Wanaume mmeyafanya mapenzi kuwa biashara

Wanawake wote nyie nikapige Puli!! Kisa ubahili! Nope!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Sema mwanaume watalalamika weee ila mwisho wa siku ikifika wakati wa kutoa pesa wanatoa huku wanaumia ila ndo watafanyaje sasa..

Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
 
Yan watu bana wanapenda kufata mkumbo wa comment za mwanzo, nahs kama mmeichukulia kivingine zaid, kwan mpenz haombwi hela?, ila lakini tutafute tuu zetu kuepusha haya mambo. Kiruuuuu! Ngoja nijifunike blanket chuga n baridi laana
Nini ambacho una muoffer mpenzi wako ukiachana sex ambayo raha mnapata wote
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Sema mwanaume watalalamika weee ila mwisho wa siku ikifika wakati wa kutoa pesa wanatoa huku wanaumia ila ndo watafanyaje sasa..

Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
Kama Quummma unanipa nakutouumba hadi naridhika hela yangu nakupa na hainiumi
 
Labda ni kwa vile sikulifahamu hili kwa undani zaidi, ndio maana nikajikuta naumiza moyo wangu tu

Kwa mwanaume wa sasa ukiwa na shida labda na elfu 30 ukampigia simu kumuomba, atakwambia njoo uijie nyumbani, na pindi unapofika kwake hakuna cha ziada mbali na kufanya nawe mapenzi kwanza ndipo akupe kiasi unachokitaka

Kumbe siku hizi mapenzi hakuna? Hamjali utu, ndo maana wengi wenu mnaishia kulaumu kuwa tunawapiga vizinga kumbe tatizo ni ninyi

Inafikia muda unakuwa na shida na pesa may be, akili yako inajiset kuwa ngoja nimtafute John nimuombe pesa, aniombe penzi, nitatue tatizo langu

Wanaume kuweni na utu, achaneni na mapenzi biashara, upendo utoke moyoni, kwani bila kufanya nae mapenzi huwezi kumpatia pesa?
Hiyo pesa c ungeomba kwa wazazi wako au ndugu zako , kwa nn ukamuombe mtu ambaye hamuhusiani chochote , au unafikiri yeye muda wote yeye anapesa haziishi Kama ww zilivyokuishia
 
Labda ni kwa vile sikulifahamu hili kwa undani zaidi, ndio maana nikajikuta naumiza moyo wangu tu

Kwa mwanaume wa sasa ukiwa na shida labda na elfu 30 ukampigia simu kumuomba, atakwambia njoo uijie nyumbani, na pindi unapofika kwake hakuna cha ziada mbali na kufanya nawe mapenzi kwanza ndipo akupe kiasi unachokitaka

Kumbe siku hizi mapenzi hakuna? Hamjali utu, ndo maana wengi wenu mnaishia kulaumu kuwa tunawapiga vizinga kumbe tatizo ni ninyi

Inafikia muda unakuwa na shida na pesa may be, akili yako inajiset kuwa ngoja nimtafute John nimuombe pesa, aniombe penzi, nitatue tatizo langu

Wanaume kuweni na utu, achaneni na mapenzi biashara, upendo utoke moyoni, kwani bila kufanya nae mapenzi huwezi kumpatia pesa?
Na bila kutoa hela mwanamke hakupi penzi wala ngono. Nani mfanyabiashara hapo ni muuzaji siyo mnunuaji.
 
Wew huna wazazi mpaka uanze kuomba wanaume pesa ambao hawajakuoa?

Ukianza kuomba hela mwanaume kwanza akilini anaona huna tofauti na Malaya...

Mwanaume akikupenda atakupa hela mwenyew...

Sema nini tutunze watoto wetu wa kike..tabia za kuomba wanaume hela ni sababu ya umaskini uliopo kwenye familia nyingi
Kama kuna kitoto kimoja kimelazwa,kinaniomba hela 15,000 kwa kutumia sm ya mama ake,nimeamua kukinyima makusudi maana wazazi wake wote wapo iweje mimi ndo nitoe hela ya matibabu

Nakiambia mimi sina hela,kinaniambia sasa kitafanyaje,nimekiambia kwani wazazi wako hawana hiyo hela mpaka nitoe mimi,nikakiambia wasikimbie hilo ni jukumu lao,
 
Na hapo anaona ni haki yake wewe umpe hiyo hela, mkuu hawa viumbe ni waajabu sana. Niko mbioni kuandika uzi nitakao utetea vema kwa dondoo za kutosha jina la uzi nitauita: -

"Labda tusiwalaumu sana, ukweli ni kwamba Wanawake hawana akili"
 
Wanawake ndo mliaribu kanuni za mapenzi na mkafanya biashara mwanaume akitaka kunyandua tu lazima upige mzinga na akikunyandua alafu akakupa buku au bukumbili kama nauli unanuna na ugomvi unaanzia hapo unaanza hivi unanionaje hii niipeleke wapi nk. Bila kujali huyo ni nani kwako na anaweza kukupa msaada one day
 
Asante kwa maelezo mazri. Ila mtu yoyote anaetoa huwa anatarajia kitu fulani baada ya kutoa ama ni furaha baada ya kutoa, ama ni shukurani baada ya kutoa, au kuthaminiwa kwa ule moyo wa kutoa pamoja na kile ulichotoa, au kupata baraka na wengine kupata sex position.

Binafsi nimekua nikijitoa sana haswa kwa wakina dada iwe nina nasaba nao au vinginevyo bila ya tarajio lolote lakini huwa najisikia furaha kubwa sehemu ya kutatua tatizo la mtu, lakini badala yake nimerudishiwa dharau badala ya hata shukrani.
Ndio shida ya wadada wanaona kuomba na kupewa pesa ni haki yao ndio maana wengi wao wanakuwa hawana shukrani na hii inawafanya wawe wabinafsi
 
Kwa mwanaume wa sasa ukiwa na shida labda na elfu 30 ukampigia simu kumuomba, atakwambia njoo uijie nyumbani, na pindi unapofika kwake hakuna cha ziada mbali na kufanya nawe mapenzi kwanza ndipo akupe kiasi unachokitaka

Kumbe siku hizi mapenzi hakuna? Hamjali utu, ndo maana wengi wenu mnaishia kulaumu kuwa tunawapiga vizinga kumbe tatizo ni ninyi
Mapenzi yapi unayozungumzia...??, Wewe kwenye hayo maelezo yako wapi unaona kuna Mapenzi...,,,tafsiri ya UTU kwako ni kupewa hela na Mwanaume...??,,ulimpa akuwekee hio hela,,? unamdai..?? Yeye hana ndugu wa kuwasaidia..??..... Wewe kuombwa UCHI ndio kijana amekosa UTU,,??,,ila wewe kuomba hela ndio Mapenzi.??? ,,kama hutaki kutoa mbunye si ungebaki kwenu na shida zako,,,na yeye umuache na hela zake...

Ndugu WANAUME,,,MILELE katika maisha yako usiwahi kujisikia vibaya mwanamke akikuita jina lolote baya kisa tu ulikataa kumpa hela...Mpuuze,,,na uendelee na maisha yako,,, Wanazipenda hela zetu, ila hata sisi tunazipenda pia..

Be a Man, Stay Taliban.
 
Kweli Wanaume tumeamka kijana unatoa hoja kuntu
 
Back
Top Bottom