Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,302
- 96,517
Mimi sio "mkuu". Mimi ni "babu"Vyote me nataka mkuu heshima yako
Mimi sio "mkuu". Mimi ni "babu"Vyote me nataka mkuu heshima yako
Mhhhh,ngumu kumeza hiyo!!Eeeeh ndo tunnawatafuta ivo
Una hasiraaaa...... du!Na wameshika kasi ile mbaya....
Humu jf ndo basi yani hadi pm ikiingia unahisi ni mtu kaja kukopa, bla bla nyingi mi injinia nna makampuni, anatuma picha kundi kuuuuubwa la mbuzi sijui anagoogle, mbuzi wangu hao pye pye pye pye kesho anarudi nikope elf kumi nmechelewa bank...... Kenge wewe!!!!!!!!!!
Hamna bwana nakutania tu, uwe na amaniMbona sioni sasa inasemaje kwani
WeweeePm nimemiss ile misuli Ngabu
Ha ha ha haaa itabidi uanzishe operesheni kabisa!!! Maana si kawaida hadi kutuma pic za wadada PM? Hadi kujisifia kutongozwa hahaa hapana.... bring back your real men!!laana yao inatutafuna, inabidi tukae kikao cha kuwaomba msamaha
Ni kweli kabisa binamuHa ha ha haaa itabidi uanzishe operesheni kabisa!!! Maana si kawaida hadi kutuma pic za wadada PM? Hadi kujisifia kutongozwa hahaa hapana.... bring back your real men!!
Hahahah nimeona eve analalama humu wahongaji tumepotea JF wamebaki wakopaji!!Mimi sio "mkuu". Mimi ni "babu"
But binamu mekumiss ujue njoo PM basiNi kweli kabisa binamu
Binamu ntakuja kesho asubuhii maana nishalewa sasa hiviiiBut binamu mekumiss ujue njoo PM basi
Kwanini umecomment mara tatu?MUNGU WABARIKI WAZEE WAONGEZEE MIAKA
wazee ni hazina
ndo maana napenda wazee.
Mhenga mwenzangu...Hahahah nimeona eve analalama humu wahongaji tumepotea JF wamebaki wakopaji!!
Eti mhenga mwenzangu yaani vijana wanawakopa elfu 10 mabinti enzi zetu ilikuwepo hiyo? Nakumbuka enzi hizo hata ticket ya ndege economy class walikua wanakataa hawa Leo wanakopwa elf 10 ahahahahahaha
Teh teh Evelyn Salt kaongea kwa uchungu sana!! Kidume kinajisifu kina kampuni halafu kinakopa sh. 10000/= kwa demu aisee aibu!!Mhenga mwenzangu...
Dunia inazunguka wallah. Si ilikuwa ukimwambia binti apande Dar Express anakublock. Tunapambana apande japo economy class Precision Air...
Hivi sasa eti mabinti ndo wanaombwa wawakopeshe vijana wetu.... afu dogo akikuta naogelea na Mzigua90 pale Kunduchi Wet n Wild anaona babu namwonea... kumbe hajui kashindwa kutimiza wajibu wake.
Waambie hawa madogo... kwa niaba yangu tafadhali... wanaume tumeumbiwa mateso, kuhangaika.
Wasitulaumu... wapambane. Vinginevyo watusamehe tu... maana hamna namna tena.
Turudi kunusuru hii jinsia Ke ya kipindi hiki kwakweliTeh teh Evelyn Salt kaongea kwa uchungu sana!! Kidume kinajisifu kina kampuni halafu kinakopa sh. 10000/= kwa demu aisee aibu!!
Itabidi wanaume halisi turudi aisee hii hatari!
Ifikie hatua watu kama hawa tuwaanike live ili waione nguvu ya wanawake!Wakunyumba acha tu kuna mkaka huwa namuheshimu aisee nahisi asilimia 50 ya wanawake wa humu anawajua walivyo na atafanya juu chini lazima akujue au apate no yako na alivyo anavyokuja huwezi mdhania acha tu niishie hapa mwisho wa siku asimuonyeshe mtu picha yangu halaf huyo mtu najuana naye anamwambia hivi unamjua shunie ndio huyo masikini kumbe mtu wa watu ananijua ila nilimpa yake nilimwambia sio vizuri hivi kwa mfano angekuwa hanijui ingekuwaje na pics ikisambaa kwingine thread itakuhusu jf
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Swahiba nawe unawakopa wanawake nini?Vipi tena nadaiwa?
Yani wamebaki makapi tu waliobeba mizigo ya mapmb wakidhani nao ni wanaume..... mi nikikopwa tena naondoka jf nimechokaHa ha ha haaa itabidi uanzishe operesheni kabisa!!! Maana si kawaida hadi kutuma pic za wadada PM? Hadi kujisifia kutongozwa hahaa hapana.... bring back your real men!!
nimekula kichuriUna hasiraaaa...... du!