Natokea Kanda Maalum
JF-Expert Member
- Dec 22, 2016
- 750
- 1,319
Ndugu acha tu![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
aiseeee wanawake wengne bhn
Ndugu acha tu![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
aiseeee wanawake wengne bhn
Kwa upande wangu naweza kusema kwamba mambo haya yanatokana na pande zote mbili kushindwa kuwa wakweli.Unamkuta mwanamke anampenda tu kijana ambae hana uelekeo ila kwa kuwa ni handsome wao ndio wanawaita,tayari analazmika kuzaa na haijalishi anapesa au hana ila tu ili hali aonekane kazaa na huyo mtu, inapofika kwenye kuhudumia inakuwa shida hapo ndipo utaona malalamiko yanakuwa mengi wakati aliona kuzaa na huyo mtu ni hadhi.Kingne wanawake wamekuwa ombaomba sana eti kisa umebeba ujaa uzito wangu ndo inakuwa kigezo cha kunihuzunisha kila cku hii itawafanya mkimbiwe sana,inapotokea hali kama hii jitahidini kuwa wavumilivu,mwanaume anaejua kwamba nilitupia mwenyewe kamwe hawez kukuacha hovyo endapo utakuwa unamheshimu na kumsikiliza lakini vitisho vingi, maneno kibao, inampelekea anakuwa na roho nyingine.Dada angu ukisema ugomvi wenu haumhusu mtoto hilo ni kweli lakini linaasilimia kubwa kupelekea mtoto kuumia kwa sababu ww huongei na mm itanipa uvivu wa kufuatilia uwepo wake.Mwisho nawaombeni madada mnapopata mimba muwe watu wa kutuliza kichwa na kufikiria nini cha kufanya si tu unapata unaona kama vle umepata mzigo sana cha msingi wasiliana na mzazi mwezako kwa utaratibu na heshimu ili na yy akuelewe na atahusika kwa ujumla ila tu tena msijikute mnakuwa wababe na kupenda kusikilizwa sana.Mkienda na misingi hiyo mtazaa kwa raha na kulea bila shida ASANTENI.Nikiwa kama mhanga wa mwanamke alieachiwa matunzo ya mtoto bila msaada wa baba naumia sana. Hivi wanaume huwa mnawaza nini mnapotupa adhabu ya kulea watoto peke yetu na wewe baba ukiwa hai na unajiweza? Hata kama hujiwezi basi kumjali mtoto wako japo kwa kuulizia maendeleo yake mtu anashindwa kabisa.
Hivi kina kaka mmejiuliza nyie baba zenu wangewakimbia mngekuwa wapi sasa hivi? Mnajua ni chuki gani mnaweka kwa watoto wenu mliowakataa? Mnajua ni laana gani mnapata kwa Mungu kwa kukataa kutimiza wajibu wenu kama wazazi? Au mnatukomoa kwa sababu mama hawezi kumuacha mtoto wake nyuma hata apate tatizo gani?
Labda wewe na mama wa mtoto hamko sawa lakini ile hasira ya ninyi kutokua sawa baba usimkomeshe mama kwa kuacha kumtunza mwanao ukijua unamkomoa mama, pale unaemkomoa ni mtoto wako ambae ulimtafuta kwa mapenzi/tamaa zako mwenyewe.
Naandika nikiwa na uchungu mwingi sana moyoni. Mwanaume usiemtunza mwanao ona aibu na muogope Mungu wako kwa kitendo unachokifanya.
Jiulize ingekua ni dada yako au mwanao ameachwa na mwanaume alee mtoto peke yake ungejisikiaje?
KARMA IS A BITCH. Ukinifanyia mimi leo wakati unao dada na watoto wa kike jua itakuumiza na wew kwa mmoja kati ya hao kufanyiwa kama unavyofanyia wengine.
Baba mtoto wangu nimeshamlilia Mungu juu yako na nina hakika huyu mtoto ulieniachia nimlee peke yangu atanifuta machozi siku moja na utatamani akutambue kama baba yake utakua umeshachelewa.
Kaka/baba zangu baba Diamond akawe mfano kwenu, Obama aliekataliwa na baba yake mwishoni alikuja kuwa Rais wa Marekani/dunia.
