ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,589
Mkuu umeongea point na umenigusa sana ila hapa pana ulakini sijapaelewa vizuri
kama Nyani Ngabu alivyosema wewe umetoa wapi hizo takwimu au fununu za misharaha ya marais
kama sio kuzugana best
nimepaste hapa: mfano Mzee Gurumo jana alisema alilipwa 'elfu ishirini'
mwaka 1978 ili kuhamia bendi ya Sikinde...kumbuka
kuwa Mshahara wa Rias mwinyi mwaka 1992 ulikuwa 'elfu ishirini na saba tu'
sasa pata picha huyu mzee alikuwa na pesa kiasi gani?
na mshahara wake ulikuwa 'shilingi elfu tatu' mwaka hu0 1978..
wakati kima cha chini mpaka mwaka 1987 kilikuwa hakijafika 'shilingi elfu saba'

Last edited by a moderator: