni mshari mnoooo mwaka wa 20 huu, akipiga simu kulalamika mfano ameomba upite sokoni umchukulie mayai basi atapiga hiyo simu na atalalamika kwa saa nzima,yan kisa mayai tu eti...dah
sijui maneno huwa anatoa wapi, hapo atakumbushia kila kitu ambacho anahisi hukumtendea sawa, hata kilichotokea mwaka 2000, anakumbuka hadi tarehe na saa...ajabu tumeshindwa kabisa kuachana, huwa inatokea tunanuniana kwa wiki 2 then anaibuka tena na kutaka nikamfanye, hapo nitamfanya na anaenjoy kweli lakini atakuwa na malalamiko kibao...nilikaa naye kwa wiki 1 Arusha nilichoka kwa kweli...ajabu yeye hachoki kufanywa wala kulalamika!
Sindio maana huwezi kumuacha mkuu, kumbe anakupa tunda full time kila ukitaka🤣🤣🤣. Hata mimi siwezi muacha mwanamke anaenipa tunda bila zengwe hata awe na mapungufu mengine. Alimradi ananivutia kimapenzi ntadumu nae.
 
Mmachame wangu ni hatarii ila amenipata! Akimwaga ugari namwaga maharage ya nazi. Uwa napiga za chembe usiku unasikia anakuletea simu ongea na mama. Akinipa nasikia msamehe mwenzio! Mamaye!
Fala we we hahaaaaa
 
Back
Top Bottom