Ibanda1
JF-Expert Member
- Jul 18, 2015
- 728
- 1,136
Hahahaaaa mkuu npe code tuUngekua karibu ningekupiga na castle moja
Hahahaaaa mkuu npe code tuUngekua karibu ningekupiga na castle moja
Hayo utachota bombanimaji tu yanatosha.
mweeee mwe mweHayo utachota bombani
Wakati mnadinya mbona hamumtaj mkemia?Pole Dada yangu,tatizo ni zile 49% za mkemia
Watakua wote walikua wamelewa badala ya jamaa kuvaa condom kwenye penis akavaa kwenye kidole gumbaKama kinga ilitumika ilipasuka au aliitoa katikati ya game!?
Pole sana
Hivi wapo wa hivyo eeeehBeba mimba ya mwanaume anaejivunia kuwa na wewe sio yule mpaka awe na genye ndo akutafute
Wapo sema sasa wakija kuwa apperoach ndo tunatolewa baruHivi wapo wa hivyo eeeeh
Kidhungu chako hakika kinahitaji alignment. Next time ukiongea name mwanao ongea naye Kiswahili maana utamchanganya mtoto.tutazunguka sana lakini lililokubwa hapa ni kwamba tatizo kubwa ni la kimaadili.
sio kwamba zamani hali hii haikuwepo lakini kwa sasa mambo yamekuwa tofauti zaidi.
wazazi hawana vikao na watoto wao wanafikiri watoto wanahitaji shule tu na vingine si vya msingi.
matokeo yake ni mmomonyoko wa maadili kwa jamii nzima.
tekinolojia staili ya maisha tunayoishi sasa imefanya uhitaji wa ngono uwe mkubwa sana na hasa kwa vijana.
weekend moja niliingia bar moja kwa chakula cha mchana nikakuta kundi la vijana wa kiume wakila chips tena walio ingia na kukaa meza tofauti likanistua sana jambo hili tena wakiwemo "wasukuma"! hii ni dalili ya kutengeneza kizazi cha watu wavivu wasiofikiria mbali na haya ndio matokeo yake.
ni vigumu kusema kitu nikaeleweka lakini tuelewe kuwa kinacholalamikiwa tusipokuwa makini kwa watoto wetu pia kina kuja.
zaidi ya asilimia hamsini (50%) ya wachangiaji na wanachama wa jamii forum wameumizwa na wazazi wao nikiwemo mimi japo hatuko tayari kueleza ukweli lakini wengi wamekuwa ndio watu wa kuumiza wanawake hawa.
hivyo nashauri tuwe na michango ya kutosha kwa jamii na tuwe mfano wa kukaa na kuongea na watoto wetu.
najua wengi tumebadilisha lugha za kuongea kwenye nyumba zetu tunaongea kithungu ili mtoto waende na kasi ya shule lakini tunashindwa kujua kuwa hatuna maneno mengi ya ushawishi ya kizungu yanayoweza kujenga hoja ya kumjenga mtoto tunaishia na sentence tatu mpaka tano kama ifuatavyo:-
mtoto:good evening dady!
baba: huku ukiwa umetengeneza uso wa mtoto asiendelee sana unaitika good evening!
baba:did you done your home work?
mtoto: Yes dady
baba😱k go to sleep tomorrow school.
mtoto:dady.....
baba:talk to your mummy!
sasa hapa inakuwaje hakuna uhusiano mzuri na mtoto matokeo yake mtoto analelewa na dada wa ndani na jamii na haya ndio matokeo wakiharibikiwa tnawaita malaya!
hali ni mbaya sana ndugu zangu hebu tuhamie huku siasa tuiache kwa muda tupike kelele na jamii yetu kwa sasa!
Chanzo Ni viburi kwa wengi!Nikiwa kama mhanga wa mwanamke alieachiwa matunzo ya mtoto bila msaada wa baba naumia sana.
Hivi wanaume huwa mnawaza nini mnapotupa adhabu ya kulea watoto peke yetu na wewe baba ukiwa hai na unajiweza? Hata kama hujiwezi basi kumjali mtoto wako japo kwa kuulizia maendeleo yake mtu anashindwa kabisa. Hivi kina kaka mmejiuliza nyie baba zenu wangewakimbia mngekuwa wapi sasa hivi? Mnajua ni chuki gani mnaweka kwa watoto wenu mliowakataa? Mnajua ni laana gani mnapata kwa Mungu kwa kukataa kutimiza wajibu wenu kama wazazi? Au mnatukomoa kwa sababu mama hawezi kumuacha mtoto wake nyuma hata apate tatizo gani? Labda wewe na mama wa mtoto hamko sawa lakini ile hasira ya ninyi kutokua sawa baba usimkomeshe mama kwa kuacha kumtunza mwanao ukijua unamkomoa mama, pale unaemkomoa ni mtoto wako ambae ulimtafuta kwa mapenzi/tamaa zako mwenyewe.
Naandika nikiwa na uchungu mwingi sana moyoni. Mwanaume usiemtunza mwanao ona aibu na muogope Mungu wako kwa kitendo unachokifanya.
Jiulize ingekua ni dada yako au mwanao ameachwa na mwanaume alee mtoto peke yake ungejisikiaje?
KARMA IS A BITCH. Ukinifanyia mimi leo wakati unao dada na watoto wa kike jua itakuumiza na wew kwa mmoja kati ya hao kufanyiwa kama unavyofanyia wengine.
Baba mtoto wangu nimeshamlilia Mungu juu yako na nina hakika huyu mtoto ulieniachia nimlee peke yangu atanifuta machozi siku moja na utatamani akutambue kama baba yake utakua umeshachelewa.
Kaka/baba zangu baba Diamond akawe mfano kwenu, Obama aliekataliwa na baba yake mwishoni alikuja kuwa Rais wa marekani/dunia.
Inasikitisha kwa kweli, pole sanaNikiwa kama mhanga wa mwanamke alieachiwa matunzo ya mtoto bila msaada wa baba naumia sana.

ExactlyHii ishu ikishatokea cha msingi ni sapoti kutoka kwa familia yako, ni hiko tu ndiyo kitafanya makosa yaliyotokea usiyajutie sana.
Mwanaume anayesusa mtoto huku wewe uko sawa kwa kila kitu ni utoto umemshika anajiona kuna vitu hajamalizia.
Teh teh kuna kaukwelishosti ila na wewe kumbuka ulikosea kuzaa na mume wa mtu so kubali makosa komaaa na matokeo
huwezi kuokota embe kwenye mnazi .ulitaka kukimbia na hauna break????????