Wanaume tuoneeni huruma dada/mama zenu

Wanaume tuoneeni huruma dada/mama zenu

ukikimbia mtoto adhabu nitakayokupa huta kaa unisahahu milele... nawaambiaga watu hivi wanaiambia na roho mbaya but not easy in such ... ila dada pole sana muache kuwa na mioyo ya huruma na kususa kama unahakika ni mtoto wake ana anauwezo kifedha chukua hatua mpeleke kwenye vyombo vya sheria ni jukumu lake kulea no matter anakupenda hakupendi hilo halimuhusu mtoto...... hakuna swala la kumuachia Mungu
Mbona hujamshauri kwenda DNA kabla ya vyombo vya sheri. Nyie nao hamuaminiki, umalaya tu , eti mnatafuta wenye fedha, ukizaa nae kumbe ana familia
Kukuru kakara unamkimbizia mwenye unafuu. Kwenda huko ...?!
na muache tamaa. Kwani unadhani hatuwaoni mitaani na vyuoni. Mmekaa tu Vyombo sheria..! Nenda unyagoni mkafunzwe ndo maana mnaachwa
 
Mimi nawalaumu wanawake katika hilo tu, they are in control of their bodies, wanajua lini wapo safe, lini wanaweza kujiachia, wanaweza kuamua huyu nimpe coz anafaa, huyu hanifai hivyo he won't test my bits.

Ninachoshindwa kuelewa, kwa nini(pamoja na kuwa na full control ya miili yao), kwa nini mtu anabeba mimba ya mtu asiyeonyesha kuwa nae, kwa nini wanategesha mimba? Hiyo weakness kwa dada zetu inawatafuna, wanapata mzigo wa kulea watoto peke yao...so sad!...

Lakini pamoja na hayo, mwanaume kumuachia mwenzako majukumu ya malezi no dhambi kubwa!!
Cha ajabu mimba zetu zinakamata haraka kwa wale tunaowapenda.
 
umwsema vema kaka,,,, hakuna anaeunga mkono kumuachia watoto mwanamke..... ila kiuhalisia wanaume huwa tunaumizwa sana na hatupendi kupiga makelele ovyo... unakomaa till ukiona hii sasa taabu ....kimya kimya unachukua maamuzi magumu... tena magumu kweli.... na wanawake huwatumia watoto kama ngao na kuwalisha sumu ......mjiangalie na nyie msilaumu wanaume tuuu......kama kichwa cha familia,,,,, unaweza chukua uamuzi bila kujali what next,,, na maisha yakasonga kama kawaida....
Nimesha wahi mara nyingi kusikia watoto wakiwaua baba zao kwa kulishwa sumu na mama zao hasa klm
 
Nikiwa kama mhanga wa mwanamke alieachiwa matunzo ya mtoto bila msaada wa baba naumia sana.
Hivi wanaume huwa mnawaza nini mnapotupa adhabu ya kulea watoto peke yetu na wewe baba ukiwa hai na unajiweza? Hata kama hujiwezi basi kumjali mtoto wako japo kwa kuulizia maendeleo yake mtu anashindwa kabisa. Hivi kina kaka mmejiuliza nyie baba zenu wangewakimbia mngekuwa wapi sasa hivi? Mnajua ni chuki gani mnaweka kwa watoto wenu mliowakataa? Mnajua ni laana gani mnapata kwa Mungu kwa kukataa kutimiza wajibu wenu kama wazazi? Au mnatukomoa kwa sababu mama hawezi kumuacha mtoto wake nyuma hata apate tatizo gani? Labda wewe na mama wa mtoto hamko sawa lakini ile hasira ya ninyi kutokua sawa baba usimkomeshe mama kwa kuacha kumtunza mwanao ukijua unamkomoa mama, pale unaemkomoa ni mtoto wako ambae ulimtafuta kwa mapenzi/tamaa zako mwenyewe.
Naandika nikiwa na uchungu mwingi sana moyoni. Mwanaume usiemtunza mwanao ona aibu na muogope Mungu wako kwa kitendo unachokifanya.
Jiulize ingekua ni dada yako au mwanao ameachwa na mwanaume alee mtoto peke yake ungejisikiaje?
KARMA IS A BITCH. Ukinifanyia mimi leo wakati unao dada na watoto wa kike jua itakuumiza na wew kwa mmoja kati ya hao kufanyiwa kama unavyofanyia wengine.
Baba mtoto wangu nimeshamlilia Mungu juu yako na nina hakika huyu mtoto ulieniachia nimlee peke yangu atanifuta machozi siku moja na utatamani akutambue kama baba yake utakua umeshachelewa.
Kaka/baba zangu baba Diamond akawe mfano kwenu, Obama aliekataliwa na baba yake mwishoni alikuja kuwa Rais wa marekani/dunia.
Sie wenyewe tulikimbiwaga na baba zetu afu mnatabia ya kumbakia watu mimba mnatembea na kadi 4 za kliniki mimba 1
 
