Wanaume Tabia ya Kukopa Wanawake Mmeanza Lini?

Wanaume Tabia ya Kukopa Wanawake Mmeanza Lini?

Waone hata hamna haya nyinyi wanawake sisi kuwakopa ni dhambi ila nyie kutupakua salary ni baraka eti eeeeh
 
Wewe jitoe kwenye list ya kunidai mapema maana navyokujua haukopeki, ukitumiwa kameseji

espy nikuambie unapotea unakuja kujibu week ijayooo..sasa mtu wa hivi atakopekaje?
Na siku ukinikopa nakufungulia thread, hauruhusiwi. Mii ndio naruhusiwa kukukopa. Alafu nimekumbuka, fanya kamchakato basi.
 
Nipo bhn naona leo Zamu yetu... namlaani aliyesambaza picha yako pasipo hata mie kuitia machoni.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] ilikua haijasambaa sana alimtumia sakayo sema kuna siku inna kaniambia shunie me nakujua bana nilikua nabishana na mtu namwambia me mbaya inna akanijibu hivyo nikamwambia hunijui akaniambia nakujua mm wala sio mbaya kama unavyomwambia huyo kaka nikawaza tu usikute na inna zilimfikia
 
Kama mzee wa mbuzi ye huwa anasema kila mwanamke humu Kamtongoza, kila mwanamke kamuomba hela yani unaaweza dhani sijui anafananaje....kuhusu sura yake namuachia Mungu!!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Eve samehe mbavu zangu mimi khaaah!!
Alafu mtu mzima tu eti, si balaa hili!!
 
Hata sisi tukiwa wazee tutakuwa nazo tu pesa........daaah kuna wanawake watatu walinikopa kwa muda tofauti mpaka kesho huwa nashindwa hata kuwadai daaah nishasamehe aisee!!
Nawe unamdaije mwanamke pesa jamani!!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Eve samehe mbavu zangu mimi khaaah!!
Alafu mtu mzima tu eti, si balaa hili!!
mtu mzima ndio, sometimes tunawasingizia boys kumbe kuna mahenga mapumbavu pia
 
Back
Top Bottom