Vinicious
JF-Expert Member
- Nov 16, 2021
- 306
- 480
😁😁😁Mpaka sasa scoreboard inasoma (me)37 - 2(ke)
😁😁😁Mpaka sasa scoreboard inasoma (me)37 - 2(ke)
Du kazi kweli. Nililijua mapema hili, siombi hela ya mtu. Kama nina shida namkopa ndugu au rafiki yangu na kurudisha kama nilivyoahidi. Tusipende vya bure, kama una shida kopa kwa mtu na umrejeshee bila usumbufu.Mbona ni kanuni ya wazi ya maisha.
Ukiwa na shida na hela ya bure muombe baba yako ama kaka yako. Hao ndio wanaume ambao mko naturally bonded na they expect nothing from you zaidi ya upendo.
Mwanaume mwingine zaidi tofauti na hao hatoi pesa zake bure, hakuna kitu cha bure, ukitaka kula ukubali kuliwa.
Mwanaume anampatia msaada mwanamke ambae sio ndugu yake kwa mabadilishano, toa utamu nikupe pesa, hakuna kitu cha bure.
Kwani unadhani huyo mwanaume hana ndugu zake wanaohitaji ama wenye shida na hiyo 30k ama yeye hana shida nayo hiyo 30k? Wap wengi tu ila anaamua kuchukua maamuzi magumu ya kukupa wewe na kuwanyima wao kwa sababu wewe kuna kitu unampa cha kumfariji angalau kupunguza machungu ya kutoa 30k yake.
Ukitaka kula lazima uliwe, hii ni natural law of life.
Kwani kinachompa nguvu ya kuomba pesa si huko kunyanduliwa? Kama si hivyo angeomba hata kwa asiye mpenzi wakeMleta uzi bila shaka huu ni zaidi ya mwongozo umewapa Me sababu karibia wote wana wakkka mbaya. 😂😂
Ila mtoa mada kasema kabisa .. KUOMBA... na si KUKOPADu kazi kweli. Nililijua mapema hili, siombi hela ya mtu. Kama nina shida namkopa ndugu au rafiki yangu na kurudisha kama nilivyoahidi. Tusipende vya bure, kama una shida kopa kwa mtu na umrejeshee bila usumbufu.
Wee ulishawahi mpatia mwanaume pesa?Labda ni kwa vile sikulifahamu hili kwa undani zaidi, ndio maana nikajikuta naumiza moyo wangu tu
Kwa mwanaume wa sasa ukiwa na shida labda na elfu 30 ukampigia simu kumuomba, atakwambia njoo uijie nyumbani, na pindi unapofika kwake hakuna cha ziada mbali na kufanya nawe mapenzi kwanza ndipo akupe kiasi unachokitaka
Kumbe siku hizi mapenzi hakuna? Hamjali utu, ndo maana wengi wenu mnaishia kulaumu kuwa tunawapiga vizinga kumbe tatizo ni ninyi
Inafikia muda unakuwa na shida na pesa may be, akili yako inajiset kuwa ngoja nimtafute John nimuombe pesa, aniombe penzi, nitatue tatizo langu
Wanaume kuweni na utu, achaneni na mapenzi biashara, upendo utoke moyoni, kwani bila kufanya nae mapenzi huwezi kumpatia pesa?
Halafu kasema KUOMBA maana yake harudishi.. Sasa muombwaji anafaidika nini kwenye hiyo process nzima ya kuombana hela? MBUSUSU TU, kama vipi akaombe kwa wanawake wenzieKitakwimu wanawake ni wengi kuliko wanaume, kwanini hiyo 30K usiwaombe wanawake wenzako ?! Kama sio umalaya ni nini ?!
Hiyo 30K unataka upewe kana kwamba ni yako, uliiweka kwa huymdm mwanaume ?! Ukweli pia ni kwamba wanawake hawana akili ?!
Ndio namuambia aache kuomba maana ataliwa tu maana hakuna cha bure siku hizi Mbadala ni kukupa na urejeshe.Ila mtoa mada kasema kabisa .. KUOMBA... na si KUKOPA
Nadhani hii tuiweke hivi!Wanaume kuweni na utu, achaneni na mapenzi biashara, upendo utoke moyoni, kwani bila kufanya nae mapenzi huwezi kumpatia pesa?
Huyu mrembo yupo in dream landMbona ni kanuni ya wazi ya maisha.
Ukiwa na shida na hela ya bure muombe baba yako ama kaka yako. Hao ndio wanaume ambao mko naturally bonded na they expect nothing from you zaidi ya upendo.
Mwanaume mwingine zaidi tofauti na hao hatoi pesa zake bure, hakuna kitu cha bure, ukitaka kula ukubali kuliwa.