wanawake wengi tunaachia tupate mimba kwa sababu mbalimbali.wengi tunategesha mimba ili kuolewa,wengine tunategesha kwa mwanaume wenye hela tukidhan kuwa nikizaa nae ndo nitakula hela yake vizur.wengine umri umeenda anaamua kuzaa na mwanaume yeyote ilimradi naye apate mtoto wake.kwa wale waopata mimba kwa bila malengo wengi wao huwa niwale wanafunzi wenye umri mdogo ambao hawajui kujikinga.migogoro yote ya kuachiwa mtoto inatokea baada ya malengo ya kupata mimba hiyo kutotimia.wanaume wengi wanapenda raha ya kavukavu lakini wakisikia mimba kwaheri,wako radhi wamchukue mtoto akalelewe na mkewe au mama yake kuliko kumpa mtu aliye zaa nae hela ya matunzo kwa kuwa anajua akitoa hiyo hela na wewe mama mtu utakula hiyo hiyo.jambo lingine kunawanaume wengine wako tayar kuhudumia lakini hayo matumizi yanayoomba kwa ajili ya mtoto ni makumbwa kuliko hata matumizi ya nyumbani kwake na familia yake yenye idadi kubwa ya watu,yaani tunakuwa kama tunawakomesha wanaume kwa kudai matumizi makubwa mwisho wake wanaamua kukimbia au kukana watoto.tujirekebishe tukijiachia kupata mimba tujiandae na kulea na kumtunza mtoto.tusifanye mtoto kama kitega uchumi.hii itatusaidia kupunguza strees,nakuishi kwa amani.
Samahani, unamchumba Doreen?
Kiukweli una hoja. Hongera
 
Mbona hujamshauri kwenda DNA kabla ya vyombo vya sheri. Nyie nao hamuaminiki, umalaya tu , eti mnatafuta wenye fedha, ukizaa nae kumbe ana familia
Kukuru kakara unamkimbizia mwenye unafuu. Kwenda huko ...?!
na muache tamaa. Kwani unadhani hatuwaoni mitaani na vyuoni. Mmekaa tu Vyombo sheria..! Nenda unyagoni mkafunzwe ndo maana mnaachwa
Ndiyo maana nimemwambia kama anauhakika mtoto nI wa huyo jamaa ....bila umalaya wetu huwezi kutupata
 
hivi baby tunazaa lini?
Aaaaaah! baby! Hii miezi huwa ina watoto aina ya WANG CHOI..very fake! Madishi yenye visimbuzi mtikisiko ni heri tusubiri tu Agost ndo mitoto inakuwa genuine and successful. Kama ile njemba ya August 13.

Ila wewe mwanamke nakupenda saana na una maneno flani mikato sumu sana. Sijui nikupambanishe na Mange kimambi umnyoooshe!?
 
