Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,170
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] acha tu yaan uko pm usikute kila mtu ana mtu wake aliyemuumbaWanaongea hawa watu
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] acha tu yaan uko pm usikute kila mtu ana mtu wake aliyemuumbaWanaongea hawa watu
Sawa nitakuja kumuangalia pogba na man u yakeKulala ni matokeo tu u never know
Ahsante nshapoaNimecheka sana. Pole lakini!
Kuna wanaume wabaya humu,,tena wanyamaze[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Ahahhaha wao kazi yao kutunanga sisi tu kila sikuKuna wanaume wabaya humu,,tena wanyamaze
Nitumie pmKwangu au ww unataka uje wapi?!
Hahahaha mi sijapoaaAhsante nshapoa
Tena tunawatunzia siri nyingi,,lakin wao hawawezi jamaniAhahhaha wao kazi yao kutunanga sisi tu kila siku
Ha ha haAhsante nshapoa
Namchokoza maana kaninyima tedy bear. Nyani Ngabu ukuje hapa.
Haya nipe namba nikutumie hela ya Uber mtoto kama wwewe zile dcm za mbagala huziweziSawa nitakuja kumuangalia pogba na man u yake
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hayo yoooote na hela mtukope!!!!!
Ndo maana miss natafuta amewaombea gharika...naunga mkono maombi
Hivi haya makoromeo kaziyake nini?Tena tunawatunzia siri nyingi,,lakin wao hawawezi jamani
Unakuwaje na shida na hela ulompa mwanamke!!!Muwe mnasema sasa tunajua maana hata sisi tuna shida ya hela pia
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wavujajasho
Yaani nilivyokuwa naisubiri kwa hamu, fanya hima basi.Nikutumie picha yangu Espy?
Wewe hapo. Alafu nina kesi na wewe ngabu.
Wanatakiwa watuheshimu sana hawajui tuTena tunawatunzia siri nyingi,,lakin wao hawawezi jamani
Kutunza siri,,lakin mnashindwaHivi haya makoromeo kaziyake nini?