Wanaachia tuMakosa yanaweza kuwa ya mwanamke,mwanaume au wote wawili lakini athari kubwa inakuja kwa mwanamke na mtoto..So wadada muwe makini..Sio kila mlowekaji ni mfuaji..Wengine wanaloweka tu na kuendelea na shughuli zao..
Kwaiyo suluhu ya kuto kua na uhakika ni kukimbia majukumu? Na baadae mtakuja kuwaambia hao watoto kwamba hamkua na uhakika ndio maana mkakimbia? Hizi ulizonazo ni akili chafu sana za kivulana kwanini msitafute uhakika kabla ya kukimbia?Itakua kuna sababu. Hawezi kua mwehu kiasi icho hadi akatae mtoto.
Itakua ulichepuka mwenzio hana uhakika kama mtoto ni wake ama lah
Sio akili zangu ni za aliyekimbia. Pole kwa kukimbiwa. Nxt tym jitahidi uwe mwaminifu.Kwaiyo suluhu ya kuto kua na uhakika ni kukimbia majukumu? Na baadae mtakuja kuwaambia hao watoto kwamba hamkua na uhakika ndio maana mkakimbia? Hizi ulizonazo ni akili chafu sana za kivulana kwanini msitafute uhakika kabla ya kukimbia?
Nikiwa kama mhanga wa mwanamke alieachiwa matunzo ya mtoto bila msaada wa baba naumia sana. Hivi wanaume huwa mnawaza nini mnapotupa adhabu ya kulea watoto peke yetu na wewe baba ukiwa hai na unajiweza? Hata kama hujiwezi basi kumjali mtoto wako japo kwa kuulizia maendeleo yake mtu anashindwa kabisa.
Hivi kina kaka mmejiuliza nyie baba zenu wangewakimbia mngekuwa wapi sasa hivi? Mnajua ni chuki gani mnaweka kwa watoto wenu mliowakataa? Mnajua ni laana gani mnapata kwa Mungu kwa kukataa kutimiza wajibu wenu kama wazazi? Au mnatukomoa kwa sababu mama hawezi kumuacha mtoto wake nyuma hata apate tatizo gani?
Labda wewe na mama wa mtoto hamko sawa lakini ile hasira ya ninyi kutokua sawa baba usimkomeshe mama kwa kuacha kumtunza mwanao ukijua unamkomoa mama, pale unaemkomoa ni mtoto wako ambae ulimtafuta kwa mapenzi/tamaa zako mwenyewe.
Naandika nikiwa na uchungu mwingi sana moyoni. Mwanaume usiemtunza mwanao ona aibu na muogope Mungu wako kwa kitendo unachokifanya.
Jiulize ingekua ni dada yako au mwanao ameachwa na mwanaume alee mtoto peke yake ungejisikiaje?
KARMA IS A BITCH. Ukinifanyia mimi leo wakati unao dada na watoto wa kike jua itakuumiza na wew kwa mmoja kati ya hao kufanyiwa kama unavyofanyia wengine.
Baba mtoto wangu nimeshamlilia Mungu juu yako na nina hakika huyu mtoto ulieniachia nimlee peke yangu atanifuta machozi siku moja na utatamani akutambue kama baba yake utakua umeshachelewa.
Kaka/baba zangu baba Diamond akawe mfano kwenu, Obama aliekataliwa na baba yake mwishoni alikuja kuwa Rais wa Marekani/dunia.
In my opinion, this is a two-way phenomenon. Bahati mbaya sana umeamua kuitazama kwa upande mmoja.Nikiwa kama mhanga wa mwanamke alieachiwa matunzo ya mtoto bila msaada wa baba naumia sana. Hivi wanaume huwa mnawaza nini mnapotupa adhabu ya kulea watoto peke yetu na wewe baba ukiwa hai na unajiweza? Hata kama hujiwezi basi kumjali mtoto wako japo kwa kuulizia maendeleo yake mtu anashindwa kabisa.
Hivi kina kaka mmejiuliza nyie baba zenu wangewakimbia mngekuwa wapi sasa hivi? Mnajua ni chuki gani mnaweka kwa watoto wenu mliowakataa? Mnajua ni laana gani mnapata kwa Mungu kwa kukataa kutimiza wajibu wenu kama wazazi? Au mnatukomoa kwa sababu mama hawezi kumuacha mtoto wake nyuma hata apate tatizo gani?