Aaaaaah! baby! Hii miezi huwa ina watoto aina ya WANG CHOI..very fake! Madishi yenye visimbuzi mtikisiko Tusubiri tu Agost ndo mitoto inakuwa genuine and successful. Kama ile njemba ya August 13.

Wewe mwanamke nakupenda saana na una maneno flani mikato sumu sana. Sijui nikupambanishe na Mange kimambi umnyoooshe!?
MIMI MPOLE SANA NAANDIKA TU .ILA NIMEKUMISS ILA KUSUBIRI AUGIST SIWEZI
 
Asante sana. Najiuliza hivi wanaume wa hivyo huwa wanamuogopa Mungu kweli?
Tatizo mnapopenda mnashindwa kuwafanyia tathmini wanaume mlio nao kwenye mahusiano. Matokeo yake ndo hayo. Huenda ulikunwa vizuri ukaongeza kupanua mapaja hilo likakunyima muda wa kumtathimini mwanaume. Ila pole kila lolote likitokea ni sehemu ya funzo.
 
Hivi hapa kwetu sheria zinasemaje??
Zipo sheria baba lazima amuhudumie mtoto mpaka atakapofikisha miaka 18 nadhani lakini hazifuatwi.mpaka mpelekane ustawi wa jamii na mahakamani.
Lakini kwa nchi zilizoendelea baba anawajibu wa kutoa kila mwezi nadhani hela ya matumizi ya mtoto/watoto
 
Pole sana.. Usivunjike moyo... Wapo wanaopenda single mother... Utapata tu..
 
Sijaongelewa kukimbiwa chief. Nimeongelea kulea mtoto. Hata ningekua malaya, mkorofi na kilq kitu kibaya bado siyo sababu ya mtu kukataa kulea mtoto wake. Ananikomoa mimi na tabia zangu au anamkomoa mtoto?
Mpo wengine mnawajaza watoto sumu. Mwanaume asigundue hilo utaimba
 
Wale Sauti Sol wa Kenya hawakataagi mtoto hata Nerea walimsisitiza awapelekee mtoto wao watamlea..labda jaribu kwao ila hawa wa kibongo ni Pasua kichwa dadangu.

Ila kwa jinsi ninavyotafuta mtoto kwa gharama yeyote..huyo mwanamke atakenizalia si nitamkopea mkopo wa Saccos hapa wizarani ale na mwanangu na apumzike na uchovu wa uzazi..yani ndo maternity leaves yake hiyo..!

Afu napendaga wanawake wenye watoto....they are very easy to start a relationshio with them..yaani hapa nikianza kumcare na kumpenda mtoto kwa kiwango cha dunia basi automatically na mama yake ananipenda and voila! Abracadabra!

Anyways!! Sorry can I adopt her Mzigua90?
¿Usted habla española?
 
ilikuwaje akakuachia watoto, mlioana kwa ndoa? kama jibu ni ndio basi ujilaumu kwa kutotunza ndoa hadi mkaachana. kama haukuoana naye kwa ndoa, jilaumu kwa kuwa malaya kuvua chupi ovyo hadi jamaa kakuzalisha na kukudampu akaenda kuoa ampendaye. ilaani ile siku umevua pichu na sio kuwalaani na kuwachukia wanaume.tatizo wadada mmezidi umalaya na kuchagua chagua, nataka kila mwanaume mnayemtamani awaingilie, na kwa jinsi sisi wanaume tulivyo, mwanamke mrahisi huwa tunamtumia kwa starehe tu ila sio wa kudumu naye kwasababu tunajiuliza amekuwa mrahisi kwangu hivi atakuwa mrahisi au amekuwa mrahisi kwa wangapi. hivyo punguza umalaya uache kulalamika. utamu uliutaka mwenyewe hayo ndo matunda yake uyale sasa.
Kweli huna maneno matamumatamu kama pogba
 
Back
Top Bottom