Wanaume Tabia ya Kukopa Wanawake Mmeanza Lini?

Wanaume Tabia ya Kukopa Wanawake Mmeanza Lini?

Aisee...watoto wazuri mara nyingi hawana mambo mengi...ila njoo na Uber tu ndio kazi ya hio
Me sinaga makuu mwendokasi ndio zangu haya tuma hiyo hela kwa ile no yangu ya halopesa nikuje
b6149ed60c2b18ce88199e5644812141.jpg
 
Khaaa rushwa tena halaf sio ya hela hapana nimeshindwa mie mbona huwa anaweka thread kanunua kwa mangi blue band iliyoexpire nipo nae hapa hapa kwa jiji la bashite
Sharti hilo dogo tu limekushinda, khaaa!! Basi usithubutu kwenda kwa mganga, teh!
 
Back
Top Bottom