Labda wewe na mama wa mtoto hamko sawa lakini ile hasira ya ninyi kutokua sawa baba usimkomeshe mama kwa kuacha kumtunza mwanao ukijua unamkomoa mama, pale unaemkomoa ni mtoto wako ambae ulimtafuta kwa mapenzi/tamaa zako mwenyewe.
Naandika nikiwa na uchungu mwingi sana moyoni. Mwanaume usiemtunza mwanao ona aibu na muogope Mungu wako kwa kitendo unachokifanya.
Jiulize ingekua ni dada yako au mwanao ameachwa na mwanaume alee mtoto peke yake ungejisikiaje?
KARMA IS A BITCH. Ukinifanyia mimi leo wakati unao dada na watoto wa kike jua itakuumiza na wew kwa mmoja kati ya hao kufanyiwa kama unavyofanyia wengine.
Baba mtoto wangu nimeshamlilia Mungu juu yako na nina hakika huyu mtoto ulieniachia nimlee peke yangu atanifuta machozi siku moja na utatamani akutambue kama baba yake utakua umeshachelewa.
Kaka/baba zangu baba Diamond akawe mfano kwenu, Obama aliekataliwa na baba yake mwishoni alikuja kuwa Rais wa Marekani/dunia.
Tatzo wanawake wengi WA siku hizi hamjielewi... Mnaweka mbele kungongwa gongwa hovyo na wanaume wengi..Nikiwa kama mhanga wa mwanamke alieachiwa matunzo ya mtoto bila msaada wa baba naumia sana. Hivi wanaume huwa mnawaza nini mnapotupa adhabu ya kulea watoto peke yetu na wewe baba ukiwa hai na unajiweza? Hata kama hujiwezi basi kumjali mtoto wako japo kwa kuulizia maendeleo yake mtu anashindwa kabisa.
Hivi kina kaka mmejiuliza nyie baba zenu wangewakimbia mngekuwa wapi sasa hivi? Mnajua ni chuki gani mnaweka kwa watoto wenu mliowakataa? Mnajua ni laana gani mnapata kwa Mungu kwa kukataa kutimiza wajibu wenu kama wazazi? Au mnatukomoa kwa sababu mama hawezi kumuacha mtoto wake nyuma hata apate tatizo gani?
Labda wewe na mama wa mtoto hamko sawa lakini ile hasira ya ninyi kutokua sawa baba usimkomeshe mama kwa kuacha kumtunza mwanao ukijua unamkomoa mama, pale unaemkomoa ni mtoto wako ambae ulimtafuta kwa mapenzi/tamaa zako mwenyewe.
Naandika nikiwa na uchungu mwingi sana moyoni. Mwanaume usiemtunza mwanao ona aibu na muogope Mungu wako kwa kitendo unachokifanya.
Jiulize ingekua ni dada yako au mwanao ameachwa na mwanaume alee mtoto peke yake ungejisikiaje?
KARMA IS A BITCH. Ukinifanyia mimi leo wakati unao dada na watoto wa kike jua itakuumiza na wew kwa mmoja kati ya hao kufanyiwa kama unavyofanyia wengine.
Baba mtoto wangu nimeshamlilia Mungu juu yako na nina hakika huyu mtoto ulieniachia nimlee peke yangu atanifuta machozi siku moja na utatamani akutambue kama baba yake utakua umeshachelewa.
Kaka/baba zangu baba Diamond akawe mfano kwenu, Obama aliekataliwa na baba yake mwishoni alikuja kuwa Rais wa Marekani/dunia.
Brains. Thumbs!Mimi nawalaumu wanawake katika hilo tu, they are in control of their bodies, wanajua lini wapo safe, lini wanaweza kujiachia, wanaweza kuamua huyu nimpe coz anafaa, huyu hanifai hivyo he won't test my bits.
Ninachoshindwa kuelewa, kwa nini(pamoja na kuwa na full control ya miili yao), kwa nini mtu anabeba mimba ya mtu asiyeonyesha kuwa nae, kwa nini wanategesha mimba? Hiyo weakness kwa dada zetu inawatafuna, wanapata mzigo wa kulea watoto peke yao...so sad!...
Lakini pamoja na hayo, mwanaume kumuachia mwenzako majukumu ya malezi no dhambi kubwa!!
Mh wakoje sperm donor?i miss you kaboom .usiombe kukutana na sperm donor bao la kwanza tu mimba utajuta kumfahamu