Wanaume Tabia ya Kukopa Wanawake Mmeanza Lini?

Wanaume Tabia ya Kukopa Wanawake Mmeanza Lini?

Huyu Shunie sio bure kuna mtu kamlisha sumu kuhusu mimi sio kwa kuniogopa hivi, niko tayari anichune lakini anakwepa!
Ahahhah hamna ila nakuogopa tu halaf huwa natamani nikujue tu ulivyo na ninavyokuwazia ila nikifikilia ninavyokuogopa nguvu zote zinaniisha naweza kuja nataka kukupm nikusalimie uwoga ukinizidi nafuta text nahema naghaili kila kitu
 
Wanataka waonekane vidume. Umesahau kuna mmoja alijisemea humu kala wanawake 43 etii wa humu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mafiiii yake, hizo fantacies tu hakuna lolote. Sijui tuuite utoto au ni ushamba hata unashindwa kuelewa.
 
Back
Top Bottom