Wanaume Tabia ya Kukopa Wanawake Mmeanza Lini?

Na wameshika kasi ile mbaya....
Humu jf ndo basi yani hadi pm ikiingia unahisi ni mtu kaja kukopa, bla bla nyingi mi injinia nna makampuni, anatuma picha kundi kuuuuubwa la mbuzi sijui anagoogle, mbuzi wangu hao pye pye pye pye kesho anarudi nikope elf kumi nmechelewa bank...... Kenge wewe!!!!!!!!!!
Nimecheka sana. Pole lakini!
 
Ndo umeamua kuja kunitangaza public....nasemaje umenivua nguo ukweni[emoji16] [emoji16]
 
Back
Top Bottom