Na mahari utamchangia wewe.Hivi wa kunyumba kumlea huko kweli atakuja niowa au ndio nalea Ben10 wangu mwisho wa siku aniache na uzee wangu aoe vijana wenzie
Paka grisi kama alivyosema mwenye nchi yakePesa warah ya kula ucku huu vyuma vyangu vimegoma kulegea
HapanaKukutania kwamba anataka kukula
Teh teh angekupa na Kazi je ingekuaje?Binam nyir vidume bana sasa hivi mwanaume akituma pesa ya kusuka anakuja kulalama jf
Ha ha ha mimi nafanana na Pogba ndio maana nimeweka hio avatar! Itabidi nibadili ID ssio kwa kuogopwa huku!Ahahhah hamna ila nakuogopa tu halaf huwa natamani nikujue tu ulivyo na ninavyokuwazia ila nikifikilia ninavyokuogopa nguvu zote zinaniisha naweza kuja nataka kukupm nikusalimie uwoga ukinizidi nafuta text nahema naghaili kila kitu
HahahaahSasa mimi inanihusuje!!!
Nitamchangia auntie yaan namsomesha mwenyewe mpaka akueNa mahari utamchangia wewe.
Wapuuzi tu na kutafuta sifa za kijinga.Na hapo ndio ujue wanawake tuna sirii kweli,,kwanini wao hawatutunzii siri
Hahahah binamu kama nakuona unavyotweta!!! Ati una bichwa la aina gani? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wanaume hawana vifua kabisaa
Hapana avatar usibadili sijui sababu nampenda pogba au sababu me ni man u hiyo sura ya kiume huwa nakuogopa tu na mambo mengine sio kuhusu avatarHa ha ha mimi nafanana na Pogba ndio maana nimeweka hio avatar! Itabidi nibadili ID ssio kwa kuogopwa huku!
Waolewe tu tujue moja maana hatuwasomi, ahera hawapo wala kuzimu hawapo.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] eti wanatafuta kuolewa.
Huwezi kwenda peponi bila kufa...nipo mubashara kwenye kochi nawait dompo
Soon nakumwagia list yako, kaa hapo hapo.Haya endeleeni kunionea nyie mie namwachia Mungu.
kuna siku ataskia kilio changu.
Daah yan unazidi kunipa frustratio..kabisa okoa jahaziPaka grisi kama alivyosema mwenye nchi yake
Eti fugo,,sufuria ya kupikia ugali ile kubwaa inapikiwa na familia kubwa za kisukuma ,inaitwa fugoHahahah binamu kama nakuona unavyotweta!!! Ati una bichwa la aina gani? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu pambana kwanza nyie wanaume mnaweza kukaa siku 40 bila kulaDaah yan unazidi kunipa frustratio..kabisa okoa jahazi
Tuwekane sawa ili nijipange ya wachuchu au mikopo nayodaiwa?Soon nakumwagia list yako, kaa hapo hapo.
Hapo pa umbea ndio acha kabisa, kuna mmoja aliwahi jisifia kuwa alitongozwa na wanawake wawili humu, tena hao wanawake maarufu tu humu. Kuja kufuatilia kumbe muongooooooo, kazi kuchafua wenzao tu sijui wafaidike na nini. Alafu lijitu lizima tu hadi unabakii kumuonea mkewe na wanae huruma.Kuna watu wana kazi kubwa
Nakuambia wanaume wa humu ni waongo,,wambeaa sisi ni malaika htuwafikii ,,halaf wale wanaochonga sana midomo wana sura mbayaa hawatazamikii unaamua kumuachia Mungu,
Ubinadam wako uliupeleka wapiMkuu pambana kwanza nyie wanaume mnaweza kukaa siku 40 bila kula