Mwanaume anampatia msaada mwanamke ambae sio ndugu yake kwa mabadilishano, toa utamu nikupe pesa, hakuna kitu cha bure.
Kwani unadhani huyo mwanaume hana ndugu zake wanaohitaji ama wenye shida na hiyo 30k ama yeye hana shida nayo hiyo 30k? Wap wengi tu ila anaamua kuchukua maamuzi magumu ya kukupa wewe na kuwanyima wao kwa sababu wewe kuna kitu unampa cha kumfariji angalau kupunguza machungu ya kutoa 30k yake.
Ukitaka kula lazima uliwe, hii ni natural law of life.
Halafu wao hawatoi MBUSUSU bure, lakini wanataka hela zetu tuwape bure..!!! Wakati anajuwa kabisa mimi siyo kaka yake, baba yake wala si mjombaake..!!Ndio namuambia aache kuomba maana ataliwa tu maana hakuna cha bure siku hizi Mbadala ni kukupa na urejeshe.
Wee ni wanawake wachache sana wanaweka kukopa na kurudisha. Wingi wataishia kulioa kwa kumtunuku mwanaume mbususuNdio namuambia aache kuomba maana ataliwa tu maana hakuna cha bure siku hizi Mbadala ni kukupa na urejeshe.
Wana kamsemo kao cha kifala...eti mbususu haiuzwi wala haitolewi bure🤣🤣🤣🤣Halafu wao hawatoi MBUSUSU bure, lakini wanataka hela zetu tuwape bure..!!! Wakati anajuwa kabisa mimi siyo kaka yake, baba yake wala si mjombaake..!!
Ni wachache sana. Kuna mwanamke mwenzangu alinikopa ,kaingia mitini hadi leo, na ka block simu zangu. Nimemuacha tu nione zitamfikisha wapi. Uaminifu ni kitu kizuri sana.Wee ni wanawake wachache sana wanaweka kukopa na kurudisha. Wingi wataishia kulioa kwa kumtunuku mwanaume mbususu
Wee bwana nyie wanawake kuwakopesha ni majanga...ata simu hampokeagi. Dawa ni kuwaomba mbususu tuuNi wachache sana. Kuna mwanamke mwenzangu alinikopa ,kaingia mitini hadi leo, na ka block simu zangu. Nimemuacha tu nione zitamfikisha wapi. Uaminifu ni kitu kizuri sana.
Mkuu huna ndugu wa kiume au hata ndugu zako wa kike mpaka umuombe mtu usiye na undugu nae?Labda ni kwa vile sikulifahamu hili kwa undani zaidi, ndio maana nikajikuta naumiza moyo wangu tu
Kwa mwanaume wa sasa ukiwa na shida labda na elfu 30 ukampigia simu kumuomba, atakwambia njoo uijie nyumbani, na pindi unapofika kwake hakuna cha ziada mbali na kufanya nawe mapenzi kwanza ndipo akupe kiasi unachokitaka
Kumbe siku hizi mapenzi hakuna? Hamjali utu, ndo maana wengi wenu mnaishia kulaumu kuwa tunawapiga vizinga kumbe tatizo ni ninyi
Inafikia muda unakuwa na shida na pesa may be, akili yako inajiset kuwa ngoja nimtafute John nimuombe pesa, aniombe penzi, nitatue tatizo langu
Wanaume kuweni na utu, achaneni na mapenzi biashara, upendo utoke moyoni, kwani bila kufanya nae mapenzi huwezi kumpatia pesa?
Pindi utakapo move on na kurudia kusoma unachoandika kwasasa, ndipo utaelewa ni stress zinakuandamaLabda ni kwa vile sikulifahamu hili kwa undani zaidi, ndio maana nikajikuta naumiza moyo wangu tu
Kwa mwanaume wa sasa ukiwa na shida labda na elfu 30 ukampigia simu kumuomba, atakwambia njoo uijie nyumbani, na pindi unapofika kwake hakuna cha ziada mbali na kufanya nawe mapenzi kwanza ndipo akupe kiasi unachokitaka
Kumbe siku hizi mapenzi hakuna? Hamjali utu, ndo maana wengi wenu mnaishia kulaumu kuwa tunawapiga vizinga kumbe tatizo ni ninyi
Inafikia muda unakuwa na shida na pesa may be, akili yako inajiset kuwa ngoja nimtafute John nimuombe pesa, aniombe penzi, nitatue tatizo langu
Wanaume kuweni na utu, achaneni na mapenzi biashara, upendo utoke moyoni, kwani bila kufanya nae mapenzi huwezi kumpatia pesa?
Nchi ishakuwa malaya kitambo mkuu. Tena kwasasa ni malaya wa kuzoazoaHata Nchi Yetu inaomba na Inapewa Masharti kibao na Inawezekana ingekuwa mwanamke basi Ingekuwa Malaya