Wanaume tuoneeni huruma dada/mama zenu

Wanaume tuoneeni huruma dada/mama zenu

mi nasemaje , kama nlikubaka sawa sababu utasema hakukuwa na makubaliano , ila kama tulikubaliana tufanye mapenzi halafu wewe ukanasa mimba hiyo yako , yani naapa sitakuja kukubali , hapo inamaanisha umenigeuka na umepanga bila kunishirikisha kwahio ni sawa na umenibakia mipango yangu, asije akasema mtu bahati mbaya , maana hata kugusa 0714 mnasema sio bahati mbaya basi na hicho kitu hakiwezi kuwa bahati mbaya, naandika hivi kwa uchungu na hasira kali, sitakuwa tayari kucheka na mtu anaetaka kunivurugia mipango yangu , yani ni bora uniambie hunipi papuchi nijue moja , huyo dogo akiwa raisi au waziri atajua mwenyewe
 
Asante kaka. Tatizo sio hilo, kuna watoto wamezaliwa utasema ni copy ya baba zao lakini huyo baba bila aibu anashindwa kumuhudumia mwanae.
Itakua kuna sababu. Hawezi kua mwehu kiasi icho hadi akatae mtoto.
Itakua ulichepuka mwenzio hana uhakika kama mtoto ni wake ama lah
 
Tatizo nyie wanawake hatuwaamini kabisaaaaaaa mmezoea kutushikisha mimba wanaume tunalea sana watoto ambao sio wetu tunaogopa
 
Wakati mwingine mwavamiaga mambo bila hata kumshirikisha Mungu halafu yakishawatokea puani mwaishia kulalama. Sio kila mwanaume ni MWANAUME na pia sio kila mwanamke ni MWANAMKE; midude mingine hujivisha ngozi ya binadamu na ilhali ni mishetani mikubwa tena iliyokubuhu. Mshirikishe Mungu kwa kila jambo ufanyalo, vinginevyo lazima utaangamia.
 
Nikiwa kama mhanga wa mwanamke alieachiwa matunzo ya mtoto bila msaada wa baba naumia sana. Hivi wanaume huwa mnawaza nini mnapotupa adhabu ya kulea watoto peke yetu na wewe baba ukiwa hai na unajiweza? Hata kama hujiwezi basi kumjali mtoto wako japo kwa kuulizia maendeleo yake mtu anashindwa kabisa.

Hivi kina kaka mmejiuliza nyie baba zenu wangewakimbia mngekuwa wapi sasa hivi? Mnajua ni chuki gani mnaweka kwa watoto wenu mliowakataa? Mnajua ni laana gani mnapata kwa Mungu kwa kukataa kutimiza wajibu wenu kama wazazi? Au mnatukomoa kwa sababu mama hawezi kumuacha mtoto wake nyuma hata apate tatizo gani?

Labda wewe na mama wa mtoto hamko sawa lakini ile hasira ya ninyi kutokua sawa baba usimkomeshe mama kwa kuacha kumtunza mwanao ukijua unamkomoa mama, pale unaemkomoa ni mtoto wako ambae ulimtafuta kwa mapenzi/tamaa zako mwenyewe.

Naandika nikiwa na uchungu mwingi sana moyoni. Mwanaume usiemtunza mwanao ona aibu na muogope Mungu wako kwa kitendo unachokifanya.
Jiulize ingekua ni dada yako au mwanao ameachwa na mwanaume alee mtoto peke yake ungejisikiaje?

KARMA IS A BITCH. Ukinifanyia mimi leo wakati unao dada na watoto wa kike jua itakuumiza na wew kwa mmoja kati ya hao kufanyiwa kama unavyofanyia wengine.

Baba mtoto wangu nimeshamlilia Mungu juu yako na nina hakika huyu mtoto ulieniachia nimlee peke yangu atanifuta machozi siku moja na utatamani akutambue kama baba yake utakua umeshachelewa.

Kaka/baba zangu baba Diamond akawe mfano kwenu, Obama aliekataliwa na baba yake mwishoni alikuja kuwa Rais wa Marekani/dunia.
Kuzalisha ni kitu kingine na kulea ni kitu kingine pia, pole sana ila lea na mtoto akianza kuwa na akili mwambie ukweli kuwa unababa lakini no matunzo ili akikua ajijue kabisa mtu pekee alonae ni mama
 
Je wewe ndo ungemuachia mtoto amlee ungekuja humu na ulalamike???ni jukumu letu sote
 
At some point wanawake wanatumia mimba/mtoto kama trap. Change taktics. Na shida ya wanawake hawawez kureason vizuri wanakimbilia kwenye social media na kumwaga shutma. Binafsi naamini kila kinavhotokea kina sababu. Narudia tena kuna sababu. Nasema tena ipo sababu. Hapa mwanaume kapakwa rangi ya ubaya na upuuzi wote huku mtoa mada akionyesha kwamba mwanamke hana tatizo. Trust me ipo sababu ya kutelekeza siamini kwamba unaweza kukimbia mwanao. Hiyo mifano ya akina obama na diamond iwape mafunzo wanawake pia.
 
Wanawake bhana!!! Kwenye kuchagua wanaume huwa hamtaki ushauri ila mkishatendeka ndo mnakomaaga kuomba ushauri
 
Labda kitu nyingine mnatakiwa kujua kwamba mwanaume anapoambiwa kitu na mwanamke ni rahis sana kukubali. Akishakubali akiwa peke yake ndo kichwa na akili zake zinarudi na ndipo hutafakar kwa kina alichokubali. Then anaset parameters na conditions akaiona hesabu zinamkata anapiga rivas kimya kimya. Naipenda sana akili ya kiume.
 
Pole, kumbe ndo mana kwenye ile thredi ulicomment "nosense".
Mwenyewe umejitutumua wee, viuno ka uko unyagoni ukadhani atakuoa!
 
Tatizo watoto wa siku izi, iwapo utamficha au mdanganya eti amekufa,mzazi wake mmoja, especially baba, ataenda hata mpaka radioni kumtafuta.
 
d5e8bf458e6339c1328c949d072ff107.jpg

Katika mazingira kama haya unampendaje mtoto wako?
Rashid ni rafik yangu aliyenipa taarifa za kujifungua kwake
Wanawake hasa wenye ajira wana matatizo sana
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] aiseeee wanawake wengne bhn
 
Back
Top Bottom