Nas Jr
JF-Expert Member
- May 15, 2018
- 7,918
- 8,712
Kutoa bila kutarajia lolote ni UONGO,,,,, watu tu wamekuwa Manipulated ili Wazungu watupige.Asante kwa maelezo mazri. Ila mtu yoyote anaetoa huwa anatarajia kitu fulani baada ya kutoa ama ni furaha baada ya kutoa, ama ni shukurani baada ya kutoa, au kuthaminiwa kwa ule moyo wa kutoa pamoja na kile ulichotoa, au kupata baraka na wengine kupata sex position.
Hata wale wanasaidia masikini huwa wanatarajia Baraka kwa Mungu,,,Yaani hawatoi kwa ajili ya wanayempa msaada,,,ila wanatoa ili Mungu awaone wametoa then wanatarajia kuongezewa, baraka n.k.. so hawatahitaji kujitangaza kwa binadamu ila wataamini Mungu anawaona...na ENDAPO wakiandamwa na mabalaa hukumbuka yote na kuanza kuona kama Mungu anawalipa tofauti na matendo yao mema(kulalamika).
Msomaji sio lazima uelewe sasa,,, Jipe Muda...