Wanaume Tabia ya Kukopa Wanawake Mmeanza Lini?

Wanaume Tabia ya Kukopa Wanawake Mmeanza Lini?

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] ilikua haijasambaa sana alimtumia sakayo sema kuna siku inna kaniambia shunie me nakujua bana nilikua nabishana na mtu namwambia me mbaya inna akanijibu hivyo nikamwambia hunijui akaniambia nakujua mm wala sio mbaya kama unavyomwambia huyo kaka nikawaza tu usikute na inna zilimfikia
Aseeh, ila naskia u mzuri hatari

Sasa kwa uzuri wako kwanini nikiipata picha yako nisijitangaze nimekukula nipate sifa humu ndani?


Mwaka jana mwishoni kuna mrembo aligombana na mimi kisa huu utani wa pm amenirushia pics zake kesho yake akawa anataniana na rafiki yangu wa humu.

Huyo jamaa akamwambia nakujua wewe tena nina picha yako. Yule dada mkukumkuku akaja pm kunilalamikia. Kumbe hata huyo jamaa hana picha na wala hajawahi kuona picha yake.

Sometimes tunaamini fix za humu na kuzifanya facts.[ni kastori tu].
 
Back
Top Bottom