Babake mwanaidi
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 641
- 695
ukiniletea usanii nakuroga.[emoji23][emoji23][emoji23]Laki tu
ukiniletea usanii nakuroga.[emoji23][emoji23][emoji23]Laki tu
....atasutwa na keki apewe!!!Na ole wake mwanaume anaeeongea kumzidi mwanamke
Unamwambia "nakutumia sasa hivi". Akae hapo akisubiri.Naunga mkono hoja na ukiona unaambiwa mkopeshe juwa janaume ni bahili halitoi hela mpaka kwa fimbo
Tuwaombee wateketezweTufunge na kuwaombea.
Una maneno wewe tunakuona tu unavyompaNini tena mbona siwaelewi?
Kuna dada yangu anaishi hukoKumbe huwa unafika mitaa hii...habari njema hio
Aisee nikopeshe twenty tu ntarudisha next weekHata nyie wanawake siku hizi mnakuja na gia za kukopa sn
Sasa hivi nmeacha habari ya kukopesha wanawake maana hamna hata mmoja aliyenirudishia halaf mnakuja na gia ya kukopa pesa ndogo ndogo
Kweli inawezekana inna masikini alijisemea tu lakini hapana nilicheka akaniambia shunie kweli nakujua sitanii bamdogo usinijazie watu pm sina uzuri wowote mie na sura yangu ya baba angu mpenziAseeh, ila naskia u mzuri hatari
Sasa kwa uzuri wako kwanini nikiipata picha yako nisijitangaze nimekukula nipate sifa humu ndani?
Mwaka jana mwishoni kuna mrembo aligombana na mimi kisa huu utani wa pm amenirushia pics zake kesho yake akawa anataniana na rafiki yangu wa humu.
Huyo jamaa akamwambia nakujua wewe tena nina picha yako. Yule dada mkukumkuku akaja pm kunilalamikia. Kumbe hata huyo jamaa hana picha na wala hajawahi kuona picha yake.
Sometimes tunaamini fix za humu na kuzifanya facts.[ni kastori tu].
Tuwatongoze kwa sura gani kwa pesa gani walizonazo,,,sura zenyewe kama mamba watupishe hapaa....atasutwa na keki apewe!!!
AhahhahaUnamwambia "nakutumia sasa hivi". Akae hapo akisubiri.
Ahahah eti anavyonipaUna maneno wewe tunakuona tu unavyompa
Kweli inawezekana inna masikini alijisemea tu lakini hapana nilicheka akaniambia shunie kweli nakujua sitanii bamdogo usinijazie watu pm sina uzuri wowote mie na sura yangu ya baba angu mpenzi
Aisee nikopeshe twenty tu ntarudisha next week
Hee haya.Uza na ng'ombe bwana ili upate cha kunitumia.
ongelea pesa tu, sura muachie Mungu DinaTuwatongoze kwa sura gani kwa pesa gani walizonazo,,,sura zenyewe kama mamba watupishe hapaa
Inaweza ikawa yangu mwamini tu ipoje hiyo pichaKuna picha nliambiwa ni yako lkn huyo mtu mwnyw simuamini maana naona fix nyingi
Duh kumbe hata pa kulala unapo Heineken zikikuzidia sasa unaogopa nini?Kuna dada yangu anaishi huko
TehKweli inawezekana inna masikini alijisemea tu lakini hapana nilicheka akaniambia shunie kweli nakujua sitanii bamdogo usinijazie watu pm sina uzuri wowote mie na sura yangu ya baba angu mpenzi
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]ongelea pesa tu, sura muachie Mungu Dina
Khaaaa silali nje ya kwangu labda itokee dharura kubwa ya kufanya nisirudi kwanguDuh kumbe hata pa kulala unapo Heineken zikikuzidia sasa unaogopa nini?