Wanaume Tabia ya Kukopa Wanawake Mmeanza Lini?

Wanaume Tabia ya Kukopa Wanawake Mmeanza Lini?

Mpaka unajiuliza huyu yuko jf kufuatilia wanawake wa jf!! Ukishawajua alafu ikusaidie nini. Dume zima huna kazi kazi kufuatilia wanawake unatafuta kuolewa au!!!
Kuna watu wana kazi kubwa
Nakuambia wanaume wa humu ni waongo,,wambeaa sisi ni malaika htuwafikii ,,halaf wale wanaochonga sana midomo wana sura mbayaa hawatazamikii unaamua kumuachia Mungu,
 
Mpaka unajiuliza huyu yuko jf kufuatilia wanawake wa jf!! Ukishawajua alafu ikusaidie nini. Dume zima huna kazi kazi kufuatilia wanawake unatafuta kuolewa au!!!
Hivi dume zim unakaa unamjadili mke wa mwingine si upuuzi huo, kama hupendi si mwenzio anapenda ndio maana kamuoa!! Kutaka kupangiana maisha kama wanatulisha mafiii yao.
Auntie acha tu halaf huwezi mdhania ukibadili dp anakuja anashare na wewe dp uliyoweka shunie looking good mwaaah akitoka hapo anaisave mama anatuma pm yaan nilikua namuona mkaka mmoja wa maana sana humu jf na vile anavyojiweka toka siku hiyo nipo makini sana na wakaka wa jf
 
Kuna watu wana kazi kubwa
Nakuambia wanaume wa humu ni waongo,,wambeaa sisi ni malaika htuwafikii ,,halaf wale wanaochonga sana midomo wana sura mbayaa hawatazamikii unaamua kumuachia Mungu,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahahahahah maisha yanaenda kasi sana!! Humu tuliokua tukihonga Vitz na IST tulitemwa nyakati hizo sasa nimeshangaa hata wa kuhonga IST siku hizi hawapo tena wamebaki wadangaji!!!
Mkuu mlikuwa mnahonga Vitz kwani zilikuwa na TV ndani?
 
Back
Top Bottom