Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 77,672
- 167,736
Ukituma naomba unicc kama hautajaliNikutumie picha yangu Espy?
Ukituma naomba unicc kama hautajaliNikutumie picha yangu Espy?
usikute ni mzee wa mbuziNjoo na id yako maarufu tafadhali
mito pm yangu huioni au unahisi ni ya mkopo????Nami bado nakitafuta sijakijua
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]usikute ni mzee wa mbuzi
😀😀😀😀😀😀
Hebu nitumie mamii, hii tu itatosha siyo ile rushwa nyingine sasa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] ilikua haijasambaa sana alimtumia sakayo sema kuna siku inna kaniambia shunie me nakujua bana nilikua nabishana na mtu namwambia me mbaya inna akanijibu hivyo nikamwambia hunijui akaniambia nakujua mm wala sio mbaya kama unavyomwambia huyo kaka nikawaza tu usikute na inna zilimfikia
Nitumie pm
Hii baraka imenipata hata mimi babu wallah... Mola yu mwema daimaTrue.. wazee wanajua hawatakiwi kukufuja bure bure
Bila shaka niko ktk hao wachache, teh!Mahenga mengi yaliyobakia humu ndio wale wale tu. Ila wapo wachache wanaostahili kuendelea kuwepo aisee na Mungu awaweke sana.
Mito umenishinda nimecheka sana [emoji3][emoji3]Hebu nitumie mamii, hii tu itatosha siyo ile rushwa nyingine sasa
Hiyo ni njia pekee ya kurudisha tulivyohonga basi[emoji23] [emoji23]Kuna katabia kamezuka ka wanaume kukopa either girlfriend au marafiki zake halafu hawarudishi, kukopa sio kitu kibaya ila unavyokopa wakati huna mpango wa kurudisha sio uanaume na ubinadamu, yani mwanamke umkope papuchi na hela pia jamani? Ndo maana wanawake tunaonaga saa nyingine bora kutembea na wenye hela tu maana nyie tunaowavumilia na umaskini wenu bado mnakopa na vihela vyetu vidogo tulivyo navyo. As for me ukinikopa papuchi fresh sababu utamu tunapata wote ila hela yangi jamaani siwezi kukuelewa. Wanaume wa zamani hawakuwahi hivi halafu hawa wanaoaibisha jinsia ya kiume sasa hivi sijui wametokea wapi, kuna kesi nyingi sana mtaani za aina hii kijana anakuja na fix kibaooo unajua umepata mwanaume mfanye maisha kumbe kaja kukudanga, kwa style hii mpaka magufuli atoke madarakani kuna wanaume wataanza kujipanga barabarani nao wanunuliwe.
MWANAUME NGUVU YA KUTAFUTA PESA HUNA UNAPATA WAPI NGUVU YA KUMPANDA MWANAMKE?
[emoji12] [emoji85]Haupo serious ww [emoji23][emoji23]
Umepoteza bahati[emoji12] [emoji85]
Nishakuja pm kitambo tu mbona, sema hujanijibu tu, teh!Kweli inawezekana inna masikini alijisemea tu lakini hapana nilicheka akaniambia shunie kweli nakujua sitanii bamdogo usinijazie watu pm sina uzuri wowote mie na sura yangu ya baba angu mpenzi
Mimi sitoi hela. Huwa natoa gawio....Unatoa hela au mkono mfupi babuM