Watoto sita jamani? Haoni aibu? Kuna mtu aliniambia hata iweje haitatokea baba akawapenda watoto kama mama anavyowapenda ndio maana ni rahisi wao kukataa watoto na hawajali kabisa. Hata ujilize ugaregare kama kageuka kageuka.
Mimi baba mtoto wangu mkorofi ila nashukuru siku hizi hicho hicho kidogo tunagawana japo nahisi huwa ananiletea hizo story zake sababu namnyima game kwahiyo anafanya kama kunikomoa na mimi nishamwambia afanye anachotaka wala asidhani ntampa game ili atunze mwanae haipo. Nitampa kwa ashki zangu na si zaidi ya hapo
Sent using
Jamii Forums mobile app